Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 4, 2010

SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU WA NIGERIA

Ilifanyika pale mlimani city. the great na banana tukisalimiana

burudani mbalimbali

meza kuu

watu mbalimbali

mheshimiwa waziri Mwapachu akitoa hotuba yake

Slyvia na friends

burudani mbalimbali

mziki wa asili toka Nigeria

Chiefff

Maonesho ya mavazi toka kwa Slyvia Shally

B-band walitumbuiza sawia

The great na mama Terry tukiserebuka

Minister na baby kabae wakiserebuka

11 comments:

Anonymous said...

Kiongozi Mzee Mwapachu sio waziri yy anatambuka kama Balozi ila yy ni Katibu wa EAC

Anonymous said...

Samahani nadhani huyo ni balozi Mwapachu.

Anonymous said...

samahani kama ntakuwa nmekukwaza ila katika suala la mavazi uwe unaliangalia pia.. mavazi yaendane na shughuli unayoalikwa ama kwenda.. ni hayo tu..

Anonymous said...

Hi Kanumba Nakupa Hongera kwa Kazi zako unazofanya na Pia nakutakia Mazuri na Mema mengi mwenyezimungu azidi kukufungulia na mabaya akuepushe nayo.

Kanumba je naona watu wengi wanaonesha Michezo yako Vibandani na Ku Copy ovyo je huko Tanzania Hakuna Sheria ya Kuzuia? Sababu najuwa kama binadamu utakuwa unahangaika sana kuifanya kazi yako leo mtu anatumia Jasho lako kirahisi bora hata akuombe.

Jengine Kanumba naomba unipe ushauri je nikitaka kuwa Actor Kwenu au Kwengine nifanyaje na Mie si mjuzi ila napenda kuwa Actor na nipo Middle 20? MZ.

Anonymous said...

mavazi machafuu hayaendani na tukio kanumbaaa kujiamini kumezidii eeenh!

Anonymous said...

Kanumba nimependa hiyo green long dress aliyovaa Sylvia,,,, vipi zinapatikana wapi????

Anonymous said...

Hivi we kanumba hujuagi uvae nini unapokwenda kwenye ocasions tofauti tofuti?mana unavaa tofauti kabisa kulingan na mialiko unayokwenda, km sylivia hajui basi ajiri mtu jmani wa kukuandalia mana unaonekana kichekesho bana,

Anonymous said...

hicho kinguo ulichovaa hakijaendana na event. hafla kama hiyo tafuta nguo zenye heshima.

emu-three said...

ILIKUWA BAB KUBWA INAVYOONYESHA. TWASHUKURU KWA KUTUDOKELA ANGALAU TWAJIONA KAMA TULIKUWEPO

Anonymous said...

Kanumba sikatai wewe ni star mzuri sana uko juu nafkiri unaweza ukashika namba moja ktk maactor wa bongo uko juu sana, ila kuna vitu vidogovidogo hampendi kuviangalia kwasababu mimi nimfuatiliaji mzuri sana wa movie zenu swala la mavazi hamtaki kukubali kwani watu wengi wanalijadili ata zamaradi nimeshamsikia mara kibao akiliongelea haliendani na tukio la sehemu mnayoact hasa wewe ray na uwoya yani mko zaidi kibiashara sijui mnampromotia nani mwenye duka languo, kitu hiki lazima mkisikilize pia mavazi ni zero kabisa kwa msisitizo, sijui umevaa nini hapo? ata km ni star sio vazi lakuvaa hapo hujui nguo za kuvalia wapi lazima ukubali tu huu ni ushauri sio kwamba tunaponda kuna picha ulipiga ofisini sijui kwanani ulienda ulivaa body suit ile sio yakuvaa ofisini hasa kwamweshimiwa unaonekana km muhuni tu, jaribu kujirekebisha nguo za kuvaa ofisini sio hizo tena bora ungevaa ata jeans nashati kuliko body suit, sasa km hapo hilo vazi napajama ulilovaa ndio designer wako anakushauri? Kitu kingine yale masuti yenu mnayovaaga kwenye movie koti la maua au yakung'aa ng'aa km unaenda harusini au shati la silk embu niambie ni ofisi gani mnaona wanavaa hivyo? ni matangazo ya biashara za nguo au ndo uhalisia wa kongo? Mashati ya silk ni yakuvaa kwenye occasion tena hasa maharusi au mkitoka tena yanasuruali zake sio za mistari au maua, Hao rafiki zenu wakongo wanawapotosha yale mavazi ya bendi sio ofisini eti suti ya maua ofisi yanani unayaona? si uangalie movies za wenzenu wanje au ulaya? kwani ata km ni bedejee sio ofisini mnakinaisha na mnaboa hamjui kuvaaa!!! Mavazi ya bendi yale acheni hizo wabishi mnajifanya mnajua na moka zamanyoka nyoka zile ni zakutokea wewe! naona wanigeria wakiangalie movie zetu wanatucheka sana. huo ni ushauri tu.

Anonymous said...

Kanumba ndugu yangu hamna kitu kizuri km exposure! Nakushangaa sana kusafiri kote hivyo vinchi viwili vitatu hujapata exposure? Maana ata km ni dereva wa bosi ukivaa hivyo lazima bosi atakurudisha nyumbani. Au hiyo GUCCI hapo pembeni imekubabaisha? Funguka macho kijana, Hapo upo km unaenda kuosha gari au kunyoa nywele au laah video shooter au mpiga picha. Suruali ya mistari sijui linen au nini hicho umevaa? na hicho kijacket hukujisikia vibaya ukaenda home kubadili? Sijui girlfriend wako anakuwa wapi unavyovaa au nae ni mlugaluga? bila shaka atakuwa mzaire km sikosei. Na mwanamke mjanja hawezi kukubali kuongozana na wewe! atakuwa km hawezi kukurekebisha lazima atakuwa anakuchuna tu unless wewe uwe ushauriki kwahy anaamua kukuacha yeye anatangulia mbele. Yani piga ua wewe ni mshamba hupendi kujifunza wala kubadilika ni mambo ya bend na wazaire wanakuharibu na ndio maana ulikuwa unapaka cream