Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Feb 27, 2011

BONGO FLEVA FC WASHINDA GOLI 2-0 DHIDI YA BONGO MOVIE FC

KATIKA UWANJA WA TAIFA KULIPOKUWA NA MECHI KATI YA BONGO FLEVA FC NA BONGO MOVIE FC ILIYOFANYIKA KWA LENGO LA KUCHANGISHA PESA KWA AJILI YA KUSAIDIA WAATHIRIKA WA MABOMU YA GONGO LA MBOTO TIMU YA BONGO FLEVA IMEIBUKA NA USHINDI WA 2 KWA 0 HIVYO SISI WAZEE WA FILAMU TUMETOKA NA SAHANIIIIIIIIIIIIIIIII.........HONGERA BONGO FLEVA FC ILA TUNAOMBA MARUDIO. Timu zikiingia

tayari kwa kuanza







CP akitoa burudani huku orijino comedy wakimsindikiza



Jearad toka STEPS,Me ,Mama Dotnata na Mr.Posh





Umatiii





uwanja ulifurika

Timu zote zikiingia uwanjani

Feb 26, 2011

HII NI ''''THE SHOCK''''' na huyu ni SHAZ SADRY muigizaji mpya na bora kabisa.

ME na SHAZ ktk scene

Scene ya chakula

Shockkkkkkkk????

Hii mandhari ilibuniwa na kupambwa na Shaz Sadry hii inaonesha huyu dada ni zaidi ya muigizaji.

mmmh?

SHAZ kazini







scene ikiendelea....

Feb 22, 2011

THE SHOCK...bado inapikwa...

Tukipitia script kwanza kabla ya kushoot scene..

Rehasal kwanza me na Ben kabla ya camera kuwashwa...

Nikisikiliza maneno ya Shaz katika script jinsi anavyoyatamka kabla ya kushoot

Tatizo la umeme ni kikwazo kikubwa sana katika shooting zetu,kuna wakati inabidi tukae tupige story kama hivi umeme ukikatika,sijui ni lini hili tatizo litaisha?Yaani nchi hii Mungu atusaidie sana na tusali sana maana umeme ni wetu,mabomu yetu,wazee wetu nao wanalalamika juu ya mafao yao,machafuko ya kisiasa Arusha......Wapi tunaenda????

Gari yangu ya production ikiwa imebeba wasanii ikifika location

Nilitembelewa na wasanii wenzangu JB,RICHIE,KUAMBIANA katika kutiana moyo katika gurudumu hili..





Nikiteta jambo na JB na Adam Kuambiana.

Kazi ikiendelea..

THE GREAT NDANI YA JUKWAA LA SANAA(BASATA)

Jana nilipata mwaliko wa kuhudhuria jukwaa la sanaa ambalo hufanyika kila jumatatu hapo Baraza la sanaa taifa,nilipata nafasi ya kuzungumza mengi na uongozi wa BASATA lakini pia waandishi,wanachuo na wadau mbalimbali wa sanaa hii ya filamu,mada ilikuwa ni jinsi gani twaweza ifikisha tasnia ya filamu kimataifa zaidi. The great nikiwa meza kuu na uongozi wa juu wa BASATA.kushoto ni katibu mkuu wa basata.

Nikiifafanua mada hiyo kwa uyakinifu



Umati wa watu mbalimbali wakiuliza maswali ambayo niliyajibu vizuri na kwa ufasaha

Niki note kidogo baadhi ya point zilizoongelewa hapo

Swali hilo kwanini majina ya filamu zetu ni kiingereza wakati ndani ni kiswahili?...nilijibu swali hili lakini pia niliweka angalizo kuwa si filamu tu pekee hata radio,tv,vyama vya siasa,shule n.k majina yao ni kiingereza ila ndani wanaongea kiswahili hapa bongo hivyo.

Ilibidi nisimame ili watu wote wanione

Hapa nikielezea jinsi utandawazi nao jinsi unavyoharibu maadili.

Katibu wa basata nae akichangia machache juu ya mada yetu.....

Feb 16, 2011

THE GREAT KAZINI NA ...''''THE SHOCK''.....

Kama nilivyotangulia kusema hapo mwanzo kuwa mimi maneno sijui ila kazi tu,ndio hivyo nimenza kushoot movie yangu mpya mara baada ya kumaliza ziara yangu HOLLYWOOD(USA),Jina la movie ni ''THE SHOCK'' Katika movie hii nimeendelea na utaratibu wangu wa kutambulisha na kuibua vipaji vipya kabisa ambavyo havijawai kuonekana katika movie yoyote kama ilivyokuwa mwaka jana nilimtambulisha JENIFER,PATRICK NA PATCHO sasa katika ''THE SHOCK''..namleta kwenu SHAZ SADRY kwa mwaka huu ambaye ndiye mhusika mkuu katika movie hii na kwa mwaka huu mtamuona sana katika movie zangu kama msanii mpya na mwenye viwango vyote vya uigizaji bora katika filamu. Patcho na Shaz wakipitia script kidogo

Wakijiandaa tayari kwa kushoot

Kazi ikiendelea vizuri

Picha kidogo..

Standby....

Shaz akiwa kabadilisha nguo tayari kwa kushoot scene ingine...

The great na Shaz Sadry katika scene...

Pozi kidogo la picha....

The great na Patcho Mwamba kazini..

Shaz na The great pioneer kazini tukiitendea haki '''''THE SHOCK''''''