Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 21, 2011

ILIVYOFANA BIRTHDAY PARTY YA IRENE UWOYA..
NIKIPIGA STORY NA SALAMA NA FD Q.

BADALA YA KEKI KULIKUWA NA NDAFU YA MBUZI.
AKIMLISHA MUMEWE
AKAFATA JB
AKAJA A.Y
MC ALIKUWA MAIMATHA NA STEVE NYERERE

19 comments:

Anonymous said...

birthday ya uwoya ilikuwa nzuri sana imefana lakini mimi kwa mtazamo wangu naona kama bwana wake ndikumana hana raha na hiyo ulishaji wa uwoya kwa mumewe hai-make sense anamlisha keki utafikiri ni mtu hamjui kabisa ingetakiwa wakati anamlisha keki amkumbatie kama alivyo mkumbatia jb kwakweli ulishaji huu kwa mumewe haionyeshe upendo baina yao huo ni mtizamo wangu tu

Anonymous said...

nywele za njano??????????????oh my god where is she from????????????does she watch tv or use internet???kutafuta publicity has its costs!!!!!good luck!

Anonymous said...

km kuna chochote i min chochote cha kuwatofautisha wewe na ray mi km shabiki naomba mkimalize mfunge mwaka vizuri jamani hata km ni cha chini chini km inavodaiwa mnatisha kwenye hii industry kila m2 anawatazama sasa mkileta za kike kike km kina wolper ni AIBU

Anonymous said...

IRENE,WEMA NA WOLPER, NASHUKURU SANA KWA KUPATANA KWENU LAKINI NAOMBA ISIWE UPENDO WA KINAFIKI, MUNGU ANAWAPENDA SANA MUENDELEE KUISHI KWA UPENDO NA AMANI
HAPPY BIRTHDAY IRENE

Anonymous said...

jaman Kaka wewe na Ray kuna nini? Tumezoea party kama hizi mnakuwa pamoja na kupiga picha sasa kilmtu kamkaushia mwenzakw, mkiwa kama mtu na mdogo wake na maswahiba mlioshibana nawaombeni sana mmalize hizo tofasuti zenu haziwajengi bali zinabomoa industry yenu, mbona irene, wema na wolper watoto wa kike wamepatana sembuse nyie... Kwa kweli sie mashabikui wenu hatupendezwi na hiyo tabia mnayoionyesha kaka

sophy said...

ilikuwa bomba wema amenibamba thana,

Milka Richard said...

Mabifu hayapendez na yanaludisha nyuma tasnia yenu ya filam.Binafs nafulah kuona wamemaliza tofaut zao.Mbona cjaona picha ya swahiba wako kipenz ray??hii itanifanya niamin kwel mna bifu la kichinichini.Ni mda mrefu nafatilia post zako coni ukimzungumzia wala yy akikuzungumzia.NA KWA NN UNAKAA KIMYA???NIKULUHUSU,NA KUWAFANYA WA2 WAAMINI KUWA KWELI MNABIFU KANUMBA???FUNGUKA!,BINAFS NAUMIA COZ NAPENDA MAENDELEO YENU,NA CPEND KUONA MNAGOMBANA KWA VI2 VYA KIJINGA NA KIPUMBAVU. NA NI MSHABIK WA KAZ ZENU NAMBAL MOJA.

Milka Richard said...

Mabifu hayapendez na yanaludisha nyuma tasnia yenu ya filam.Binafs nafulah kuona wamemaliza tofaut zao.Mbona cjaona picha ya swahiba wako kipenz ray??hii itanifanya niamin kwel mna bifu la kichinichini.Ni mda mrefu nafatilia post zako coni ukimzungumzia wala yy akikuzungumzia.NA KWA NN UNAKAA KIMYA???NIKULUHUSU,NA KUWAFANYA WA2 WAAMINI KUWA KWELI MNABIFU KANUMBA???FUNGUKA!,BINAFS NAUMIA COZ NAPENDA MAENDELEO YENU,NA CPEND KUONA MNAGOMBANA KWA VI2 VYA KIJINGA NA KIPUMBAVU. NA NI MSHABIK WA KAZ ZENU NAMBAL MOJA.

