Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 21, 2011

ILIVYOFANA BIRTHDAY PARTY YA IRENE UWOYA....2

NO BIFU NI UPENDO TU
WEMA NA UWOYA
UWOYA NA MAYA
UWOYA NA UWEZO
UWOYA NA SALAMA JABIR
UWOYA NA CHOPA
NO BIFU TENA NI UPENDO TU,WEMA,IRENE NA WOLPER
DOTNATA AKITOA MAWAIDHA KWA UWOYA
MAGE NA IVON
IRENE NA SWAIBA WANGU NA MSANII WANGU PATCHO MWAMBA a.k.a MWAMBA WA LUKUSA WA KASAI a.k,a DIABOLOS.,a.k.a VYOVYOTE VILE.

ILIVYOFANA BIRTHDAY PARTY YA IRENE UWOYA..




NIKIPIGA STORY NA SALAMA NA FD Q.

BADALA YA KEKI KULIKUWA NA NDAFU YA MBUZI.
AKIMLISHA MUMEWE
AKAFATA JB
AKAJA A.Y
MC ALIKUWA MAIMATHA NA STEVE NYERERE

Dec 19, 2011

NIKAMALIZA NA DODOMA.





Huyo ni Kanumba wa Dodoma jamaa anaweza kuigiza ninavyocheka ninavyovaa,hivyo nikapiga nae picha na kumpa zawadi.
HOTEL NILIYOFIKIA-DODOMA HOTEL.





NIKAELEKEA TANGA NA STARTIMES.

Interview redioni...
Interview na waandishi wa habari
Ofisini
Kazini
Kila aliyenunua bidhaa za Startimes alipiga picha na mimi.
Interview Tanga tv.

KAZI IKAENDELEA MOSHI MPAKA USIKU NIKAKUTANA NA RICHARD WA BIG BROTHER.

Picha ya pamoja na wafanyakazi wa Startimes Moshi
Nikiweka sahii katika kalenda ambazo watapewa wateja wa king'amuzi.
Zawadiiii

Nikimtambulisha Richard kwa mashabiki wangu na wateja wa Startimes.



CHAKULA CHA MCHANA CHA KICHINA -MOSHI.





NIKAELEKEA MOSHI......

HOTEL NILIYOFIKIA NA CHUMBA NILICHOCHAGUA.