Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 28, 2010

Siku ugeni kutoka Benki ya Dunia ulipotembelea kata ya Keko kwa lengo la kutaka kuiboresha Kimiundombinu

Ugeni kutoka benki ya Dunia ulitembelea kata ya keko Wilayani Temeke Mkoa wa Dar es salaam kuiangalia jinsi ilivyo kabla ya kuiboresha kimiundombinu kwa kuyapitia maeneo yatakayoboreshwa ikiwa ni pamoja na Barabara za lami, Barabara za Changarawe, Barabara za kwenda kwa miguu, mifereji ya maji ya Mvua, Vyoo vya Umma (Public Toilets) Taa za Barabarani na vituo vya kukusanyia taka ngumu (Solid Waste Collection Points)

Picha ya pamoja ikimuonesha Senior Vice President wa Benki ya Dunia (Mdada Mwenye Blauzi ya Pink, wa nne toka kulia Mstari wa mbele) na Mwenyeji wake Diwani wa Kata ya Keko Mh. Francis Mtawa (Wa pili toka kulia mbele) pamoja na Mstahiki meya wa Manispaa ya Temeke Jerome Bwanausi (Mwenye tai).Wakiwa pamoja na Baadhi ya wajumbe wakazi wa keko wenye fulana nyeupe

Wakitembelea moja ya Barabara zitakazoboreshwa (Njia inayounganisha Keko Mwanga na Keko Magurumbasi)Diwani wa Kata ya Keko Mh. Francis Mtawa (Kulia) Pamoja na Mh. Ally Kinyaka, mwenyekiti wa kamati ya mipango miji manispaa ya TemekeBarabara ndo iko hivi? Kweli inahitaji kuboreshwa.
Hapa wakielekea kupanda magari baada ya kutembelea maeneo husika

Feb 26, 2010

DESMOND ELLIOT-kutoka katika acting mpaka kuwa director na producer mzuri nollywood.

Desmond kutoka kushoto akiwa na Michael MAJID kulia muigizaji wa Ghana ambaye amemshirikisha ktk filam yake ya Holding hope kama alivyonambia yeye mwenyewe Desmond.

Akitoa maelekezo kwa wasanii wakati wa shooting yeye kama director wa film yake hiyo mpya.


Hii ni siku alipoizindua filam yake nchini Ghana.katika moja ya maonesho yake na wasanii wenzake kuitangaza filam yake.


Hii ni poster ya movie yake..big up my brother.


Wakati wa shooting ulikua hivi kajitaidi sana kuwashirikisha mastaa kibao katika movie yake kama unavyoona hapa yupo Ramsey nouh,Monalisa chinda...nk.yeye akiwa nyuma ya kamera akidirect.


Kutoka kushoto mwenye nguo nyeusi ni Nkem owoh(ousofia),desmond,2face,ramsey na Tuvi james katika democratic party ambao hualikwa watu maarufu nchini humo.


Hapa alikua MC katika shughuli fulani Nigeria akiwa sambamba na swahiba wake ramsey.


Hapa wakilishambulia jukwaa kwa shoo ili kuwaburudisha mashabiki wao.


Hapa katika pozi.kwa ufupi desmond kabla ya kuanza kuact alikua ni model baada ya hapo alianza kuigiza tamthilia kadhaa ndipo akaingia rasmi katika acting na kwa sasa ni producer na director Nollywood.swahiba huyu ameoa(Victoria Imabong) na ana mtoto mmoja..


MDAU KANIOMBA NIWAKILISHE NAMI NAWAKILISHAFeb 25, 2010

Kitu changu kipya, "THIS IS IT". Hii si ya kukosa...
Mashabiki wangu na wadau mbalimbali hii ni Filamu yangu mpya itakayotoka hivi karibuni, imetengenezwa chini ya kampuni yangu ya Kanumba The Great Film, hivyo kaeni mkao wa kula mengi nitawajurisha hivi karibuni, hii si ya kukosa. Akhsanteni sana.

Bonyeza kifungo cha "Copy Tangazo" ili u-save kwenye Kompyuta yako Tangazo hilo hapo juu

Feb 24, 2010

Mhhhh!! Humu kunani tena?


Ha ha hah hah ha ha ha ha ha haaaa!! Anonymous wa Tar 20, alikuwa sahihi kabisa, Jamani washika dau nimewaletea Kitu balaaa, Yaaani Balaaaaaaa kitu kipya. Hii kitu inakwenda kwa jina la "THIS IS IT". itapatikana madukani kuanzia muda si mrefu. Pata nakala yako katika DVD, VCD au VHS. Akhsanteni sana kwa Ushirikiano wenu, tupo pamoja!

Feb 23, 2010

The great na mashabiki wangu wa ukweli maeneo ya Reading-UK..nimewamiss sana.

kutoka kulia ni Mariam Nicegy........

Feb 22, 2010

MERCY JOHNSON AZIDI KUITIKISA NOLLYWOOD(NIGERIA) 2010.

akijiandaa kushoot

katikati ya scene akiwa na director wangu Femi Ogedebge.


akiwa shuleni akishoot kama mwalimu.baada ya kumaliza kushoot akipiga picha ya pamoja na walimu wa shule hiyo


akisubiri action toka kwa director


akijadiliana na crew ya production kuhusu moja ya scene za usiku.


Jimy Ike na Mercy Johnson katika scene.


Akiwa na Olu Jacob katika moja ya scene za majonzi mjini Lagos.


katika pozi baada ya kumaliza kushoot.


akiwa katika scene za nje.


Hiyo ni master sht.
Feb 20, 2010

UZINDUZI WA WINE MPYA YA OVERMEER ULIFANA SANA...wine inayotengenezwa TZ kwa zabibu.

Fide na Aunty wakifuraia wine ya OVERMEER.

fide,aunty,mdau fulani na the great kwa pamoja


watu mbalimbali wakifuraia ujio wa wine mpya
kulia me,Asia na baba watoto wake dada Asia.
mainda na aunty walikuepo vizuriiiiiiiiiikwa pamoja wanawakilishaMR.Chuz yeye alikua samaki samaki vijana walipotoka wakajumuika naeTabasamu


lete manywaji upesiiiiiiiiiii ndivyo Fide anavyosema hapo.
Feb 15, 2010

Leo nimetembelea Location ya Swahiba wangu kumtia moyo na Kazi ngumu ya Shooting ktk movie yake mpya chini ya RJ COMPANY. Si mwingine ni VINCENT KIGOSI (RAY)Nice Chande & Innocent Bachard wakifurahia jinsi shooting inavyokwenda

Mi, Docta Cheni na Johari. Furaha na Tabasamu kazi yaenda vizuri

Mdau Chime Chande & Nice Chande wakiwa katika set kabla ya kushoot
Leo Swahiba alisumbuliwa sana na Umeme, Taa zilikuwa hazipati mwanga wa kutosha kama mnavyoona akirekebisha

Crew ya GRM PRODUCTION ndio wanaomshutia The Greatest

Irene Uwoya Ndikumana mara baada ya kumaliza kushoot scene mojawapo. Jamani huyu Dada anakamua ile mbaya kwa sasa zaidi ya mwanzo


Uwoya na Johari

Uwoya na mimi pozi la pamoja. Jamani Irene hilo tumbo ni Mimba ya kutengeneza kwa ajili ya movie hiyo, hana mimba yoyote.

Chime Chande & Nice Chande ktk moja ya Scene

Mi na Nice Chande - Location.

Innocent Bachard na Nice Chande

Dr. Cheni na Uwoya ktk Scene (Cheni anafurahisha sana katika hii scene)