Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 23, 2011

UNAIKUMBUKA MOVIE HII....A POINT OF NO RETURN????unakumbuka nini?
29 comments:

Anonymous said...

muvi nzuri sana, nakumbuka kila zawadi uliyokuwa unamletea mkeo (wema)ilikuwa nyekundu.

BQ said...

HA HA HA MI NAKUMBUKA TU HICHO KITANDA CHA UKWEEEEEE, PIA KINACHONIFURAHISHAGA NI PALE MLIPOKUWA MNAMUWANGIA WEMA KITANDANI HASA MZEE MAGARI NDO NIKIMUONA SINA MBAVU, ILIKUWA KAZI NZURI U R REAL GREAT.

Anonymous said...

wema alikuwa mzuri sana kipindi hicho kuliko hata sasa.......

jane said...

Yaani Movie ilikua nzuri mnoooooo,Kiukweli me binafsi nakumbuka saaana Kutoka kwa Wema sepetu jamani dah ingekua Amri yangu ningeumba Kanumba na wema Wakawa Mume na mke sema ndo ivyo basi tena.

Anonymous said...

kanumba mumependeza sana na Wema,vizuri mgerudiana ukamtuliza.

Anonymous said...

kweli ulimpenda wema, yani hadi umeamua kumtafuta mtu anayefanana naye, mmmmmmmmh!... sasa fanya mipango umuoe mapema huyo kabla hawajakuwahi wenzio

Anonymous said...

NAKUMBUKA ULIKUWA MWEMBAMBA YANI MWILI WA WASTANI AMBAO NAISI NDO UNAOKUFAA HASA KM UNATAKA KUEPUKA MARADHI YA MOYO

Anonymous said...

mtumie wema kwenye filamu zako anakufaa sana mnaenda sana hata kama ana matatizo yake hayo yeweke pembeni manake anaweza

Anonymous said...

Ya tunaikumbuka sana. It was so so fresh. Wema ukicheza nae move inakuwa ya ukweli yaani mnatengeza familia nzuri sana. yaani kama ningekuwa mama yako ningesema muoe wema halafu mfungue kampuni ya kucheza filamu. huyu binti anakupendeza sana. pia ni intellingent achana na hao wakina shazi na matako ya kichina hawawezi kufikia kipaji cha wema hata kidogo. tena najuo umeweka hivi makusudi kwa maana umeanza na wema then shazy. hata wewe mwenyewe angalia move ulizocheza na wema then na huyo shazy ipi umeuza ipi ina mvuto wa kuangalia???

Ushauri wa bure. Mrudie Wema Muoe mtie mimba atatulia.

Wema is more cute and inteligent and she is talented. huwezi kucompare na hao

Anonymous said...

......Wema alifanya vizuri saaaanaaa....! Alitisha kwa kifupi... Hebu kaka fanya ufanye nae tena movie moja... Wema ni mkali ile mbaya!

Ramsey CoM said...

kaka unazuga tu, sema umemkumbuka shemeji wema. sema hata mimi nimefurahi kumkumbuka wa ukweli wa zamani.

bettymwasa said...

jamani mi nakumbuka pale walipokuwa wanaingia m1 m1 ndani kiuchawi, jamani niliogopa siku hiyo ukizingatia niliangalia usiku! kanumba nakuomba urudiane na wema jamani munapendezana sana, mbali ya hiyo movie, hata ile ya white maria mulikamua! makosa yapo kwa binadamu tena 2meumbiwa,ndo maana kuna ufalmewa mbingu na wa giza! jifunze kusamehe!

Anonymous said...

Kaka ckia maoni ya wadau wako wanapenda ucheze na wema hata kama sio kwenye mapenzi fanya biashara na huyu dada kwanza anajua lugha ya kiingereza vizuri sana kuliko msanii yyt jivunie hilo manake ww ndio uliimubua wema

Anonymous said...

WALA USIMRUDIE WEMA ETI KISA MNAPENDEZANA MWANAMKE SIYO UZURI WA SUIRA MWANAMKE TABIA,KAMA ALIYOKUTENDA NAMANA ILE HAPANA KWANZA WEMW MALAYASANA NA SIYO MWANAMKE WA KUOA NAHIZO MSG HAPO KAZIANDIKA MWENYEWE ANATABIA CHAFU KASHALALA NA KILA MWANAUME KWAAJILI YA PESA NI AIBUSANA HATA WAZAZIWAKE WANAMUONEA AIBU KWANINI WEWE UCHUKUE TAKATAKA WAZURI WENGI TAFUTA MWENYE TABIA NJEMA BRO ACHANA NA WATU KUTAKAKUKUINGIZA PABAYA,WEMA SI MWANAMKE WA KUOA UKISAFIRI ATALETA MWANAUME NDANI, KASHAISHI NA WANAUME WANGAPI NA WAMESHINDWA?

