Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 1, 2011

HARUSI YA MERCY JOHNSON YAFANA SANA NIGERIA

Harusi ya muigizaji maarufu wa Nigeria MERCY JOHNSON OZIOMA na mmewe PRINCE ODIANOSEN OKOJIE iliyofungwa jumamosi iliyopita katika kanisa la CHRIST EMBASSY mjini Lagos ilifana sana na kuhudhuriwa na mastaa wengi wa Nollywood hivyo kuvunja rekodi.Kabla ya harusi hii kufungwa kulikuwa na mgogoro mkubwa kati ya mke wa zamani wa PRINCE ODIANOSEN ajulikanae kama LOVELYNE OKOJIE aliyetoa pingamizi kuwa alishaolewa na hajaachwa pia amezaa nae watoto wawili na picha zao akatoa,lakini mambo yaliwekwa sawa na harusi ikafungwa vizuri tu. GENEVIEVE NNAJI akitoa wosia wake kwa Mercy,Genevieve ndiye aliyemfanya Mercy aingie katika uigizaji na miaka yote Mercy humuona Genevieve kama mwalimu wake katika sanaa hii.


Stephanie Okereke akiingia ukumbini


Kushoto ni muigizaji EMEKA IKE akiingia na kulia ni muigizaji wa Ghana Michel Majid wote walikuepo.


Msanii 2shots(kushoto)akiwa na muigizaji Mike Ezuruonye harusini.


Jim Ike(kushoto) na Keneth Okonkwo


Muigizaji wa Ghana Yvone Nelson(kushoto),Waje na Empress Njamah(Nollywood)


Comediana mfupi Nollywood Chinedu Ikedieze na mchekeshaji wa jukwaani AY.


KanisaniKeki hiyooo

12 comments:

Anonymous said...

kanumba big up brother,harusi ilifana ki ukweli,mbona umebana pics?vipi mambo ya kimila hayakuwepo coz i know wa nigerian na mila ndo mwai ila kiukweli nazimikia sana jinsi wanavyo mind culture yao.

always ,mama rique

Anonymous said...

kanumba big up brother,harusi ilifana ki ukweli,mbona umebana pics?vipi mambo ya kimila hayakuwepo coz i know wa nigerian na mila ndo mwai ila kiukweli nazimikia sana jinsi wanavyo mind culture yao.

always ,mama rique

Anonymous said...

Ndio mjifunze sio unashadadia tu.cheki wenzenu.wanavyojipend na kuvaa nadhifu mjipende nanyie muwe classic sio mnajiachia utasema sio mastar.bwana

BONGO said...

NIMEITAZAMA FILAMU YAKO YA THE SHOCK KAMA SIJAKOSEA JINA,KUSEMA UKWELI NI NZURI SANA KWANI YULE DADA AMEJITAHIDI SANA KUVAA UHUSIKA NA HAKUWA KAMA ANAIGIZA...MAVAZI YALIKUWA MAZURI YA KISASA LAKINI SIO UCHI KAMA TULIVYOWAZOEA,STORI ILIKUWA NZURI NA ILIKUWA NA MWANZO,KATI NA MWISHO LAKINI TULIPENDA TUONE MWISHO WA YULE MCHUMBA WAKO WA KWANZA KWANI TULIISHIA TU HEWANI,JAPO KUNA MAPUNGUFU MADOGODOGO ILA HEKOO UMEJITAHIDI SANA...KAZANA UTALETA MAPINDUZI YA FILAMU TANZANIA.

Anonymous said...

nILIHISI NA WEWE UNGEKUA NI MMOJA WA WAALIKWA KWANI HUYU DADA ULISHAWAHI KUFANYA NAE KAZI kANUMBA TO BE HONEST SIJAPENDA KUONA HUKUWEPO KWENYE HIYO HARUSI

BQ said...

ASANTE SANA KANUMBA UMEBAMBAAAAAAA MAMBO MAZURI SANA HAYO DUH CHINEDU MBONA ALIPANIA SANA MAANA HIYO SUTI IMEMKAA ILE MBAYA

Anonymous said...

HIVI UPO SAWA WEWE KANUMBA MANA DUH KIMYA SANA MPENDWA HUWEKI MAMBO MAZURI WHY BRO.MISS U KWENYE BLOG YAKO MKUBWA.

Anonymous said...

safi sana lakini siku hizi cjui uko busy sana, mbona huapdate blog yako kama zamani? ila big up kaka utafanya mapinduzi

Happy olle said...

Kanumba plz embu 2rushie vi2 bana mbona hakuna jipya bwana kaka

BEATRICE said...

USIWE UNAKAA KIMYA HIVYO,JITAHIDI KUWEKA MAMBO MAPYA MARA KWA MARA.TUNAPENDA SANA KUTEMBELEA BLOG YAKO ILA TUKIKUTANA NA MAMBO YALE YALE KILA SIKU INACHOSHA SANA.JITAHIDI BANA HATA KAMA UKO BIZE.

anisha said...

ur an actor kanumba ! big up! just try to find new interesting stories

anisha said...

big up bro! you have the talent just try find new interesting stories