Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 19, 2011

NIKAMALIZA NA DODOMA.

Huyo ni Kanumba wa Dodoma jamaa anaweza kuigiza ninavyocheka ninavyovaa,hivyo nikapiga nae picha na kumpa zawadi.
HOTEL NILIYOFIKIA-DODOMA HOTEL.

8 comments:

Anonymous said...

we kanumba unatuonyesha mahoteli makubwa unayofikia tuonyeshe na chubani kwako! kukoje!!!

Anonymous said...

we kanumba unatuonyesha mahoteli makubwa unayofikia tuonyeshe na chubani kwako! kukoje!!!

Anonymous said...

Kanumba kaka yangu mshukuru sana mungu kwa jinsi alivyokuinua na kukubariki. Siyo wasanii wote wanaweza kufika ulipo na ukitaka kubarikiwa zaidi usisahau kumtolea Mungu sadaka za shukrani na fungu la kumi kwa kila unachopata.

BIG UP KANUMBA
All the best!

Anonymous said...

MUNGU NI MWEMA, ENDELEA KUMWAMNI NA UTAFANIKIWA ZAIDI YA HAPO

Anonymous said...

Nimeipenda sana Dodoma hoteli naomba unitajie bei ya chumba.

Anonymous said...

Nimeipenda sana hoteli naomba unitajie bei ya chumba . Ni kiasi gani.

Anonymous said...

natamani ningekuja tulale wote sweet wangu steve

Anonymous said...

nalia tu mail zangu mbon ahupendi kunijibu? bebeshi nkoi kwani olebize sana otodola kunina amajib ga mbateee e imali yaneeyoshinakakotomela, ninga olebize sana nkoi.