Anonymous said...

yaani hii movie mimi huwa naiangalia mara nyingi sana na wala hainichoshi, wema amecheza vizuri sana, hebu jaribu kucheza nae movie nyingine uone, utauza sana kanumba. huyo sharzy hamfikii wema kwa lolote. msamehe wema muendelee kufanya kazi. movie zote ulizofanya na wema zilikuwa bomba sana

Anonymous said...

kanumba ukweli utabaki kuwa ukweli wema najua kazi ile mbaya kuliko hao wengine mrudie wema piga nae kazi hayo mambo yake mengine achana nayo ni utoto akikuwa ataacha

Anonymous said...

kanumba ukweli utabaki kuwa ukweli wema najua kazi ile mbaya kuliko hao wengine mrudie wema piga nae kazi hayo mambo yake mengine achana nayo ni utoto akikuwa ataacha

Anonymous said...

kiukweli wema she is avery gud actress anafit sehemu yyt ile tena ukiact nae mnapendeza sana fanya nae tena muvi moja jamani,wekeni tofauti zetu pembeni pigeni mzigo....!

Anonymous said...

hizi msg hajaandika wema wewe mdau unayemponda hatujasema amuoe ila kuhusu kucheza nae movie ila wewew ndio unataka kuolewa hapa tunaangalia kazi sio mapenzi kwani wewe umetembea na wanaume wangapi

Anonymous said...

Jamani kanumba, naomba kuigiza kwenye kampuni yako hata kama ni bureeee

Anonymous said...

KANUMBA KAKA ANGU MRUDIE WEMA MLIKUWA MNAPENDEZA SANA NA NAAMINI WEMA NDO CHAGUO LAKO NA NAAMINI UNAMPENDA SANA NA YEYE ANAKUPENDA ILA NAFIKIRI BADO ANAAKILI ZA KITOTO ILA AKIKUWA ATAACHA

Anonymous said...

tukueleweje?mara umsifie wema mara umkandiye tena wewe mwenyewe ndo wa kukandia na kusifia vipi tunashindwa kukuelewa ati!

Anonymous said...

MMh Kanumba mlielewana sana na wema sahau yote mrudiane tena hata yeye alishawahi sema ktk wanaume wote alimpenda alikuwa wewe msamehe then mkapime afya zenu then muoane mana wakati mko nae hakuwa na skendo kama alivyo sasa!msamehe ila mpime kwanza afya zenui!

Anonymous said...

Kwa kweli Wema ni Atress mzuri sana kuliko wote uliowahi kuact nao. Fanya nae tena Movie. Ya mapenzi mie sijui..ila kazi,she is good

Anonymous said...

sisi tunamtaka wema ufanye nae kazi tena usiogope hawezi kukatazwa na serengeti boy wake diamond jaribu kumrudisha tena muwe kitu kimoja kwenye kazi zako

MWAJABU ABDALLAH said...

DAH,NAKUMBUKA JINSI WEMA ALIVYOKUWA AKITOA MAOMBI ANGEKUWAGA VILE INGEKUWA POA,PIA PALE AMBAPO MR MAGALI NA KANUMBA WALIVYOKUWA WAKIWANGA,PIA PALE AMBAPO WALIPATA ULE UKURUTU WA KUJIKUNA,AISEE HIYO NI SALUUUUT.

Anonymous said...

Picha hii ndio iliyonifanya nianze kununua na kuangalia picha za Kibongo. Kwani nilikuwa naamini kabisa kuwa Bongo hawajui kuigiza, lakini sasa nimetenga kabisa kila mwezi nanunua mikanda angalau mitatu ya picha hizi na ninayo mikanda mingi sana hadi sijui idadi yake. Naikumbuka sana picha hii. Na mkanda huu nimeununua mala tatu Mala ya kwanza uliazimwa haukurudi, mala ya pili ulikanyagwa na mtoto ukavunjika huu wa tatu ninao......Kizito!!

emmanuel shio said...

safiii sana mkuuu...bt al in al mungu azid kukubark na kukulindaa ...

Anonymous said...

mrudie wema kanumba pleaseeeee forget about the past uhhhhh