Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Apr 30, 2010

THE GREAT NDANI YA SAVANA LOUNGE KUONA MACHOZI BAND

Siku ya jana alhamis saa tano usiku niliamua kumtembelea dada yangu wa ukweli LADY JAY DEE na swahiba wangu wa siku nyingi CAPTEN GADNER G.HABASH pale SAVANA LOUNGE ambapo bendi yake BORA KABISA ya MACHOZI BAND hutoa burudani ya nguvu kweli kwa mashabiki wake wa ukweli kila siku za Alhamis hakika niliburudika sawia na nilipapenda sana kuanzia usalama wa magari katika parking lakini pia ndani ni kiwango unapata burudani bila ya jasho maana ubaridi mda wote wakupuliza vinywaji vya nguvu na watu wa maana lakini lililo kubwa zaidi ni namna bendi ya machozi band inavyokonga nyoyo toka moyoni na rohoni kabisa,hakika si pa kupakosa jamani wadau wa filamu nanyi mje kwa wingi ni vizuri kubadilisha mazingira. Mecky Macha a.k. mama wa lovely gamble,The great na Kajala tulikuepo hapo kupata burudani


mmmmmh mimi sijui?kwa mbali mkono wa kulia ni aliyekaa ni The big producer wa movie toka UK Mr.Allan Kallinga.


Nilikutana na mashabiki wangu wa ukweli bila fitna kushoto ni Upendo wa chanel ten wote hapo walikuwa wananambia kati ya filamu zangu ambazo haziwaishi hamu kila wakati ni RED VALENTINE NA VILLAGE PASTOR ILE MACHO KWA MACHO.

The great pioneer,Jide na wadau mbalimbali wa filamu na mziki kwa pamoja tukiburudika

The great pioneer,mdau kushoto na swahiba wangu wa siku nyingi capten G.HABASH kwa pamoja

My lovely sister Lady jay dee na mimi kwa pamoja,pengine mnaweza kuuliza kwa nin i namuita my lovely sister,wote ukiangalia historia zetu tulikotoka au kuanzia ni Shinyanga,na kali zaidi ni kuwa shule ya msingi aliyoanzia JIDE ndipo namimi nilipomalizia hapo Shinyanga japo alikuwa kanitangulia ni Bugoyi primary school,ni mchapakazi kama nilivyo mimi ni dada anayependa kuanzisha kitu ambacho hakijawai fanywa na yoyote katika historia ya mziki wa kisasa hapa home,hupenda amani,umoja na ushirikiano kwa watu wote kama mimi,husaidia wasiojiweza kama yatima maana tumeshakutana mara kadhaa katika changizo za watoto yatima tofauti na wasanii wengine,hapendi kuona mtu mnyonge akikashifiwa au kutukanwa kama mimi,pamoja na matatizo kadha wa kadha tunayopata kama binadamu au wasanii lakini bado huweza kusimama imara na kusonga mbele katika kazi kama mimi,kwa haya tu baadhi she is my lovely sister,She is my best friend.

Savana utakutana na watu mbalimbali mashuhuri hapa napo nilikutana na rafiki yangu Mheshimiwa Amosi Makalla hapo nilimtania kidogo kuwa jimbo la mvomero nitagombea mimi akanimbia kijana acha kabisa nimetoka kwa Obama kuchukua tuzo yangu ikiwa huko wamejua mchango wangu na kunikubali unadhani jimboni itakuaje nimeshashinda tayari nangoja tarehe tu ,nikamtakia kila heri mheshimiwa ambae nimeshawai kuhudhuria mkutani wake wa chama kule Reading-UK,Moja ya kauli zake ninazozipenda ni 'Ukiwa na roho mbaya sana enzi za ujana wako basi ukizeeka lazima uwe mchawi"''

UZINDUZI WA LOVELY GAMBLE WAFANA SAAAAANA

The great nilipewa certificate of appreciation kwa mchango wangu wa kufanikisha film ya Lovely gamble.wengine waliopata ni Ankal,Mecky Macha,Frank Eyembe,MR.Allan Kalinga na Mashujaa pub.

JB,DR.CHENI NA MZEE CHILLO WAKICHEZA KISIGINO


MZEE CHILLO.AUNTY,MR&MRS SAMEER TOKA PILIPILI ENTERTAINMENT NAO WALIKUEPO

BIG PRODUCER WA MOVIE TOKA UK MR ALLAN KALINGA(KATIKATI)AKICHEKA PAMOJA NA THE BIG TWO.KUSHOTO NA KULIA

TWANGA PEPETA WALITOA BURUDANI YA NGUVU SANA

SWAHIBA WANGU GADNER AKIWASILI KATIKA RED CARPET ILIYOKUWA IMEANDALIWA KWA AJILI YA MASTAA TU AKADAKWA NA SAUDA MWILIMA KWA MAHOJIANO

DADA YANGU WA UKWELI LADY JAY DEE NA SAJENTY MARA BAADA YA KUMALIZA KUPITA KATIKA RED CARPET WAKAWA WANAPATA MAPICHA


ULIKUWA LAZIMA UKIPITA KATIKA RED CARPET UHOJIWE KIDOGO KUHUSU PAMBA ULIZOPIGA NANI KAKUBUNIA PIA UNASEMAJE KUHUSU LOVELY GAMBLE MOVIE

