Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 23, 2011

SALAMU ZA SHAZ SADRY WA THE SHOCK...

12 comments:

cia said...

i real lv ths gush,,she 's co cute!!!pls kanumba cheza nae movie nyngne il toune kipaji chake zaid!!ki't up!

Anonymous said...

Yap kanumba naikumbuka sana ilikua nzuri sana. hasa wema kuwa mke wako. mnapendezana sana. sio hiyo tu kuna family tears, white maria and the best red valentine. yaani mnependezana sana na wema. sio kupendezana tu pia wema yupo makini na kazi kuliko hao uliowaleta kwa sasa. kwa ushauri wewe na swahiba wako msiwe mnaangalia shape za watu angalieni vipaji. na mwenzio nae kjiokotea nyambizi moja linaitwa sykina hata kuigiza halijui. hata the devil KIngdom umecheza vizuri but msichana uliyecheza nae hawezi. Wema ana kipaji, kuna wengine johari mmemuacha siku hizi, teya mbona wana vipaji sana.

kwa hiyo bwana shemeji sio hiyo tunayoikumbuka ni nyingi but zote ulizocheza na wema ni filambu nzuri sana hazichoshi kuangalia.

Anonymous said...

yap uyo wa hapo juu kasema kweli kabisa ata nigeria na ghana unaweza kuwa mzuri kama huna kipaji wanakubwaga chini na pia vilevile waschana wajitahidi kutunza shape zao sio wananenepa ovyo tu na pia waache rangi zao asilia sio mikorogo wewe kanumba umewaona wa nigeria sio wazuri ivyo ila wanajua kujipamba na kujipangiliya na pia tujitahidi kuongea kizungu ili na sisi tuonekane duniani tusitegemee subtitel tu,ila yule swahiba wako kuact ajui umwambie ukali tu na pia kutunga movie hajui ila kwa location tu mkali na sisi tunafata ujumbe jaribuni kuchukuwa watu wenye vipaji vya kweli na sio uzuri kama vile naweza nikasema wema,ezekiel,irene uwoya,johari,sayuki,jb baba lao,mzee magari aisee uyu mzee usimchezee yule mama aliact mama yake aunt ezekiel kwenye young billionea thea,monalisa,wastara please kanumba we need to grow in our movie indusrty wewe ona ghana sasa ivi wanavyokuja juu wameshanza kuwafunika wa nija realy wao wako next level na ss jamani we have to do someting

Anonymous said...

Sema tu huna mda wa kuckeza tena movie sababu ya kazi yako.

mama 2 said...

Move zako nazikubali kaka! Hongera sana!

Anonymous said...

shaz ni mnzuri ingawa hamkuti wema hata kwa kufurukuta, wema yupo juu zaidi yao, ulipo sema wa2 wanakumbuka nini, ikabidi nicheki ile RED VALENTINE! aise wema mwisho! nadhani hata wewe kanumba ndani ya nafsi yako unakili hilo, ingawa huwezi kusema adharani ukifikiri utsfedhekeka kuweka hisia zako wazi, siku zote mficha mafadhi.......! kalizia kanumba!

Jamani Kanumba nisaidie mwenzio niweze kuigiza kwenye kampuni yako, mi sina kipaji ila nahisi nikifanya mazoezi ntaweza, plz Kanumba i need fever from u

Anonymous said...

HUYO DADA UMEMPENDEA HIYO SHEPU YAKE KUNA WALAKINI HAPO KANUMBA ACHA KUPOTEZA WAPENZI WAKO

Ras 1 Eddy said...

Hey the Great.
Maneno uliyomwambia Shez kwenye The shock wakati ulipomualika kwako mara ya kwanza,wakati mnakunywa kwenye tent kabla hujapigiwa simu ya kuitwa na mama wa ex wako,ndio maneno ninayotaka na mimi kumwambia Shez bro.Unayakumbuka?

wacha wengine walinganishe "She is the bomb"

Anonymous said...

i real love shaz, amevaa uhusika vizuri kwenye the shock, but atumie sauti yake na sio ya wema