Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jul 30, 2011

UMEME UWAKE USIWAKE ''DEVIL KINGDOM'' LAZIMA ISONGE MBELE

KUTOKANA NA TATIZO SUGU LA UMEME TULILONALO HAPA BONGO,NA KUTOKANA KWAMBA SITAKI KUWAANGUSHA MASHABIKI WANGU JUU YA UJIO WA FILAMU YANGU MPYA YA DEVIL KINGDOM NIMEAMUA KUNUNUA GENERATOR YENYE UWEZO MKUBWA WA KUWASHA TAA,AIR CONDITION,COMPUTOR NA VIFAA VYOTE VYA OFISINI VINAVYOHUSIKA KATIKA KUHARIRI MOVIE ILI SHUGHULI YA EDITING IENDE KAMA NILIVYOPANGA MSICHELEWE KUIONA MOVIE,TANESCO WAKICHUKUA UMEME WAO NAMIMI NAWASHA WANGU KAZI INASONGA MBELE OFISINI ...WAHENGA WANASEMA SHIDA DARASA..... GENERATOR YANGU IKIFANYA KAZI YAKE MAANA UMEME NDIO HIVYO TENA.


HAKIKA INA UWEZO MKUBWA HADI KUSUKUMA AIR CONDITION MBILI.


OFISINI KWANGU ZAKAYO MAGULU AKI-EDIT DEVIL KINGDOM


TUKIWA SAMBAMBA KATIKA KUHARIRI ILI KITOKE KITU KIZURI


TUKIWA MAKINI NA KAZI,UMEME WA HAPO SI TANESCO BALI GENERATOR BILA HIVYO HUTOFANYA KAZI MAANA KUNA SIKU UNAKATWA KWA SIKU MBILI BILA HATA KUWASHWA KIDOGO.

2 comments:

Anonymous said...

Tanesco mizinguo sana...big up bro

Anonymous said...

Safi, hata umeme ukatike the saga continues!!!!