Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 31, 2010

Semeni nyinyi...


HARUSI YA KEVIN NA ELIZABETH MWEZI WA KUMI NA MBILI

Mara baada ya kutizama big brother all stars jana jioni na kuona kuwa dada yetu Eliza na Kevin mshindi wa big brother revolution mwaka jana toka Nigeria ni wachumba,nilimtumia ujumbe mfupi wa simu Kevin nae akiwa na Elizabeth wakanipigia kushukuru kwa pongezi pia wakanitaarifu kuwa harusi yao ni mwezi wa kumi na mbili itakayofanyika Nigeria,Kevin akaniomba niwepo ahahah lakini akasema mwezi wa kumi anakuja bongo na mchumba wake kuweka mambo sawa.Hongera sana Kevin na Elizabeth Eliza na shemeji yetu Kevin

Aug 29, 2010

EXTRA BONGO WATAMBULISHA NYIMBO MPYA LEO.

Bendi kari ya mziki wa dansi EXTRA BONGO ikiongozwa na ALLY CHOKY imetambulisha nyimbo zake mpya katika ukumbi wake wa mazoezi wa LUFITA-Sinza mori,wadau mbalimbali na wana habari walikuepo kusikiliza vibao hivyo ambavyo kwa majina ni NEEMA na NGUVU NA KAZI.Hakika ni vizuri sana. The great nikiteta jambo na Ally choky mara baada ya kuingia hapo ukumbini

Extra bongo kazini

Wacheza shoo wake wakionesha mtindo wao mpya wa Kizigo

Style ya Kizigo ikiwa imepamba moto

Niliitwa mbele kutoa machache kama mmoja wa watu niliosaidia kufufua upya bendi hii pindi ilipozimika miaka ya nyuma,katika kikao cha kwanza kilichofanyika Hotel ya Lamada tulikua mimi,Ally choky na Chiff kiumbe tukaweka nia bendi hii ianze tena ndio hadi sasa mnavyoona inazidi kutingisha

The great nikifafanua kwa undani zaidiDada huyu jina kapuni alitia fola sana katika kucheza

Aug 26, 2010

Siku TK alipomtembelea The great location wakati wa shooting ya movie YOUNG BILLIONAIRE.

The great na Teddy Kalonga(TK)


Pozi tofauti na Tk.

Nikimkaribisha ktk set ili aone..

PICHA YA WEEK (OMOTOLA JALADE EKEHINDE)

Ktk pozi

Akiwa na mwanae

Aug 24, 2010

THE GREAT NIMERUDI HOME

The great nimesharudi bongo ambapo kwa takribani siku kadhaa nilikuwa mjini Nairobi-Kenya nikirekodi tangazo la ZANTEL,na hizi ndio picha wakati nikirudi. The great na Boby aliyekuwa msimamizi wangu wa shughuli nzima
Baadhi ya models waliokuwapo nao wakirekodi matangazo mengine kuanzia kushoto EVA,IMACULATE,MZEE MWAKYUSA

Eva model

Imaculate model

Michael model

Kenny,Zamda na Michael

Ndege tuliyokuja nayo

Aug 21, 2010

Jamani UBWABWA tayari umeiva......


Ile filamu mliyokuwa mkiisubilia kwa hamu "MORE THAN PAIN" yani waswahili wanasema "Zaidi ya maumivu" imeshakamilika kwa kiasi kikubwa na sasa tunaisubulia tuu kuingia sokoni...
kaeni mkao wa kula.....

KIDUM NA THE GREAT-NAIROBI

Msanii maarufu wa mziki nchini KENYA na rafiki yangu aliamua kunitembelea Hotelini kwa maongezi na kusalimiana kama wasanii lakini pia akanipatia zawadi ya CD ya nyimbo zake zilizo katika albam yake mpya iitwayo HATURUDI NYUMA,Tukapata na picha za kumbukumbu nami nawapatia habari kama hivi. The great na Kidum pembeni ya gari yake

Kidum alikuwa ameulambia mkanda nje maana alikuwa anaenda kupaform katika harusi moja hapahapa mjini Nairobi.

Albam yake aliyonipatia inavyoonekana kwa mbele.

Kwa upande wa nyuma inavyoonekana....Asante sana Kidumu kwa ZAWADI HII.

BAADA YA KUMALIZA KAZI SASA IKAWA NI WAKATI WA KUPONGEZANA KWA KAZI NZURI NDANI YA CARNIVORE-NAIROBI

Yaani nyama zilikuwa haziishi kila nikimaliza sahani nashtukia ingine hiyo

Production team nayo ilikuwa mstari wa mbele kuhakikisha sahani zinateketea

story za hapa na pale zikiendelea

The great walaaaa sina maneno mengi ni mimi na sahani tu

Ebu tizama meza

Aug 20, 2010

THE GREAT MZIGONI NAIROBI

Warembo hawa walisogea karibu kuniona ninavyopiga tangazo

Nikipewa mistari ya kuongea

Nikipata maelekezo toka kwa director toka India

Director akinipongeza kwa kufanya sawasawa na alivyokuwa akitaka hivyo kazi kuwa rahisi sana

The great pioneer nikijiweka sawa kwa take ingine

Kama kawaida yangu napenda sana kucheka na utani kidogo

Nikitoa mchango wangu wa maoni juu ya script niliyopewa ambapo waliukubali asilimia 100

The great na Mr.Rashid Tenga

Vifaa vikiwekwa sawa ili kijana niwake

Ninavyoonekana ktk monitor ya camera

The great kazini

Msisitizo wa ki zantel

weweweweeee?

Hakika ZANTEL ni bomba..

Nikiendelea

Nikipata make up tayari kwa kuanza kushoot