Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 3, 2010

THE GREAT NA FRANK WATEMBELEA RADIO UHURU

The great na Frank tukihojiwa na Dj F ast Eddy na Sheila katika studio za radio uhuru

F.Eddy na Sheila wakisikiliza kwa makini

Frank akielezea jambo

The great nkisisitiza jamboThe great na Soggy Dog akinionesha jinsi shabiki wangu mmoja aishie UK anavyovutiwa na kazi zangu

Picha ya pamojaFrank na Sogg dogg

5 comments:

Kashubi said...

Kanumba uko juu. Juzi nimebahatika kuangalia movie iitwayo Crazy Love, kwa kweli nakupa five, ilikuwa ni nzuri sana na umeonyesha umaahiri wako wa ku-act katika picha hiyo. Character uliyokuwa una-act ilikuwa ni nzuri sana na umeimudu vizuri sana yaani umeni-impress sana hasa maneno ya busara na ambayo yanafundisha jamii. Movie hii ilikuwa na mafundisho mengi sana kwa jamii, natumai kila atakayeiangalia ataifurahia na atanufaika pia. Keep it up young man and God bless you always.

MAC V said...

the great niaje huyo jamaa aliye uramba mbona hamjamtaja anaitwa nani na yuko wapi sikuizi mala ya mwisho alikuwa triple a arusha baada ya kutoka east afrika anaitwa KIMATALE alikuwa anajiita dj kim tulipiganae kitabu huyu jamaa pale air wing usimbanie mlushe jina lake bwana

Anonymous said...

frank minato sana unajua kasifiwa mzuri so shida. ila anajisikia

Johprise said...

Mambo vipi the great? mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa filamu zako na ni shabiki wa ukweli, unafanya vizuri sana kwani filamu yako ya this is it was more than fantastic, young billionaire ndio balaa kwan mlijitahidi kuonyesha maisha halisi ya masupastaa na wasichana warembo ukiwa na Aunt, ila to be frank sijafurahishwa na hii filamu ya more than pain, 1. story haiko exciting 2. Lisa Jensen hajacheza kwenye uhalisia na kiwango mara nyingi alikua akiharibu scene na kukuyumbisha pia 3. sikupenda mtiririko. NIngependa ufanye uteuzi makini kabla ya kufanya kazi na m2 kwani unaweza haribu kazi zako. crazy love inatisha balaa. Ciaooooo !