Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 1, 2011

BADO TUPO GHANA.....

Monalisa-TZ,Ommy-Ghana
Mona na baadhi ya washiriki....
The great kazini,ndani ya camera aina ya RED,ni mara ya pili sasa nashoot ktk camera hii,ya kwanza ilikuwa Nairobi wkt narekodi tangazo la Zantel ambao wao walitoka Bollywood,na sasa hawa Hollywood.Hapo naelekea mlangoni kumpokea mtu camera ikinisubiria mlangoni.
Tizama setting ya mwanga,utajua wanataka ionekane saa ngapi hapo,nikisubiri actiiiiion niingie.....
The great,Ommy na Adjeteh a.k.a Pusher ndiye winner wa tuzo ya AMAA mwaka jana kama Best Actor in suporting role...
Ki Ghana zaidi....
The great kazini......
Gari la vifaa

The great na Monalisa tukiwa na Mr.Angell,huyu ndiye anayeshikilia kile kibao kinachoandikwa scene no,take nk.
Monalisa akiwa na director wetu Bi.Yaa Boaa Aning anayeishi Los Angelos-Hollywood-Marekani,kwa miaka 8 mpaka sasa ni Assistance wa Jimmy Foxx-Hollywood.
Kwa wenye DSTV na mnaotizama tamthiliya ya TINSEL sura hiyo si ngeni kwenu ni Mr.Omary Captan,staa wa Ghana ila mara nyingi anakuwa Nigeria kwa sababu ya kurekodi TINSEL nae yumo.

11 comments:

Anonymous said...

RED EPIC

Albert said...

Sasa wewe kaka utatuua kwa presha kabisa, punguza kasi Bro. uwaachie wengine japo mwaka mmoja.
Anyway, congratulations najua utakua umekamua ile mbaya.
Tunakusubiri utoke safarini ili tuendelee na mazungumzo mengine.
Albert
Australia

Anonymous said...

Keep it HIGH Steven,kwa taarifa tulizo nazo hii itakuwa ni short film inayohusu human traffic,Any idea kuhusu budget yake please let us know.Thanks

Anonymous said...

weye na kitambi ndo mabingwa wa majungu...acha zako

Anonymous said...

nafurahishwa na kz zako mungu amekupa maona na unayatumia ipasavyo asante kwa kutuwakilisha wa tz, esther bukuku.

Anonymous said...

i recognise the guy with mona on the first pic kuna film amecheza inaitwa 4play mastaa wote wa ghana wapo kasoro van vicker na nadya tu ila kina jonh dumelo na wenzake wote wapo

Anonymous said...

hongera kaka ila ukifanya kazi lazima upate changamoto lakini itabidi ukubaliane nazo,big up

Anonymous said...

jamani napenda sana kuangalia movie za ghana na nigeria siku hizi sina muda kabisa na movie za bongo lbda za kanumba tu..maana ni uozo mtupu......

G.SQUARE/Podolski said...

keep going

Madaha Ruth said...

Keep on Kanumba,ni mpenzi wa kazi zako sana kwa Movie za Ki Tz napenda zaidi zaidi zako.,coz unajua unachifanya.

Songa mbele,usirudi nyuma na Mungu akusaidie.

Anonymous said...

wenzio wa ghana na niger wanatunga movie nzuri za kueleweka na za kuangalika ona mimuvie yako eti uncle jj oooh sijui nini nini nenda kasome muangale unajivuna kwa watu?????!!!! fanya mambo tz acha kutuactia movie za comedy na wala hazichekeshi uozo mtupu