Katika ofisi za TGNP-Mabibo ndipo nilipotangazwa rasmi kuwa balozi wa Oxfam katika kampeni ya chakula ya OTESHA,lakini pia kampeni hii imezinduliwa rasmi duniani kote.Kwa ufupi tu OTESHA ni kampeni mpya ya OXFAM ya juu ya njia bora za kuotesha,kugawana na kuishi pamoja,ni kampeni yetu sote,mabilioni ya watu tunaokula chakula na zaidi ya wenzetu bilioni moja wanawake na wanaume wanaozalisha chakula hicho,ni kampeni yenye kutafuta suluhisho kwa mustakabali bora wenye uhakika wa chakula kwa kila binadamu.
Mkurugenzi wa OXFAM bi Monica akinikabithi kitabu cha otesha mara baada ya kuzindua kampeni hiyo
Tukikionesha juu jinsi kilivyo chenye maelezo ya kutosha kuhusu Otesha
Nikipeana mkono na Mr.Silas mara tu baada ya kunitangaza rasmi kama Grow ambassador
Akina mama wakinishangilia na kunipokea kwa furaha baada ya kutangazwa
Furaha ikitawala mahali hapo
Nikikata utepe kuzindua rasmi kampeni hii
tayari upande mmoja
upande wa pili
Nikionesha jinsi gani akina mama wanavyoumia kulima kwa mkono huko vijijini tena katika ardhi wasiyomiliki
Kama balozi rasmi sasa nikishukuru kwa nafasi hii na kuhaidi kufanya kazi hii kwa moyo dhabiti kabisa.
Nikielezea ziara yangu niliyotembelea mkoa wa Shinyanga wilaya ya Kahama na kijiji cha Mondo pia wilaya ya Kishapu kijiji cha Isoso jinsi watu wanavyoteseka na njaa hususani akina mama na watoto wanaokula mlo mmoja kwa siku tena hawashibi.
Kama balozi wa kampeni hii kauli yangu ni ...'''Mfumo wa usawa na endelevu wa chakula unawezekana,kwa pamoja tuondoe ukosefu wa usawa na haki za chakula katika familia zetu wakati tunapigana kubadili mfumo wa chakula duniani uwe wa haki kwa wote...''''by Steven Kanumba..katika kiingereza..'''A fair food system is possible,the one that is more equal and more sustainable,let's remove food injustice within our families as we change global food system to become fair to all...'''by Steven Kanumba.