Star Times
Mercy Beauty Parlour
Nov 7, 2011
THE GREAT ALIVYOTEMBELEA SOKO LA FILAMU GHANA...
Nilipata muda wa kutembelea soko la filamu Ghana na kuweza kununua baadhi ya movie kwa ajili ya kutizama ila pia kuongea na mtayarishaji na msambazaji mkubwa wa filamu Ghana na mkurugenzi wa VENUS FILMS PRODUCTION,ndugu Abdul Salam.ndiye mmoja wa waasisi wa Ghallywood(Ghana movie industry).moja ya maongezi yetu ni ushirikiano wa filamu za bongo na Ghana lakini pia kutanua soko letu la filamu n.k.maongezi yalikwenda vizuri sana.
The great nikichagua filamu
The great na Prince Richard Nwaobi
Kibao kinachoonesha ofisi yake.
The great,Monalisa na Abdul Salam from VENUS FILMS PRODUCTION mara baada ya kumaliza maongezi.
Monalisa nae alinisaidia kuchagua filamu....
Katika ndege nikirudi bongo
Masaa 6 angani yanachoooooshaaaaaaaaa
Staa anayependwa sana kwa sasa Ghana John Dumelo,Mona,Prince Richard,kabla ya kufika Ghana nilijua anayewatingisha huku ni Van Vicker kumbe kwa sasa ni huyo kaka na Michel Majid yaani wanapendwa sana,Van Vicker hayuko sana katika movie zao na kama vile amebaki kucheza movie za Nigeria na za kwake ambazo hazifanyi vizuri sokoni Ghana.kwa tetezi nilizosikia ni kuwa alianza kuwa msumbufu hivyo maproducer na directors wakaamua kuacha kumpa kazi jambo ambalo linazidi kumshusha.
The great nikichagua filamu
The great na Prince Richard Nwaobi
Kibao kinachoonesha ofisi yake.
The great,Monalisa na Abdul Salam from VENUS FILMS PRODUCTION mara baada ya kumaliza maongezi.
Monalisa nae alinisaidia kuchagua filamu....
Katika ndege nikirudi bongo
Masaa 6 angani yanachoooooshaaaaaaaaa
Staa anayependwa sana kwa sasa Ghana John Dumelo,Mona,Prince Richard,kabla ya kufika Ghana nilijua anayewatingisha huku ni Van Vicker kumbe kwa sasa ni huyo kaka na Michel Majid yaani wanapendwa sana,Van Vicker hayuko sana katika movie zao na kama vile amebaki kucheza movie za Nigeria na za kwake ambazo hazifanyi vizuri sokoni Ghana.kwa tetezi nilizosikia ni kuwa alianza kuwa msumbufu hivyo maproducer na directors wakaamua kuacha kumpa kazi jambo ambalo linazidi kumshusha.Nov 1, 2011
IN ACCRA-GHANA.......................
Monalisa kazini akiwa na CHRISS ATTOH,
Huyo dada ndiye main character uigizaji wake naufananisha na Leleti Khumalo(Sarafina) yaani anakamua ni balaa.
Kwa taarifa niliyopewa hapa huyu ndiye aliyechukua tuzo ya best cinematograph katika American cinematograph awards mwaka jana anaitwa CHASE BOWMAN mlioko huko Marekani mnaweza kunisaidia hapo.
Picha ya pamoja katika kuwaaga CHRISS na OMARY ambao wamemaliza scene zao na hapo hapo wanaelekea airport kwenda Nigeria kuanza kushoot series ya Tinsel session two.Watu wako busy na kazi hawana mda wa majungu,chuki,roho mbaya,roho ya kwanini,kupondana na kutukanana mda wote wanawaza mafanikio tu, I wish hii hali ingekuwa kwetu bongo maana hali iliyopo siku hizi imegeuka kuwa ndio utamaduni wetu.
Monalisa kazini......
Monitor...
Pusher kazini.....

MONA NA CHRISS MARA BAADA YA SCENE KUISHA.
BADO TUPO GHANA.....
Monalisa-TZ,Ommy-Ghana
Mona na baadhi ya washiriki....
The great kazini,ndani ya camera aina ya RED,ni mara ya pili sasa nashoot ktk camera hii,ya kwanza ilikuwa Nairobi wkt narekodi tangazo la Zantel ambao wao walitoka Bollywood,na sasa hawa Hollywood.Hapo naelekea mlangoni kumpokea mtu camera ikinisubiria mlangoni.
Tizama setting ya mwanga,utajua wanataka ionekane saa ngapi hapo,nikisubiri actiiiiion niingie.....
The great,Ommy na Adjeteh a.k.a Pusher ndiye winner wa tuzo ya AMAA mwaka jana kama Best Actor in suporting role...
Ki Ghana zaidi....
The great kazini......
Gari la vifaa
The great na Monalisa tukiwa na Mr.Angell,huyu ndiye anayeshikilia kile kibao kinachoandikwa scene no,take nk.
Monalisa akiwa na director wetu Bi.Yaa Boaa Aning anayeishi Los Angelos-Hollywood-Marekani,kwa miaka 8 mpaka sasa ni Assistance wa Jimmy Foxx-Hollywood.
Kwa wenye DSTV na mnaotizama tamthiliya ya TINSEL sura hiyo si ngeni kwenu ni Mr.Omary Captan,staa wa Ghana ila mara nyingi anakuwa Nigeria kwa sababu ya kurekodi TINSEL nae yumo.IN GHANA..................

HAPA TUNAREKODI TRAILER TU YA MOVIE ITAKAYOREKODIWA MWAKANI MWEZI WA TATU,NI FILAMU YA KIAFRICA INAYOREKODIWA AFRICA-GHANA,DUBAI,AFRICA KUSINI NA NEW YORK MAREKANI ILA MENGINE YOTE YANAYOBAKI NI KUTOKA HOLLYWOOD(hapa ninavyowajua wabongo tutabishaaaa,tutapondaaaaa ila ukweli ndio huu kubali kataa)NI MOVIE KAMA TSOSI,AU SARAFINA,AMBAYO WAKATI WA SHOOTING MWAKANI KUTAKUWA NA MASTAA WAWILI AU MMOJA TOKA HOLLYWOOD(SIMTAJI JINA KWA SASA) NA AFRICA WAMECHANGANYA WAIGIZAJI MBALI MBALI TOKA GHANA,NIGERIA,TANZANIA NA AFRICA KUSINI.KWA BONGO NI MIMI NA MONALISA TU.ASANTENI.....
Huyu dada ndiye muhusika mkuu toka Ghana
Kutoka TZ ndio hawa ME na MONALISA tukiwa location mara baada ya interview kufanyika na tukapita.
The great na Katou toka Ghana(mwanamziki)
kazi ikianza
The great,Katou,Chriss toka ktk series ya TINSEL-Mnet,Prince Richard,Jasmine Ghana actress,Omary Captan from Tinsel.
location
Nikishangaa kidogo
Producer Richard Nwaobi na mimi
Hizi ndio camera zinazotumika
Omary Captan na Mona.
Subscribe to:
Posts (Atom)








