Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 13, 2011

BAADA YA KUMALIZA SCENE ZAKE NA HAFLA YA KUMUAGA RAMSEY AKAREJEA KWAO NIGERIA

Tukiingia airport kumsindikiza


Akiagana na crew yangu kwa mara ya mwisho mwisho


Kajala na Maya walikuepo

Thank u Ramsey.....


Hakika nimefurai sana kufanya movie pamoja na star huyu,sisemi mengi ila movie mtaona kiukweli kazi imefanyika vizuri


5 comments:

Anonymous said...

Safi sana! na tumaini langu filam itakua nzuri!! Ila mi napenda nitoe ushauri ukiona unafaa ufanyie kazi ukiona haufai upotezee,Binafsi ni mdau mkubwa wa movie zako na kama siijaona basi hazizidi tano nyingi nimeziona na ukweli nakukubali sana. Ingawa unakubalika na wengi na unaonekana kutokulewa sifa ila mi nashauri utilie mkazo wa publicity zaidi na muhim zaidi ni hii WEBSITE ni pahala maridhawa pa kujiweka public wac wac wangu upo kwenye up 2date zako mkuu unachelewa sana kutujuvya kinachoendelea mpk tunasahau km kuna website hii najua majukum yamekuzonga ila kama nn ajir japo m2 wakupost habari kwa wakat inakatisha tamaa kila wakati tukifungua tunakutana na post za wiki moja nyuma tujitahidini tutafika ikiwa tutakua tayari kupokea ushauri na kuufanyia kazi.

mdau said...

inaelekea ramsey analipenda sana t.shirt yake.. nzuri hata mie nimeipenda kama sikumbuki vzr ndiyo ile aliyoingia nayo bongo kaona haondoke nayo.

Albert said...

Tunafurahi kuona kazi imeisha salama, kinachobaki tunasubiri kwa hamu mzigo utoke tujionee. Sisi kama wadau wa movies zako hatutakuangusha kamwe.
Albert
Australia.

Anonymous said...

Hallow mr Kanumba, thanx 4 bringin mr Ramsey into ur world of film.....it was so nice to have him in ur film...he's one of the Hottest Actor in the African side....let's wait 4 the MOVIE...

P'se "Say Hi 2 my Lovely wife Sanura & my only wonderfully Datter SHARIFA.....wishing them a wonderfully-warm Holiday.....

From: Twaleb - Denmark

Anonymous said...

Wen z t goin 2b Ready???
4rm:Grace Amani