Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

May 22, 2011

BONGO MOVIE FC YATOKA SARE NA WAANDISHI WA HABARI MWANZA

Katika uwanja wa CCM KIRUMBA -MWANZA kulikokuwa na mechi kari ya mpira wa miguu jioni ya leo kati ya BONGO MOVIE FC DAR ES SALAAM na WAANDISHI WA HABARI NA MA DJ MWANZA matokeo ni ngoma droo,japo sisi ndio tulikuwa wa kwanza kuliona lango lao kipindi cha kwanza,wao wakasawazisha kipindi cha pili,matokeo ni sareeeeee.... Steve nyerere na Jb wakipasha


Mashabiki walivyojaa uwanjani..


Maya akishangilia mara baada ya bongo movie kufunga goli la kwanza


Wadada zetu wa bongo movie tulionao mwanza...


Timu nzima ya bongo movie...The great nikiwa katikati..


MH.Highnes kikwia mbunge wa Ilemela akisalimia kikosi

2 comments:

Milka Richard said...

Hongeren bt mjitaid one day na nyie mshinde walau mech.sa kila day sare au mmefungwa,2taka mshinde banah.

Anonymous said...

kumbe hiyo timu ni ya wale wahindi wa steps,...