ASHA BARAKA NA ALLAN KALINGA BAADA YA KUPITA KATIKA RED CARPET WANAHIJIWA NA MTANGAZAJI MAARUFU SAUDA TOKA STAR TV

RIYAMA NA THE GREAT KATIKA PICHA NJE KABLA YA KUINGIA NDANI

THE GREAT NILIKUWA NA ULINZI MKALI SANA


HAPA NDIPO LINAPOKAMILIKA JINA LA THE GREAT PIONEER NIKIWASILI UKUMBINI TOKA KATIKA USAFIRI ULIONILETA WA LIMOZINI YA UKWELI NIKAKANYAGA RED CARPET KWA PICHA NA MAHOJIANO KADHA WA KADHA HAKIKA ILIPENDEZA SASA TWASUBIRI UZINDUZI WA HUKO UK-READING TAREHE 29 MWEZI UJAO SIJUI KAMA WATAWEZA KUTUFUNIKA SISI HUKO NGOJA TUONE MAANA MPAKA SASA HAPA BONGO TUMEFUNIKA ILE MBAYA KAZI KWENU WAZEE WA UK,WAZEE LONDON,WAZEE WA LEICESTER,WAZEE WA READING TWASUBIRI TUONE

Apr 28, 2010

KAZI NDIO YAMALIZIKA SASA NA PILIPILI ENTRNTM...

SCENE ZA MWISO MWISHO KUMALIZA MOVIE

MLELA,MONA,MZEE CHILLO,JANET WAKIWEKA POZI LA KUMALIZA MOVIE


HIVI NI VITUKO VYA YUSUPH MLELA FURAHA YA KUMALIZA MOVIE

MLELA ALIMNYANG'ANYA MONALISA MKANDA WAKE WA KIUNONI WA KIKE NA KUVAA YEYE BASI IKAWA BURUDANI


KATIKATI YA SCENE VIJANA WAKAAMUA KUPOZA KOO KWANZA

AUNTY AKIFANYIWA MAKE UP NA VINOD


YUSUPH MLELA NA AUNTY KAZINI

AUNTY AKIFANTIWA MAKE UP HADI MIKONO NA SHINGO HII SI KAWAIDA KWETU MAANA TUMESHAZOEA KUPAKA MAKE UP USONI TU

Apr 27, 2010

THE GREAT NA WATOTO

Watoto hawa walikuwa wakimsumbua sana baba yao wakitaka kuniona hivyo ilimbidi baba yao anitafute na kuja location ninaposhoot ili kuniona na kupiga picha na mimi kama unavyoona.
PILIPILI ENT...NA VIFAA VIPYA VYA SHOOTING

Hapa ikifungwa stand maalum ya camera kwa ajili ya kushoot scene za magari,stand hiyo hufungwa camera na gari kuendeshwa popote pale kwa speed bila ya camera kudondoka.

Stand imeshafungwa tayari sasa camera ikiwekwa.


Tayari camera iko ktk stand yake na imeshafungwa katika gari tayari kwa kuanza kurekodi


Baadhi ya vifaa ambavyo viko stand by iwapo kifaa kimojawapo kitakuwa na matatizo basi huchukuliwa upesi ili mda usipotee

Vifaaaa

The great kazini

Apr 25, 2010

MAMBO YA MREMBO JULLIANA PIERRE..

Akiwa katika moja ya kazi zake za modelling,ni mtoto wa kitanzania aishie Holland.

Julliana PierreAkiwa na rafikiye ktk kiwanja flani Holland
Chillin....

PICHA YA WIKI KATIKA SHOOTINGTHE GREAT NA MAZOEZI YA MWILI

Hapa nikitengeneza mabega yawe katika hali nzuri ya mvuto kwa nyuma

Nikitengeneza bega kwa mbele

Hapa nikitengeneza kifua kwa zoezi hili.
Nikitengeneza mkono,check kijana nlivyo makini

Apr 24, 2010

NIMEKUBAMBA SIJAKUBAMBA

Juzi nilipofika location maeneo ya GIRAFE HOTEL nilikutana na rafiki yangu Richard akirekodi kwaya fulani,nami nikampongeza kwa kazi yake nzuri maana kwa sasa anaendesha shughuli zake mwenyewe kwa kutumia vifaa vyake hasa hasa kwa kukumbuka kuwarekodi watumishi wa Mungu. The great na Richard au baba Joshua


Richard kaziniRichard kazini huku nikimwangalia

MAMBO BADO LOCATION NA PILIPILI ENT.

NIKISUBIRIA ACTION NIANZE

CHECK HIYO TAA NI KUBWA SANA KTK KUTOA MWANGA


HIVI NI BAADHI YA VIFAA VYAO SHOOTING


BREAK TIME

KAZI HII INAITAJI WITO


HII GARI IMESIMAMA IKITIKISWA NAMI NAACT LAKINI GARI HAIENDI POPOTE LAKINI WAKATI WA EDITING GARI ITAONEKANA INAKIMBIA SANA HAYO NI MAMBO YA TECHNOLOGIAKWA MBELE INAVYOONEKANA

THE GREAT KAZINI


CHECK HIYO TAA NINAYOSEMA UWEZO WAKE NI MKUBWA MNO NI ZAIDI YA TAA 3 ZA KAWAIDA TUNAZOTUMIA KTK SHOOTING ZETU ZA KAWAIDAHILO JANI LINAPITISHWA KATIKA TAA HAPO KUNA MAANA YAKE YAANI GARI INATINGISHWA NA JANI LINAPITISHWA HAPO BASI INAONEKANA GARI LIKIKATIZA PORINI KWA KASI