Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 25, 2011

SCENE ZA MWISHO MWISHO KATIKA DEVIL KINGDOM...

Hii ni movie inayoingia katika historia yangu ya movie niliyowaikushoot kwa mda mrefu kuliko zote nilizowaikushoot,ni movie iliyoshirikisha washiriki wengi main na extras kuliko movie yoyote niliyowaikushoot au zilizowaikutengenezwa hapa bongo maana ni zaidi ya washiriki mia mbili,ni movie iliyoitaji vifaa vya ziada katika shooting,lakini hata mfuko kidogo dah umetumika...sokoni mwezi ujao....DEVIL KINGDOM scene za kanisani


kwaya

kazi ikiendelea


washiriki katika scene
Toba ya kweli
The great kazini


Scene kama hizi huwa sifanyi makosa huwa nazitendea haki kikweli na huwa najiandaa,


Huwa nahakikisha hata kama kulikuwa na mtu anapiga kelele basi huwa aambiwi nyamaza bali hunyamaza mwenyewe kwa kutizama,Scene ngumu kama hizi ndipo uonekana uigizaji wa msanii na kiwango chake katika Acting.


Hii scene hata ujifanye eti ooh sitazamagi movie za kibongo....utatizama tu hata kwa siri chumbani kwako,mdomoni utakataa ila rohoni utakubali maana ndio asili yetu,....Sokoni mwezi ujaoooooo

12 comments:

vio said...

teh teh teh! Aya tutayaona makeke yako,d great.Ponda mioyo baba,ponda mioyooooo!

vio said...

mh,inaonekana tu,itakua bonge ya movie.Let us c.

Milka Richard said...

Mbona dis time watakubali mpaka moyoni!konga nyoyo kakaaaaaaaaaaaaaaaa!,ila ndo hvyo ki2 kizur hakiitaji haraka.Na kizur ni gharama Kanumba,zamu yako ss kulia kivulini.

Anonymous said...

mmh kiukweli kaka naisubiri hiyo,,mambo yako nayakubali haswaaa.wewe huna mpinzani

Anonymous said...

hehee wameisoma,na haina kudelete

Anonymous said...

am eagerly waiting 2 c it bro...

Anonymous said...

sio hamna kudelete tu hata wakidelete watakuwa wameguswa wanaogopa kujulikana kuwa wameguswa.HUUUUUUUUUUUUUULLLLLLLLLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE twasubiri kwa hamu devl kingdom!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Kaka wataisoma namba wataona action mwaka huu ni level nyingine, big up mkubwa

Anonymous said...

Mimi ni mdau wako, nimeangalia ile muvi yako ya MOSES, mbona mwisho wake sijapenda kwa maana nilitamani sana kujua yule mwanamke aliyekuwa hawapendi watoto wake (thea) aliishia wapi, au walikuja kuendelea na yule kijana akiye sababisha mumwe afe, na yule mtoto wa kike sijui alikuwa anaitwa Rose kama sikosei nae aliishia wapi,

Grace Urembo said...

Kiukweli kaka upo juu, pia mimi ni mdau wako mkubwa sana wa filamu zako, naisubiri kwa hamu kubwa sana hiyo muvi yako mpya.

kazi njema kaka.

silvanusm.blogdpot.com said...

ha ha ha ha umeponda san mkubwa.... watakubali tu.

ON FIRE link. said...

hii move inaonekana itakuwa kali sn big up your self kaka we unajipanga sn yani keep it mtumish