Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 1, 2011

IN GHANA..................


HAPA TUNAREKODI TRAILER TU YA MOVIE ITAKAYOREKODIWA MWAKANI MWEZI WA TATU,NI FILAMU YA KIAFRICA INAYOREKODIWA AFRICA-GHANA,DUBAI,AFRICA KUSINI NA NEW YORK MAREKANI ILA MENGINE YOTE YANAYOBAKI NI KUTOKA HOLLYWOOD(hapa ninavyowajua wabongo tutabishaaaa,tutapondaaaaa ila ukweli ndio huu kubali kataa)NI MOVIE KAMA TSOSI,AU SARAFINA,AMBAYO WAKATI WA SHOOTING MWAKANI KUTAKUWA NA MASTAA WAWILI AU MMOJA TOKA HOLLYWOOD(SIMTAJI JINA KWA SASA) NA AFRICA WAMECHANGANYA WAIGIZAJI MBALI MBALI TOKA GHANA,NIGERIA,TANZANIA NA AFRICA KUSINI.KWA BONGO NI MIMI NA MONALISA TU.ASANTENI.....
Huyu dada ndiye muhusika mkuu toka Ghana
Kutoka TZ ndio hawa ME na MONALISA tukiwa location mara baada ya interview kufanyika na tukapita.
The great na Katou toka Ghana(mwanamziki)
kazi ikianza
The great,Katou,Chriss toka ktk series ya TINSEL-Mnet,Prince Richard,Jasmine Ghana actress,Omary Captan from Tinsel.
location

Nikishangaa kidogo

Producer Richard Nwaobi na mimi

Hizi ndio camera zinazotumika
Omary Captan na Mona.

23 comments:

Anonymous said...

hongera Kanumba kaka yangu unajitahidi, na kwa hapo ulipofika unastahili sifa, uko juu najua Mungu wa Mbinguni atazidi kukuinua usisahau kumkumbuka kila siku. hongera sana, usijali maneno ya watu kama Yesu tu mwana wa Mungu alisemwa na kubezwa wewe ni nani? maneno yako na ili uweze kuwa shujaaazaidi lazima upitie majaribu mengi na ili dhahabu iweze kun'gaa sana lazima ipite kwenye moto mkali so dont worry.

Anonymous said...

upo juu ndugu yangu , tunaomba uzima tufike march mwakani tuweze kuona mambo.

Anonymous said...

hongera kaka cku zote nakukubali wewe na Mona huu ndio ukweli wengine wauza sura tu kitu mhm hapa ni lugha jamani big up bro

Happy ole Ngambi said...

Hivi kwanini unanifurahisha ivo!ase Huyo Mungu wako unaemwomba unamwomba vizuri safi sana wanaochonga holaaaaaaaaaa!!

Milka Richard said...

Hongera Kanumba,Konga nyoyo kaka,Ndo matunda hayo uliyo yasotea kwa mda mrefu.hakika Mungu wetu ni mkuu, na ana zid kuonekana kwako.Jitaid ukamue kwa uwezo wako wote kaka,wafunike haoooooooooooo.Na yote inawezekana ka una nia ya dhati.Mungu akutangulie ktk kazi zako zote.

Anonymous said...

hongera kaka mahali ulipofika nakuombea kila cku Yesu kristru akulinde na damu yake maadui wote washindwe,ila kila unachopata usisahau kutoa fungu la kumi malawi 3;7 soma haponimependa sana sharti lako la draft hata leather suruali nzuri ila ungevaa na viatu vyeusi ungetoka bomba zaidi ya njano all nakupenda sana na kazi yako pia hongera sana,hi kwa mona nae nampenda sana so cutie hata haringi

Anonymous said...

kaka yangu kanumba unanifurahisha saana nakuwa speechless kwakweli,hakika Mungu nimwema saana na anaweza yoote kwa mtu anaemtumainia kama wewe.umependeza saana pia umepungua vzuri saana nimependa saana hiyo picha yakwanza tshit yako nzuri saana umetoka kimarekani zaidi.ubarikiwe saana nakuomba usijali walakusikiliza maneno ya watu,wala wasikuvunje moyo .maadamu unaona bwana Yesu anakupenda saana na anakuongoza ndiomana upo hapo.acha waosha vinywa waseme nikawaida ya wabongo tena wakikuponda wewe usijibu na koment zao uziweke wala usizibanie watachoka nakujiona wajinga na washamba.ukiwasikiliza wanafki utapoteza muda ebu ona unavyobarikiwa kila kukicha unafanya mambo makuu kazi yako ninzuri saana .yaani nashindwa hata niaseme nini .napenda saana kuingipitia blog yako kila siku niko sweden ila naona kama niko bongo.ubarikiwe saana.keep it up bro.

