Star Times
Mercy Beauty Parlour
Oct 3, 2010
ONESHO LA MASHUJAA MUSICA NA FERE GOLA TOKA CONGO LAFANA
Utambulisho wa bendi mpya ya mashujaa musica zamani vibration sound umefanyika vizuri ktk ukumbi wa diamond ukihudhuriwa na watu mbalimbali na mashuhuri,lakini pia kuporomoshwa kwa mziki mnene toka Congo wa FERE GOLA ambaye alianzia wenge bcbg baadae akawa na werrason yaani wenge maison mere,baadae akaamia kwa Kofii oLOMIDE na sasa anamiliki bendi yake mwenyewe ndiyo hii aliyokuja nayo.Moja ya nyimbo alizowai kutunga na kumpa umaarufu Fere ni VITA IMANA aliitunga wakati yuko kwa Werrason,na kuurudia mara baada ya kuanzisha bendi yake na humo ndiko alikotoka mwanamziki aliyekuwa chokoraa ambaye ni SHIKITO,
Mashujaa Musica wakiwajibika
Mashujaa ya Mama Sakina trans kazini
Mashujaa Musica wakiwajibika
Mashujaa ya Mama Sakina trans kaziniTHE GREAT NA FRANK WATEMBELEA RADIO UHURU
Subscribe to:
Posts (Atom)
















































