Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 3, 2010

ONESHO LA MASHUJAA MUSICA NA FERE GOLA TOKA CONGO LAFANA

Utambulisho wa bendi mpya ya mashujaa musica zamani vibration sound umefanyika vizuri ktk ukumbi wa diamond ukihudhuriwa na watu mbalimbali na mashuhuri,lakini pia kuporomoshwa kwa mziki mnene toka Congo wa FERE GOLA ambaye alianzia wenge bcbg baadae akawa na werrason yaani wenge maison mere,baadae akaamia kwa Kofii oLOMIDE na sasa anamiliki bendi yake mwenyewe ndiyo hii aliyokuja nayo.Moja ya nyimbo alizowai kutunga na kumpa umaarufu Fere ni VITA IMANA aliitunga wakati yuko kwa Werrason,na kuurudia mara baada ya kuanzisha bendi yake na humo ndiko alikotoka mwanamziki aliyekuwa chokoraa ambaye ni SHIKITO, Mashujaa Musica wakiwajibika

Mashujaa ya Mama Sakina trans kazini

Mama Dotnata na mmewe MR.Posh nao walikuepo

Asha baraka akiingia ukumbini ili kuwaona mashujaa misica na FERRE GOLA

Hussein Macheni na mkewe Bi Ashura macheni walikuepo

Aliyekuwa kiongozi wa bendi ya diamond musica MR liver na mkewe walikuepo

Fere Gola jukwaaaani

Umati wa watu

The great na swahiba tukiwa viti vya mbele kabisa tukifaidi

Shikito akiimba kipande chake ktk wimbo wa vita imana

Pedeshee Hussein Macheni akimmmwagia mapesa SHIKITO

Kazi imenoga

Tukiwa na swahiba tulizongwa hukohuko huku SHIKITO akiw nasi maana nae alisema anavutiwa sana na kazi zetu

4 comments:

Anonymous said...

Huyo mke wa Mr. Liver sijui,,, mbona katuachia chakula ya watoto nje nje????? mtumbo huoooooooo alafu kavaa nguo ya net,,, hivi hawajiangaliagi kabla ya kutoka home???

MANATI said...

Yeah, the Great keep it up, kazi nzuri babake.

Anonymous said...

jaman huyo macheni kwao njema maana mavyosikiaga du. hali ngumu sasa hapo anafanya nini. umjini huu

Anonymous said...

Kwa kweli wanawake tunajiabisha na kujishushia hadhi wenyewe! Kweli unawezaje kutoka na mumewe ukiwa katika hali kama hiyo kama ya mke wa liver na hao wengine walioacha maziwa nje!

Hata kama ni mastaa sio hivyo jamani loo! hebu shime wanawake tujisitiri angalau kidogo! Mbona zipo nguo za kutokea nzuri tu!