Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 27, 2011

THIS IS IT......MY NEW NEW BRAAAAAAAAAAND CAR.....ITS LAND CRUISER-LEXUS-V8 a.k.a millioni 78,..THIS IS IT.

SHUKRANI ZANGU ZA DHATI KWENU MASHABIKI WANGU WA KWELI NA WENYE UZALENDO NA KAZI ZA WASANII WA NYUMBANI,MFALME WETU WA MBINGU NA DUNIA JEHOVA AZIDI KUTUBARIKI,KUTUONGOZA NA KUTUSIMAMIA, HEKIMA NA MAARIFA ISITUPUNGUKIE HASA TULIO WAKE MAANA KATUAHIDI KUWA VINARA NA SI MKIA. KWA UPANDE HUU


FRONT....


NDANI KWA MBELE


KWA NYUMA KUNA SCREEN UNAWEZA KUTIZAMA MOVIE


MUONEKANO WA NDANI


MZIKI NILIOUFUNGA.NI RHUMBA KWA KWENDA MBELE..


KWA NYUMA.


THIS IS IT,,,,,,

Oct 25, 2011

HUYU NDIYE TABOU FATU....

Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo za kiCongo lazima utakuwa umeshasikia hili jina likiimbwa sana,hata mimi nimekuwa nikijiuliza huyu ni nani?katika albamu ya zamani ya JB MPIANA (Feux de' la amuor)alimuimba huyu dada katika wimbo TOP MODEL,katika albamu ya FALLY IPUPA(Droit chemin)wimbo LIPUTA kamuimba sana,Koffi Olomide na wengine humuimba sana,kumbe ndiye huyo hapo ni mdada mrembo anayeishi Bruxells-Ubelgiji,anasifika kwa uzuri na kupiga pamba ndio maana huitwa Tabou Fatu a.k.a Top model wao hutamka top modele,a.k.a mama na compresso,ni tajiri mwenye maduka makubwa ya nguo Ubelgiji na Paris-Ufaransa,inasemekana yeye ndio alimpa pamba Fally Ipupa katika albamu yake ya kwanza(Droit chemin).Ni mdau mkubwa sana wa miziki ya kiCongo na ameshahusika sana katika kuwaarika wanamziki Ufaransa.

Oct 22, 2011

CHAKULA HIKI KI TAYARI MEZANI WIKI IJAYO.....

Inaitwa ''BECAUSE OF YOU'' kutoka KANUMBA THE GREAT FILM,nimeigiza mimi,Rose Ndauka,Thea,Grace Mapunda,nk,Mtunzi ni Rose Ndauka na amekamua vilivyo mpaka nikahisi naigiza na msanii wa nje na si Rose niliyemzoea.......BECAUSE OF YOU.....kama kawaida yangu kubadilika ukitazama movie hii utaona mabadiliko sana mojawapo ni hakuna scene ndefu ndefu za kupoteza mda yaani kifupi hakuna scene inayokaa zaidi ya dakika moja na zote zina speed,hakuna uongeaji mwingi kwa characters wameongea kidogo tu ila vitendo kwa sana.Pata nakala yako original bila kuazima au kukodisha. Dah kwa cover hii kwakweli I-VIEW MEDIA big up sana,Kaka yangu RAQUE hongeraaaa kazi moja tu tujitaidi bongo muonekano wa cover zetu huakisi yaliyomo ndani kuanzia QUALITY ya picha,uigizaji,directing,production kwa ujumla.nadhani katika movie hii achilia DEVIL KINGDOM na hii pia nimefanyia kazi mambo mengi.

RITA DOMINIC APEWA TUZO YA KUWA SINGLE KWA MDA MREFU.

Msanii wa Nollywood Rita Dominic amepewa tuzo ya ''Nollywood best single actress''Hilo limetokana na yeye kuwa na umri wa miaka 37 lakini hana mume wala mtoto na ni mda toka aishi maisha hayo japo alishadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Jimmy Ike. Rita akiwa na tuzo yake,mwenyewe anasema yuko poa tu na life hilo,mastaa wengi tu hata hapa bongo hupenda kuishi hivi au hufikia wakati wakaamua tu kuzaa basi ila suala la ndoa hawataki kabisa kulisikia kwasababu ambazo ipo siku nitazizungumzia hapa.

Oct 13, 2011

TANGAZOOOOOO

Oct 2, 2011

HAYA KAZI IMEANZA........PATA KING'AMUZI CHAKO KWA RAHA ZAKO...

THE GREAT AWA BALOZI WA STARTIMES...

Napenda kushukuru uongozi mzima wa STARTIMES kwa kunichagua kuwa balozi wao,nami naahidi kufanya kazi nanyi kwa umoja na ushirikiano. Mkurugenzi wa STARTIMES akifungua rasmi bahati na nasibu ya KULA TANO itayoendeshwa na STARTIMES kwa mwezi mmoja.


Kwa niaba ya waziri mkuu,mheshimiwa waziri E.Nchimbi alitoa hotuba


Bahati na nasibu ya KULA TANO ikizinduliwa rasmi


Mara baada ya kusaini mkataba The great nilishukuru kwa nafasi hii niliyopewa.


Nikipewa pongezi na mawaidha hapo kwa lugha ya Kichina lakini nikisaidiwa na huyo dada akitafsiri kwa kiingereza.


THT walikuepo kutoa burudani.


The great nikiwa na mzee wa masoko kutoka STARTIMES Mr.Davis


Aliyekuwa MC wa shughuli nzima na rafiki yangu wa siku nyingi Taji Liundi,The great na Davis.