Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 28, 2010

UNCLE JJ HIYOOOO VIPANDE VYAKE VYA MGANGA BENI

Jenifa akitimua watu kijiweni kwa manati

The great,Patcho na Beni branco tukipeana ushauri kabla ya kuanza kushoot scene za mganga

Beni akiwa standby ili aoneshe kipaji toka moyoni

Kazi imeanza sasa

Gafla Jenifa akaingia na kuharibu shughuli nzima

Jenifa akimchimba mkwara hata mganga Tamuke toka Congo

Sep 25, 2010

PICHA ZAIDI ZA UZINDUZI WA BLACK SUNDAY MLIMANI CITY

Lusubiro Mwanguku na Hamidu toka GRM PRODUCTION

Mkurugenzi wa GRM PRODUCTION,MR.GABRIEL MAKUPA akielezea anavyoouona uzinduzi

Mzee Chilo na Sauda hapo ni maswali na majibu

Baby madaha,Sajni,mdau wetu

naaaaamh

Paul Isangi editor toka kampuni ya pilipili aliye edit Black sunday akiwa na Slyvia Shally

MR&MRS G.Makupa wa GRM.

Kwa pamoja

Slyvia Shally na Zamaradi

Taji Liundi akiwa na the great na mdau

Jimmy master na Roger Muzungu wa FM academia

Bazo na Cloud

Slyvia na Rehema a.k.a kamanda

Mwanangu wa This is it na Uncle JJ,JENIFA alikuja kumpa kampani uncle wake JJ.

Roger muzungu,the great,jenifa,sethy,Rose (mama mzazi wa jenifa)Shumileta nae alikuepo

Black sunday ikitazamwa

Jenifa na uncle jj nasi tukitazama

Swahiba akiwa makini sana

Umati wa watu ukitazamaThe great,monalisa na mlela ktk screen tukikamua

UZINDUZI WA FILAMU YA BLACK SUNDAY MLIMANI CITY NI WA KIPEKEE TANZANIA

Kwa mara ya kwanza katika historia ya filamu za kiswahili za kitanzania,filamu hii ndio inafungua dimba na kuwa filamu ya kwanza ya kibongo iliyochezwa na mimi The great pioneer kuoneshwa katika jumba la sinema ambapo tumezoea kuona filamu za nje tu zikioneshwa humo lakini hii imeweka historia nzuri.Ilizinduliwa juzi mlimani city na imeandaliwa na kampuni ya PILIPILI ENTERTAINMENT na Washiriki ni STEVE KANUMBA,MONALISA ,YUSUPH MLELA,MZEE CHILO,AUNTY EZECKIEL nk.Picha chini ni matukio ya uzinduzi huo jinsi ulivyofana.Huku mgeni rasmi akiwa ni mtoto wa raisi MIRAJ KIKWETE. Tuliingia kwa gari hilo linaloonekana hapo kabla ya kukanyaga red carpet

Mara baada ya kushuka katika gari tukakanyaga kitu chekundu hapo,The great na Mlela pamoja na ma boss wa kampuni ya Pilipili.

Tukisonga mbele The great na MR.Nilesh mkurugenzi mkuu wakampuni ya pilipili

Zamaradi toka Clouds tv akimuhoji mzee Mlela na mwanae Yusuph Mlela

Bazo toka TBC1 akimuhoji The great katika red carpet juu ya pamba alizopiga kuanzia kiatu mpaka nywele

Director wa movie hii ya BLACK SUNDAY MR.Sameer Srivasta akiulizwa maswali kadha wa kadha na Zamaradi

Director wa movie ya PAY BACK na NANI,MRS SAJNI SRIVASTA toka pilipili akihojiwa katika red carpet

Mgeni rasmi ndg.Miraj Jakaya Kikwete akipeta katika kitu chekundu huku bazo akihoji mawili matatu

Zamaradi akitwanga maswali kwa the great

Natasha na Mlela

Wa kwanza kulia Mr.Vinod ndie cameraman aliyeshoot movie hii ya BLACK SUNDAY

Mlela,Jimmy master,The G,pioneer

Cheni,natasha ,kanumba the great

Umati wa watu waliofika.

Swahiba na zamaradi

The great na Sauda toka star tv.Toka kulia ni Raisi wa shirikisho letu la filamu(TAFF) Simon Mwakifamba nae alikuepo

wadau

Sauda akimhoji mtoto huyu ambaye nae kashiriki katika filamu hii

Sep 21, 2010

WAANDISHI WA HABARI WA GAZETI LA RISASI KUTOKA GLOBAL PUBLISHERS WAMTEMBELEA THE GREAT OFISINI KWAKE.

Waandishi wa habari Hemed Kisanda na Jelard Lucas toka Global publishers wakiwa ofisini kwa The great akiwaonesha posterz za movie zake

The great nikiwakaribisha ofisini kwangu kabisa ninapofanyia kazi zangu

Jelard ni msukuma mwenzangu hivyo tukakigonga kidogo kisukuma kukumbushia nyumbani tukamaliza kwa kucheka

Nikiwaonesha baadhi ya vifaa ninavyotumia katika production yangu ikiwemo na camera

Hemed akaona aijaribu kidogo

Jelard akasema namimi nisipitwe

Tukijaribishia jinsi shooting zetu zinavyofanyika location

The great nikiwaonesha kazi zinazofanywa na kampuni yangu

Hapo nikijibu maswali yao kwa ufanisi na kufafanua zaidi

Nje ya ofisi yangu Jelard akitoka kuona sticker zilizoko kwa nje.Nawashukuruni sana kwa kunitembelea pia nashukuru Global publishers kwa kuweza kunikumbuka mpaka kutuma timu yake makini kabisa kunitembelea ofisini kwangu karibuni tena na tena,zaidi nawashukuru kwa kuwa wakweli na wawazi katika kazi zenu mkijali utu na heshima ya wasanii wenu si kuwaandika tu bali hata kuwajulia hali sehemu zao,basi tuzidishe ushirikiano daima katika kweli na haki.