Anonymous said...

jamani birthday ya uwoya umependeza sana na walioudhuria wamependeza na wamefanya jambo la maana kupatana maana mabivu haina maana yeyote ni kupotezana muda tu na ukizingatia wote wanafanya kazi pamoja hilo ni moja pili jamani uwoya hizo nwele za njano au red hazikupendezi kabisa kuna siku hapo juzijuzi ktk kipindi cha zamaradi wakati wakihojiwa na wema kipindi cha take one alikuwa amependeza ni ajabu mimi hata kwa mara ya kwanza kumwona pale take one kwa haraka sikumwelewa ni mpaka alipozungumza ndio nikajua ni uwoya kwakweli siku hiyo alipendeza sana kama anasoma hapa namwambia siku hiyo nampa 100% na hiyo nywele yake siku hiyo sijui ilikuwa natural au vyovyote lakini hizo nywele ziku hiyo ilimpendeza sana sijui nisemeje anielewe angeachana kabisa na hayo manywele ya marangi uwoya ni mzuri sana ila hajijulii yaani siku hiyo ya kindi cha take one alitoka bomba sanapls uwoya endelea hivyo hivyo

Anonymous said...

ila kanumba umenifurahisha saana hupendi maneno,nimeingia blog zenu zotembili wewe naya ray ila ray ameonyesha picha za birthday ya uwoya ametajamanjian ya picha zote ila kunavimaneno mafumbo sio vzuri anakuwa mswahili saana,mbona wewe kanumba umeonyesha picha nahukuongea fumbo hata moja kanumba nakurespect saana hunaga manenomaneno kabisa,endelea hivyo na mungu ndomana anakubariki kila siku embu ona unavyopata kazi zamaaana nje ya kuigiza,leo upo airtel na kwenye shirika la chakula wamekupa jukumu kule ubarikiwe saana kaka ur my favorite actor in tanzania always hata wakuseme ,wakucheke lakini inaonekana kazi zako waaaazi na baraka kibao.yaani nakuombea mungu umpate mke mwema toka kwa mungu,mimi mdau sweden as always huwa nakuandikia kukupa supot nakukupamoyo nakupongeza,sio wivu na vbijiba vya roho.havisaidiiii kamwe.be blessed KANUMBA.

Tinah said...

kanumba please mii binafsi sio mpenzi wa movie za bongo na nikiangalia movie huwa naulizia yako wewe na Ray tu.. so please kama kweli kuna bifu lolote na Ray naomba mlimalize kama walivyofanya wenzenu wakina Uwoya.. tunajua wivu ni kitu cha kawaida kwa binadamu so please please kama wadau wenu tunawaomba myamalize yaishe..., Irene amependeza lakini huko kichwani loh mimi binafsi sijapenda kabisa amekuwa kituko na hizo nywele zake, angetoka simple angependeza sana....

Anonymous said...

Mbona AY kalishwa kwa kushikwa bega kama wafanyavyo Mr & Mrs???

Anonymous said...

irene please jamani ache hiyo miring yak kichwani wewe si teenager we ni mama sass kuwa achana kuiga mbona unapendeza na nywele tu za kawaida.

Anonymous said...

uwoya atakujamkumbuka mumewe,we muache tu kaka!kama hampendi awe muwazi kuliko kumpotezea muda'kumlisha gani cake mumewe huko?huyo anayemhadaa pembeni(kama yupo lkn)anamdanganya'mbona hakumtaka kabla hajaolewa?acha ndiku amuache hlf aone joto ya jiwe"hakumbuki alivyochezewa na watu tofauti enzi zile,mpaka kunywa sumu?haya bwana.

Anonymous said...

mke anayekufaa ni wema tuuuuu fanya uludiane tena

Anonymous said...

mke anayekufaa ni wema tuuuuu fanya uludiane tena

Anonymous said...

kweli kabisaaaaaaa jaman kwanini amempa keki kama vile hamjui sio kwamba tunaingilia tunatoa maoni tuu,inaonekana huyu dada anapenda pesa sana maana jamaa mambo yake sio mazuri sasa hivi,my dear we ni mwanamke mwenzangu hata sisi tunawaume tumeanza mbali so hela ni maua tuu yananyauka so mpende baba watoto wako Irene

Anonymous said...

irene mpende mumeo, ipo siku utamkumbuka, hao wanaokuona mzuri wangekuweka ndani! chezea ndoa!

Anonymous said...

acha maringo mdada! kuolewa sio lelle mama!, mpende mmeo!