Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 26, 2011

KAJALA MASANJA KAMA GENEVIEVE NNAJI NA RAMSEY NOUAH

Msanii mpya katika filamu Kajala ameendelea kukamua vilivyo akiwa na Ramsey Nouah katika scene za ma love wakicheza kama mtu na mpenzi wake hivyo Kajala kuendelea kushika nafasi ya Genevieve Nnaji wa Nigeria. Kajala aki-rehasal na Ramsey


Kajala mwenzako yuko busy na kushika mistari wewe wasubiria picha?

wewe usicheze na mimi...ndio maneno anayosema hapo

Ramsey akisaidia kudirect baadhi ya sehemu


Ramsey akitazama ninavyokamua scene...


The great nikiwa kazini,,,kipaji toka moyoni.

14 comments:

Luck Boy said...

Sawa bwana mkubwa kipaji toka moyoni nimeona !!!!

Anonymous said...

actor hawezi kumsaidia Director ku direct, anatoa ushauru tu. film ni vision ya director, kwahiyo basi director analauniwa au kupongezwa kwa uzuri au unabaya wa film. hivyo basi nakushauri ubadili statement yako ya kusema Ramsey anakusaidia kudirect

Majoy said...

Nakuaminia Kanumba Tanzania wewe ni wa kwanza kwa ubora wengine wanafatia....kaza buti

godfrey the great said...

kazana mkuu

Anonymous said...

Usitufananishie takataka hiyo na GENEVIEVE.........
Genevieve mzuri, siyo malaya, anajiheshimu sasa huyo ana kitu gani cha kumfikia Genevieve
Mtafunikwa mbaya na Ramsey kila sehemu inamfit na anapendeza siyo nyie
Mitumbo mikubwa kutwa mnakula ovyo
Genevieve atabaki kuwa yeye kama yeye
Usituletee kichefuchefu

Anonymous said...

HIVI MBNA HUWA UPDATE BLOG YAKO.JAMANI HUWA TUNAPITA TUNAKUTA YALE YALE TU JAMANI.

Anonymous said...

mbona watu mnakua haters kwa vitu ambavyo c vya msingi mtu km wanafanana ktk uigizaji asisifiwe? km malaya inahusu nini na mtu kuigiza vizuri.ndo kesha igiza hvo na msanii mkubwa Africa. U better deal with it.

singwaone said...

wish u all the best, i lyk the way u handle ur character in almost every movie u did.
Is there any possibility for those Tanzanian movies to be viewed online?

Godfrey John said...

MAMBO VIPI BRO KANUMBA . NAULIZA MZIGO MPYA UNAINGIA LINI SOKONI MAANA TUNATAKA KUONA LADHA MPYA UKIWA NA MZEE MZIMA RAMSEY

Godfrey John said...

habari kaka.vipi mzigo unaingia lini mtaani,mana tunataka kuona ladha mpya ukiwa na mzee mzima ramsey
big up bro

Anonymous said...

tunaisubilai kwa hamuuu maana itakuwa si mchezoo kakaa kamuaa

meggie impostra

Anonymous said...

Ninaisubiri kwa hamu sana kaka hiyo film vipi?????

Zaituni said...

Kwa sana kaka

Zaituni said...

Kwa sana kaka