Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Nov 7, 2011

THE GREAT ALIVYOTEMBELEA SOKO LA FILAMU GHANA...

Nilipata muda wa kutembelea soko la filamu Ghana na kuweza kununua baadhi ya movie kwa ajili ya kutizama ila pia kuongea na mtayarishaji na msambazaji mkubwa wa filamu Ghana na mkurugenzi wa VENUS FILMS PRODUCTION,ndugu Abdul Salam.ndiye mmoja wa waasisi wa Ghallywood(Ghana movie industry).moja ya maongezi yetu ni ushirikiano wa filamu za bongo na Ghana lakini pia kutanua soko letu la filamu n.k.maongezi yalikwenda vizuri sana. The great nikichagua filamu


The great na Prince Richard Nwaobi


Kibao kinachoonesha ofisi yake.


The great,Monalisa na Abdul Salam from VENUS FILMS PRODUCTION mara baada ya kumaliza maongezi.


Monalisa nae alinisaidia kuchagua filamu....


Katika ndege nikirudi bongo


Masaa 6 angani yanachoooooshaaaaaaaaaStaa anayependwa sana kwa sasa Ghana John Dumelo,Mona,Prince Richard,kabla ya kufika Ghana nilijua anayewatingisha huku ni Van Vicker kumbe kwa sasa ni huyo kaka na Michel Majid yaani wanapendwa sana,Van Vicker hayuko sana katika movie zao na kama vile amebaki kucheza movie za Nigeria na za kwake ambazo hazifanyi vizuri sokoni Ghana.kwa tetezi nilizosikia ni kuwa alianza kuwa msumbufu hivyo maproducer na directors wakaamua kuacha kumpa kazi jambo ambalo linazidi kumshusha.

15 comments:

Albert said...

Hope umefika home vizuri, na tulikua tunakusubiri kwa hamu sana!
Ok tuambie ni kitu gani unatuandalia kwa sasa.
Albert
Australia

Mutalemwa said...

Niaje kanumba?kwanza pongezi zikufikie kwa kujitangaza ndani na nje ya nchi.Pia umefanya jambo la maana sana kukutana na huyu jamaa anayeitwa John Dumello ningelikushangaa sana kuwa hujakutana nae.kwani jamaa ni mkali sana kaka nimecheki movie zake sana.mwingine Majid Michel.poa gud job.

Anonymous said...

i wonder kanumba ulitumia lugha gani (lol) as we all know kiingereza kilizaliwa Ulaya kikaongezwa naksi Amerika kikaharibiwa India,kikafa Africa na pia kimekuja na meli,hatariiii

Tinah said...

Ila kanumba hilo Shati lako la ukweli,,, zuri sana

Anonymous said...

Yeh! John Dumelo yuko juu sana. Ndio lover boy wa Ghana; kama lover boy Ramsey wa Nigeria. John kwa sasa ana soko kubwa sana Nigeria pia. Huwa nafuatilia interviews zao; kuna moja alisema imefikia kipindi anachagua hakubali kucheza kila movie kwani zinaweza kumshushia kiwango. Na wengi wa maproducer wanaoingia nae mkataba kwa sasa ni wa Nigeria

Anonymous said...

Big up brada kwa kuendelea kupaisha kaz kuwa za kimataifa,en nmekuwa kila cku nikiwaza na wengne wacfate mfano wako na kuachana na mambo ya majungu na fitna ktka kaz,ok bt me naomba unsaidie natka kumeet na ww hapahapa bongo kama hautajal coz me nna kipaj cha kuigiza plz plz help tanx.

Anonymous said...

Big up brada kwa kuendelea kupaisha kaz kuwa za kimataifa,en nmekuwa kila cku nikiwaza na wengne wacfate mfano wako na kuachana na mambo ya majungu na fitna ktka kaz,ok bt me naomba unsaidie natka kumeet na ww hapahapa bongo kama hautajal coz me nna kipaj cha kuigiza plz plz help tanx.

Anonymous said...

gari milioni 78 afu unavaa vinguo vya ajabu, kurudia nguo sio tatizo ila wakati mwingine unarudia rudia sn vishati vinakubana mno.

pesa unayo nenda gym sio uwe baunsa laa kata mafuta tu utoe minyama AFU PIGA PAMBA gari bombaaaaaaa unashuka umevaa kitishirt cha kukuvimbisha maziwa

Anonymous said...

wooow kanumba ww wa wapi ulikuwa unajua van vicker,uyo vicker ni old fashion maneno dumelo na majid mlete dumelo tz tunampenda sana yani hata mimi sio actor lakini nawajua maactors walio kwenye chati kanumba kaziangalie kazi za uyo jamaa alafu utaniambia hata nigeria awafui dafu wanamueshimu sana uyo dumelo west africa mimi binafsi siangalii film sasa ivi kama uyo dumelo hayupo

Anonymous said...

katika siku ulizo nifuraisha leo ndio ya kwanza my God iam in love with ghana movie ilove john dumelo kanumba kaka angalia filamu za uyo jamaa na kina iyvon nelson na iyvon okoro na jack apphia na utaniambia wewe wa wapi tuige mfano wa kuact kwao. i wish ningekuwepo kukusaidia kutafuta movie tujifunze kutoka ghana awa jamaa wanaweza sana napenda swaga zao

Anonymous said...

Naomba uniambie ni michezo gani ulionunua

Anonymous said...

Naomba uniambie ni michezo gani ulionunua

Anonymous said...

Daaaaaaaaaaamn Majid Michel is the bad ass I would love to see Majid with you in the movie but u don't see a girl for him there but the guy is good at what he is doing anamfunika hata John Dumelo yaani me in Ghana movie I give it to Majid that guy give him any shit of the role in a movie and he will nail it big time he should be in Hollywood he deserve it.

Anonymous said...

Daaaaaaaaaaamn Majid Michel is the bad ass I would love to see Majid with you in the movie but u don't see a girl for him there but the guy is good at what he is doing anamfunika hata John Dumelo yaani me in Ghana movie I give it to Majid that guy give him any shit of the role in a movie and he will nail it big time he should be in Hollywood he deserve it.

Anonymous said...

jhon dumelo is the best.i like his movies.