Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 23, 2011

UNAIKUMBUKA MOVIE HII,,,OPRAH?....Unakumbuka nini???


20 comments:

Anonymous said...

utanisamehe kwa haya nitakayosema ni mtazamo wangu hakika kanumba ingekuta ni wewe umemuowa uwoya yani mgependezana sana tu yani wee acha tu au vipi wajamani nyie mnaonaje hiyo couple ingekuwa poa eti

Anonymous said...

kanumba kazi yako nzuri sana naomba utuwekee ile movie ya wakati ule wa kaole ukiigiza ukiteswa na mama wa kambo uliekti kama kipofu kama sikosei

David Michael said...

Katika movie zote za kibongo hii ipo ndani ya 3 bora ya movie ninazoona kuwa ni bomba.Big up sana Kanumba,Oph & Ray

Happie olle Ngambi said...

Kati ya movie ambyo nimeipenda ikanifanya niwe na mchecheto wa kucheki movies ni hi ya oprah nakumbuka pale alivomwona chura alivopiga kelele hahahahaha!!acha kabisa ninachokusifu UNAJITAMBUA NA UNATAMBUA NINI UNAKIFANYA big up sana mwombe Mungu akupe hekima na busara ile uweze kupambanua mambo kuwa makini epuka skendo na piga kazi ndugu yangu.ONLY GOD CAN JUGJE YOU NO ANY BODY.

Anonymous said...

this chick can act but i want to see her in english movies i know she will rock badly ni mtazamo wangu na mpenda sana irene,ingawa shape yake sio nzuri ila sura inavutia na ivyo viziwa vyake anajua kuvivalia nguo kweli mungu akupi yote na nikimwangalia jinsi anavyo act na mfananisha na mcheza filam wa ghana anaitwa yvone nelson kama unamjua kanumba ooh waghana wanauwa sasa ivi katka filamu tujitahidi kizungu jamani in our movies wambie basi ata wakasomee

Anonymous said...

watu wagumu kuelewa kama mawe. mme ulizwa mnakumbuka nini kwenye movie hii, unajibu eti ungemuoa uwoya. kichwani zipo kweli? jibu kama unavyoulizwa

Anonymous said...

nakumbuka ulivyombadilikia uwoya mkiwa zanzibar na kumwambukiza HIV. kwa kweli wanawake tujifunze kutulia na waume zetu. wewe na Ray mnacheza picha nzuri sana. lakini hii ni kiboko. nzuri kuanzia mwanzo hadi mwisho.

Anonymous said...

the best movie. hadi leo bado ni namba moja. hiki kitu kikali sana. toa filamu ukiwa na uwoya tumemmisi sana. mama N.

Anonymous said...

hivi hao wanaokuambia urudiane na wema wanaakili kweli. achana nae asije akakupa HIV buree. lumi - dsm

Anonymous said...

Mie kwenye hii unanikumbusha tu ulivyotolewa kijijini mpaka kufika mjini na kuanza uhusiano na Oprah na kitu kingine nakumbuka ulivyoachwa kule polini.Then ilinisikitisha sana ukumwambia ukweli oprah km umeathirika

Anonymous said...

kaka hapo wote mlikuwa wembamba wazuri hadi utamuuu, sasa mmenenepa zaidi jamani punguzeni misosi hiyoooo. Napenda movie zako sana kanumba, i love u. Glory

Anonymous said...

Hahahhahaha,jamani nimecheka sana hiyo picha mpo beach kanumba umevaa track ya njano na irene vimoka,hahhahah mlikua washamba bado,eti mmeweka pozi,lol!

Anonymous said...

Katika move hii nakumbuka pale mlipotoka chumbani na oprah baada ya kufanya yale mambo aibu ikawajaa, mara rey akaja ukajikuna kuna na kuondoka kwa aibu irene nae akasikia aibu sana

Glady Lema

BQ said...

yaani hii movie hakika haichoshi kunagalia ni tamu ile mbayaaaa mi nakumbuka zaidi pale ulipokuwa unamamwambia Uwoya kuwa Opra huyu unaemuona hapa sio yule alietoka dar siku chache zilizopita halafu ukaanza kile kicheko chako haaaaa duh hapo ndugu yangu huwa unaniacha hoi sana napenda sana unavyochekaga una ka style fulani nimeona hata kwa JB pia haaaaa u drive crazy guys love u much Kanumba

nyahbingi worrior. said...

Habari za siku.
Kama mwanablogu kutoka Tanzania,nakuomba kushiriki kuchangia Mchakato wa KUFUFUA JUMUWATA(Jumuiya ya Wanablogu Tanzania).

Tafadhali naomba ufungue hii kurasa ya
http://blogutanzania.blogspot.com/
kisha upendekeze jinsi ya kufufua JUMUWATA.
Ahsante
Luiham Ringo.

Happy olle ngambi said...

Unajua people bwana hamjui maana ya maoni au unataka kuonekana nawe upo katika ulimwengu huu sayansi na teknolojia au?unaambiwa toa maoni au unakumbuka nini katika movies hizi m2 anaanza oh rudiana na wema ooh irine yuko hvi je ivo vinakuhusu?walvoanza mapenzi mlikuwepo?na walivoweka nukta mlikuwepo embu 2jaribu kuandila mambo yatakayomjenga ndugu yetu katika kazi zake kwani akifanikiwa ni furaha kwetu.KILA LA KHERI steve.unataka kuonekana nawe upo katika ulimwengu huu sayansi na teknolojia au?unaambiwa toa maoni au unakumbuka nini katika movies hizi m2 anaanza oh rudiana na wema ooh irine yuko hvi je ivo vinakuhusu?walvoanza mapenzi mlikuwepo?na walivoweka nukta mlikuwepo embu 2jaribu kuandila mambo yatakayomjenga ndugu yetu katika kazi zake kwani akifanikiwa ni furaha kwetu.KILA LA KHERI steve.

Anonymous said...

ni movie ambayo kila moja alionyesha umahiri wake ktk nafas aliyocheza.( Ray, kanumba na uwoya) mlifanya kuwa movie nzur mpaka leo híi huwa naingalia na wala huwa siichoke...! Emmer

Anonymous said...

ni movie ambayo kila moja alionyesha umahiri wake ktk nafas aliyocheza.( Ray, kanumba na uwoya) mlifanya kuwa movie nzur mpaka leo híi huwa naingalia na wala huwa siichoke...! Emmer

Anonymous said...

ni movie ambayo kila moja alionyesha umahiri wake ktk nafas aliyocheza.( Ray, kanumba na uwoya) mlifanya kuwa movie nzur mpaka leo híi huwa naingalia na wala huwa siichoke...! Emmer

MWAJABU ABDALLAH said...

UNAJUA KANUMBA MI NAKUPA SHAVU ILE MBAYA COZ KWENYE HIYO MUVI ULICHEZA SANA UPO JUU MKAKA ILA USIJE KULEWA UMAARUFU ITAKUWA NOUUUMAAA,ONE LOVE BROTHER