Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 7, 2011

BAADA YA KUTUA TU BONGO THE GREAT NA STARA THOMAS WAUNGANA NA MAMA SALMA KIKWETE KATIKA CHARITY WALK-SAIDIA WATOTO WENYE KANSA.

Matembezi yalianzia mnazi mmoja mpaka Movenpick.na kiasi cha pesa zaidi ya milioni 40 zilichangwa kusaidia watoto.The great kama balozi wa OXFAM GROW nilichangia milioni mbili na Stara milioni moja.


Nikisalimiana na mheshimiwa Zhakia Megghi


Nikisalimiana na maafande

Ilituongoza.....

Mama Salma Kikwete akifungua matembezi rasmi..

Watoto toka shule mbalimbali walikuepo.....

8 comments:

Anonymous said...

mbona email zako nikituma zinafail?

au umebadilisha?

Anonymous said...

Mbona email yako nikituma inafail, au umebadilisha?


Nimetuma moja kwenye info@kanumba.com sijui kama itakua imefika

Jane

Anonymous said...

kwa bongo sijaona mwanaume handsome wenye rangi kama ya dumelo i mean that dark color guy nitafutie nani kazi kujichubua tu umeona wa ghana wanavyopenda rangi zao that is the african beaut baby i looooooooooooooooooooooooooooooooooove dumelo man i wish angekuwa mpenzi wangu damn

Anonymous said...

Mmmh hiyo picha inayonyesha unasalimiana na Maafande, mbona inaonekana kuwa wao hawakuwa na mpango wa kukupa mkono ila inaonekana ww ulikuwa unataka kuwapa mkono lakini wao hawakuwa tayari, why?!!

Anonymous said...

mmmh kazi nzuri kaka ya kuhudumia jamii yako hongereni kwa kutoa hizo pesa na mpe hongera stara na pia km ni mtu wako wa karibu mshauri apungue jamani kha kha hayo maziwa yatamuua mmmh mnene sana

azza said...

thanks kanumba kw kazi nzuri kakaangu keep it up na mungu atakubariki,,,,,

Anonymous said...

inapendeza kama ukiwa na moyo wa kusaidia watoto wanaoteseka kwa kansa endelea na moyo huo huo usiache kabisa kwa mungu atakubariki siku zote.

dorlyne or

secret admier

Anonymous said...

jaman kanumba kama unaweza kusaidia watoto msaidie pia na mzee kipara jaman mana yule ni kama baba au babu yako na mlikuwa wote kaole msaidieni wewe na ray jaman mungu atawazidishia...