Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 28, 2011

PICHA ZAIDI ZA HARUSI YA ZAKAYO MAGULU

SWAHIBA NA MAHARUSI


THE GREAT PIONEER


DADA JOHARI NAE AKISEREBUKA KIDOGO


GWANTWA NAE AKAFATA


MUZIKI KWA NAFASIIII AUNTY GWANTWA EZECKIEL NA MAHARUSI
GUDA BOY NA MAHARUSI


REHEMA MACHO NA MAHARUSI


RECHO NAE AKASOGEA KUPIGA PICHA NAO


NOVA a.k.a De la vonte sapreme mukulu wa bangoi akiteta na bwana harusi.


THE GREAT NA ZAKAYO


THE GREAT NA BI.HARUSI FARAJA


ZAWADI YA WASANII WA BONGO MOVIE ILIPELEKWA HIVI


BABU AYUBU AKICHEZA SEBENE SI SEBENE KIDUKU SI KIDUKU SIKUMUELEWA.

Aug 26, 2011

DEVIL KINGDOM HIIIIIYYYOOOO SOKONI TAYARI PATA NAKALA YAKO ORIGINAL....

IMEINGIA MTAANI LEO IJUMAA YAPATIKANA NCHI NZIMA KUANZIA LEO..........


HARUSI YA CAMERAMAN WANGU(WA MOVIE ZANGU) ZAKAYO MAGULU ILIVYOFANA.

Zifuatazo ni picha na matukio mbalimbali ya harusi ya cameraman wa movie zangu karibia movie zote ninazoshoot ZAKAYO MAGULU ilivyofana lakini kizuri pia katika harusi hii aliyeolewa ni mmoja wa ma-staff ofisini kwangu yaani ofisi ya KANUMBA THE GREAT FILMS ajulikanae kwa jina la FARAJA.J.MAGULU pongezi nawapa nyingi sana.JOHARI AKITOA PONGEZI KWAO MAHARUSI


ODAMA AKAFATA


MAYA AKAFATA


NELLY AKAFATA


THE GREAT


BABU AYUBU AKITUVUNJA MBAVU KIDOGO


LULU


STEVE NYERERE NAE AKIVUNJA MBAVU ZA WATU


SWAHIBA AKAFATA


MR&MRS ZAKAYO MAGULU


JB AKIMPA PONGEZI ZAKAYO.

Aug 21, 2011

MSHINDI WA BIG BROTHER REVOLUTION(KEVIN) NA SHEMEJI YETU KWA DADA YETU ELIZABETH GUPTA HATIMAE NDOA YAO IMEJIBU....wapata mtoto wa kike.

Blog hii na mimi mwenyewe nawapa hongera za dhati Elizabeth Gupta na mmewe Kevin Chuwang Pam kwa kupata mtoto wao wa kike kwa jina ni Baby malaika savannah Chuwang Pam. Kevin &Elizabeth Gupta(Mr&Mrs)


Baby Malaika Savannah Chuwang Pam.


Kevin akiwa kambeba mwanae kwa furaha....congratulation my friend.......Kevin the great ahhahahh.

MUIGIZAJI RICHARD MOFE DAMIJO ATIMIZA MIAKA 50.

Muigizaji wa siku nyingi Nollywood Richard Mofe Damijo a.k.a pastor Kenny amefanyiwa party na mkewe kwa kutimiza umri wa miaka 50 na kufurahia miaka 15 ya ndoa yao tangu walipooana,Richard alistaafu uigizaji filamu Nollywood tangu alipoingia katika siasa miaka kadhaa na sasa bado ni commissioner of culture and tourism katika Delta state huko Nigeria. Tizama keki hapo ziko mbili moja ya mchango wake katika movie Nollywood na inayofuata ni ya birthday yake kama zinavyoonekana katika picha.


Muigizaji wa siku nyingi Nollywood Mr.Chidi Mokeme nae alikuepo.


MR&MRS RMD.(RICHARD MOFE DAMIJO)


Mama mkongwe katika sanaa ya filamu na mmoja wa waasisi wa Nollywood na aliye mke wa muigizaji mkongwe Olu Jacob,..Bi Joke Silva nae alikuepo katika birthday hii.


Waliitwa waigizaji wenzake kupiga picha ya pamoja akiwemo rafiki yangu Ramsey Nouah.


Waheshimiwa wanasiasa wenzake nao walisogea kupiga picha ya pamoja.

Aug 19, 2011

MASTAA WA MOVIE GHANA NA NIGERIA WENYE FAMILIA ZAO(MKE\MUME NA WATOTO)

SWAHIBA WANGU RAMSEY NOUAH(NIGERIA) Ameoa na ana watoto watatu ila mtoto wake wa kwanza alizaa kabla ya kuoa anaishi Marekani,Mkewe anaitwa Emily na amezaa nae watoto wawili yaani Quency na Camili kama unavyoona katika picha hapo juu.


VAN VICKER(GHANA) Ameoa,jina la mkewe ni Adjoa,wamezaa watoto watatu ambao ni J'dyl,J-ian, na Vj kama unavyowaona katika picha hapa juu.


DESMOND ELLIOT(NIGERIA) Ameoa na mkewe anaitwa Victoria na mwaka jana walibahatika kupata watoto mapacha...kama unavyowaona hapo juu katika picha.


GENEVIEVE NNAJI(NIGERIA) Hajaolewa japo ana miaka 32 kwa sasa,ila ana mtoto wake wa kike anayeitwa Jullieth aliyemzaa akiwa na miaka 17 alipopachikwa mimba utotoni,mpaka sasa Jullieth ana miaka 15.watizame hapo katika picha.


MAJID MICHEL(GHANA) Ameoa tangu mwaka 2004 nchini kwao Ghana na mpaka sasa ana watoto wawili,picha hapo juu ni yeye na mkewe na mtoto wao wa pili.


OMOTOLA JALADE(NIGERIA) Ameolewa tangu ana miaka 18 na mmewe Mr.Mathew Ekehinde,walianza mahusiano yao tangu Omotola akiwa na umri wa miaka 16 kabla hata hajaanza kuigiza,mpaka sasa wana watoto wanne kama wanavyoonekana katika picha.

Aug 15, 2011

CHAKULA KI TAYARI KAENI MKAO WA KULA CHAJA MEZANI MDA WOWOTE KUANZIA SASA......NI RAMSEY NOUAH(NIGERIA) NA STEVEN KANUMBA(TANZANIA)

MTAANI MDA WOWOTE SASA..


TUONESHE UZALENDO HAPO KWA KUPENDA VYETU MTAANI MDA WOWOTE..

Aug 8, 2011

MUIGIZAJI WA NOLLYWOOD SAM LOCO EFE AFARIKI DUNIA...

Muigizaji mkongwe na mchekeshaji wa siku nyingi wa Nigeria SAM LOCO EFE ambaye mara nyingi alikuwa akiigiza na AKI na UKWA,amefariki akiwa hotelini chumbani kwake alipokuwa ameweka kambi kwa ajili ya shooting ya movie,atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa sanaa yake Nollywood.Wasanii wengi wa Nigeria walizoea kumuita Uncle Sam. Sam Loco enzi za uhai wake location


Baadhi ya movie alizokuwa akicheza...