Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 30, 2011

HAPPY BIRTHDAY DADA SANURA HUSSEIN.MUNGU AKUBARIKI NA KUKUZIDISHIA MAISHA MAREFU YENYE BARAKA NA AMANI DADA YANGU KTK SIKU YAKO HII NZURI YA KUZALIWA...Salamu kwa Sharifa(Uncle)

SALAMU ZANGU ZA MWAKA MPYA KWA MASHABIKI WANGU WOTE...Dec 29, 2011

Dec 26, 2011

THE GREAT NA X MASS...

Mara baada ya kutoka kanisani niliandaa chakula nyumbani kwangu,nikachoma nyama ya mbuzi na kuku,nikaandaa vinywaji,basi nikawaarika ndugu na jamaa wachache tu waje nyumbani tufurahi xmass hii.Kila mtu nilihakikisha anapata kinywaji anachopenda hata wanywaji wa pombe nao walipata wanachokipenda.Maandiko yanasema tazama ilivyo vyema kwa ndugu kukaa pamoja na kufurahi.
Sebuleni kwangu ndio kulikuwa counter...ahhahah
Walikuepo wazee wa konyagi,wazee wa nyama choma ahahahh
Story za hapa na pale zilikuepo.
Kubadilishana mawazo.
The great na bbm?kha?

Watu wakafurahi nami nikafurahi maana nimekuwa busy sana mara shooting,mara safari nje ya nchi,mara safari za Startimes,mara safari za Oxfam,mara busy ofisini nakosa mda wa kujumuika hivi nyumbani,hivyo x mass hii nikaimaliza hivi.Zaidi ya yote sifa na utukufu nikamrudishia GEHOVA EBENEZER,GEHOVA ELISHADAI,GEHOVA SHAMA.......EMMANUEL(Mungu pamoja nasi)

Dec 24, 2011

SOMA KWA MAKINI HAPA......


SALAMU ZA X-MASS.

HARUSI YA CHINEDU IKEDIEZE(AKI) ILIVYOFANA LAGOS-NIGERIA.

P.SQUARE WALIKUEPO.
MR&MRS CHINEDU IKEDIEZE
Naapa nitakupenda na kukulinda katika shida na raha......
Wazazi wa Chinedu(AKI)
Ilibidi Bi.harusi ake ili aweze kukumbatiwa vizuri
Osita Iheme(UKWA) na P.square walijumuika pamoja kupata picha
Mizikiiiiiiiiiii mizikiiiiiii....
Maswaiba.
Chinedu akiondoka na kifaa chake toka kanisani.
Wazazi wa Bi.harusi kanisani.
Naapa nitakupenda na kukuheshimu mume wangu Chinedu.........
Waohhh......
Gari waliloondoka nao..

SALAMU ZANGU ZA X-MASS


Katika mikoa niliyotembelea na STARTIMES hii ilikuwa ni mojawapo ya matangazo ya Startimes.

Dec 21, 2011

CHAKULA CHA X-MASS HICHOOOOOO PATA NAKALA YAKO ORIGINAL IJUMAA HII.

KAMA KAWAIDA YANGU KUCHEZA NA WATOTO KILA MWAKA,MWAKA JANA NILIMLETA KWENU JENIFER MWAKA HUU NAFUNGA NA BIG DADDY NDANI NIMEMLETA KWENU SOPHIA.NI MOVIE YA FAMILIA,NI MOVIE YA WATOTO,USIOGOPE KUTIZAMA UKIWA NA MAMA,BABA,MTOTO AU YOYOTE YULE,NI FULL KUCHEKA TU,TIZAMA VIPAJI VIPYA KABISA HAVIJAONEKANA POPOTE NDIO NIMEWAPIKA NA NAWAIBUA IJUMAA HII.

ILIVYOFANA BIRTHDAY PARTY YA IRENE UWOYA....2

NO BIFU NI UPENDO TU
WEMA NA UWOYA
UWOYA NA MAYA
UWOYA NA UWEZO
UWOYA NA SALAMA JABIR
UWOYA NA CHOPA
NO BIFU TENA NI UPENDO TU,WEMA,IRENE NA WOLPER
DOTNATA AKITOA MAWAIDHA KWA UWOYA
MAGE NA IVON
IRENE NA SWAIBA WANGU NA MSANII WANGU PATCHO MWAMBA a.k.a MWAMBA WA LUKUSA WA KASAI a.k,a DIABOLOS.,a.k.a VYOVYOTE VILE.