Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 26, 2011

UMEME UNAPOKATIKA LOCATION HALI HUWA HIVI...

Tatizo la umeme wetu wa Tz linavyoathiri hata tasnia yetu..... umeme hakuna hapo tunasubiri kudra za Mungu...


Ikabidi zianze story za Nigeria,Ramsey akisema mbona nyie hapa mna afadhali sie movie zote huwa tunashoot kwa generator maana umeme Nigeria unaweza kuwaka kwa dakika 20 na ukazimwa kwa siku 2 bila sababu na wananchi kwa sasa wameshazoea ndio maana kila nyumba za wenye uwezo huko zina Generator kubwa.


Ramsey na Samm(light man)


Ramsey akipakwa make up na Maya


The great na mimi nikila mapouuuudahh


Tukataka tupige scene hiyo nje lakini kelele za watu na magari yakazidi tukaacha,na ndani umeme hakuna basi ikawa ni kukaa tu.


Tukaingia ndani ili labda tutumie generator kushoot ndani lakini kelele za generator nazo zikatushinda tukabaki kupiga story tu....


Tukatoka nje ili tufanye mazoezi maana Ramsey anapenda sana kabla ya kushoot awe amerehasal mara kadhaa ili maneno yote awe ameyashika,movement,na hisia katika scene vyote viwe sahihi.


Akijaribu kuongea maneno ya kiswahili....


kutoka kushoto ni Msungu,dada alitutembelea kumuona Ramsey kidogo,Ally Yakuti ambaye ndiye mwandishi wa movie hii na ndiye mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa script kutoka filamu central,Samm mzee wa light.

6 comments:

Anonymous said...

KANUMBA MIE NATAKA KUJUA HIVI HUYO ANAE WAPAKAZA MAPODA AMESOMEA

KWAKWELI MAICHA MENGINE ANAWAPODOA SNA KAMA AMDEMU INAKERA TOO MUCH MAKE UP BANA

Anonymous said...

hongera sana kaka ulipofikia unahitaji hongera ila naomba kitu kimoja huyo mdada anaewapaka mapoooda hebu mwambie akanunue kitu maalu cha kuwafunika ili msichafuke na hayo mapooda sio kutumia kanga au mitandio yake hiyo inakushushia hadhi bwana mwambie aende LEYLA wanauza vitu vya make up bwana

Anonymous said...

hongera sana kaka ulipofikia unahitaji hongera ila naomba kitu kimoja huyo mdada anaewapaka mapoooda hebu mwambie akanunue kitu maalu cha kuwafunika ili msichafuke na hayo mapooda sio kutumia kanga au mitandio yake hiyo inakushushia hadhi bwana mwambie aende LEYLA wanauza vitu vya make up bwana

Albert said...

Naona mambo yanazidi kuwa bomba! Lakini hili tatizo la umeme viongozi wetu wanaliona vipi? Mbona wao wanazidi kujenga majumba mazuri-mazuri na huku wakisahau wananchi waliyowachagua?
Anyway, nina hamu sana ya kumuona Ramsay na the Great bega kwa bega, Devils Kingdom itakutangaza zaidi Kaka!
Kila la heri!
Albert
Australia.

Anonymous said...

nimempenda ally yakuti anaisoma vyema quraan utadhani ni imam wa msikiti wa ngazija nilikuona katk film ya mke wa pili ya ray hongera sana kwamawaitha uliyotoa nikipata tatizo katk ndoa yangu nitakutafuta big up

Mngoni halisi said...

Sasa dogo upo kwenye game muda sasa kwanini usimiliki generator umeme ukikatika unaendelea kupiga mzigo, fanya hivyo ni ushauli tu