Anonymous said...

big up kazi nzuri na nina matumaini utajifunza mengi kwenye production za filamu.kitu kimoja usije ukachemsha kwani hapa utatengenezewa movie ya ukweli halafu ukarudi nyumbani unatengeneza filamu zako kama kawaida part one na part two na wala hazijafanyiwa utfiti wowote. ninaamini wabongo tunaweza kuwa amaactors wazuri tatizo ni upigaji picha na story zilizonyooka.nakutakia kila la heri ktk project zako.mwinyihija

jane said...

Uko juu Kanumba kaka.Mungu akuweke saana

Anonymous said...

hongera sana kaka mi nasubiri tuuu iyo picha maana lazima iwe imesimama si kitoto na ukizingatia wanatumia camera ya RED ambayo ni million 120 na zaidi bei yake aaaaaaaah bro wacha wapige majungu yao aiseee ulipofika ndugu ni level nyingine

Anonymous said...

kama ipo ipo na kweli Kanumba unayo.MUNGU AKUZIDISHIE UZIDI KUA NA BAHATI.

Anonymous said...

kanumba umenichekesha sana uliposema wabongo watabisha!hapana hatubishi wewe ssi tunakuamni unaweza ukafika huko

De Bonex said...

hongera kaka,MUNGU akuzidishe zaidi

Anonymous said...

yaaani wewe uki juuu kiukweli Mungu akubariki kwakweli coz ngeli inapanda na ndio maana umeweza hata kufika huku Ghana laiti ungelikuwa kama yule mwenzangu mie mhm ungebakia kubakia kuigiza za kibongo tuu ila shule inasaidia jamani ndio maana unaweza hata kutoka nnje ya nchi yote hiyo kwasababu ya elimu mie ninakukubali hivyo basi hii iwe changamoto kwa waigizaji wengine watoke nao kama unavyotoka wewe yaaani waongeze juhudi na elimu kwa ujumla sio wakazanie bongo tuu na kuuza sura...!

mdau MAKINI.

Anonymous said...

Freemasons oyeeeeeee!!!!

Anonymous said...

MUNGU yu nawe, endelea kusali kakangu. unazidi kupata baraka...

wako bize kuponda we endelea kutengeneza chapaa usisahau kufanya investment. Mungu akubariki

Anonymous said...

All the best kanumba!

Anonymous said...

hongera sana kazi tu wacha waseme we songa mbele

Anonymous said...

hizo nywele za Mona sijui kwanini kaamua kuweka hizo, au ndio hiyo character yake ilitaka hivyo. naona kama angependeza zaidi na aina nyingine ya nwele, hata kama ni fupi basi zingekuwa hata kama aina ya Halle Berry na zinazofanania

Anonymous said...

mh mmependeaza, jamani kanumba si ungemuo monalisa jamani, maana mmependezana kweli unafikiri, think about that ha!

Anonymous said...

we ni noma bro from mzumbe university

Nochas said...

Kanumba, maisha ni mipangilio na bidii zaidi katika kile unacho kifanya. Usijali ya walimwengu maranyingi wa Africa tuna penda kwaku zarau. Na unapowekewa vikao na watu ilikuongelea mambo yako mabaya ao mazuri juwa yakwamba upo katika mioyo yao. Mimi naishi marekani ila ni mkongo nakuja sana tanzania kwa mambo yangu binafsi,lakini mambo yako na fuatilia sana na naamini kwamba kwa movies za ki Afrika hauko nyuma. Na ukija Tanzania sioni anaye iwakilisha zaidi yako.Don't worry you are on the right path.

Nochas said...

Kanumba, maisha ni mipangilio na bidii zaidi katika kile unacho kifanya. Usijali ya walimwengu maranyingi wa Africa tuna penda kwaku zarau. Na unapowekewa vikao na watu ilikuongelea mambo yako mabaya ao mazuri juwa yakwamba upo katika mioyo yao. Mimi naishi marekani ila ni mkongo nakuja sana tanzania kwa mambo yangu binafsi,lakini mambo yako na fuatilia sana na naamini kwamba kwa movies za ki Afrika hauko nyuma. Na ukija Tanzania sioni anaye iwakilisha zaidi yako.Don't worry you are on the right path.