Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Sep 14, 2011

MUONEKANO WANGU WA SASA.........


40 comments:

Bongo film data Base said...

unaonekana poa kaka...na hongera kuendelea kutifungulia njia huko nje ya tanzania kaka..

Anonymous said...

uko juuuuuuuuu!

Anonymous said...

inapendeze,ila naomba ufanyie kazi blog yako,inakuwa haina vitu vipya kila mara.....tutakukimbia kaka....jitahidi kutuwekea matukio ya kila siku angalau tuwe pamoja na ww

De Bonex said...

uko smart.

Anonymous said...

very handsome, uoe sasa unazeeka..

Anonymous said...

uko poa, si unajua ww kk hakuna nguo inayo kukataa

Anonymous said...

umependeza but endelea kufanya mazoezi uwe energetic and sexy too, usijiachie matumbo makubwa kwako na kwa swahiba yako yahawapendezi.

Precious said...

You look greattttttttttttttttt i saw u yesterday somewhere around upanga yaani it was wow...OMG.. nikatamani hata nikuhug kdg ila nikaogopa maana watu walikuwa wengi sana frankly me ni shabiki wako no 1 and ur the best Actor in Tanzania.

Anonymous said...

TUWEKEE NA PICHA YAKO YA MWANZO KABISA WAKATI UNAANZA MAIGIZO NA KAOLE SANAA GROUP.

linarmakengo said...

KWAKWELI BLOG YAKO INAKAA MUDA MREFU HAINA MPYA MPK INATIA UVIVU NA SWAIBA WAKO KAMA MNAAMBIZANA NAE WIKI HAT 4 HANA MPYA!!!!!!!!!!!!Umependeza
hlf utuonyeshe na picha tangu upo shule ya BUGOI SHULE YA MSINGI

Anonymous said...

wow u look good and skning,naona mazoez yamefanya kazi yake umepungua vzuri usiliache tumbo lirudi tena bwana du ulinenepa vbaya kaka yangu kwakweli watu wengine tunakuadmire,haswa mimi binafsi nakupenda saana kanumba napia nakufagilia sana kazi zako.niko ulaya ila siachikukuangalia through youtube movies zako ur the best Mungu azidikukubariki saana.ngangania baraka zabwana kama ulipokuaunaimbia kwaya ya AIC changombe,umebarikiwa saana.huyo anonymous anaesema uoe hiyo sikazi yake napia wabongo waache ushamba kuoa au kuolewa niuamuzi si lazima vilevile,chamuhimu jali maisha yako na chapa kazi baba,keep it up.

Anonymous said...

umependeza ila kama vile umeanza kuzeeka fulani hivi punguza mademu watakumaliza ndugu maana hiyo ndo cv yako kubwa!!ole wako uibanie hii comment

Anonymous said...

nakukubali kaka umekamilika kila idara ila naomba tu usinenepe zaidi halafu jitahidi kufany mazoezi japo lisaa limoja kila siku itakuweka fiti zaidi ubarikiwe na kazi yako nzuri

Anonymous said...

ok but weupe unazid tofauti na miaka ya nyuma uliokuwa na colour nzuuuri.mweeeeeh wasukuma wanapenda weupeeeee.usibanie ni changamoto

Anonymous said...

YANI PICHA YA PILI TABASAMU LIMENITA NYEGE KBS NA KAKIKFUA KDG ULIVOKAACHA WAZI LOL. BINAFSI SIPENDI MWILI WA KIBAUNSA NAPENSA WAKAWAIDA WAMAZOEZI NA SIO MINYAMANYAMA NDOMANA UMENIPAGAWAWISHA WALAI CHUPI IMELOWA KANUMBA MI NAKUPENDA WEWE NATAMANI HATA NIPATE WASAA WAKUKAA NA WEWE CJUI UTANIPANEDA KUKUTONGOZA SIWEZI WAKATI MWINGINE NARUDIARUDIA TU MOVE ZAKO HATA ZA ZAMANI.SIKU NIKIKUONA LAIVU SIJUI NTAFANYAJE NAOMBA KUWE HAMNA WATU WENGI NIKUKUMBATIE AU HATA MKONO TU NTARIZIKA MI SIO MTAWI NAJUA SINA HADHI YA KUKUPATA

Anonymous said...

utwekee na picha yako ya zamani hasa ile ya issue ya 500 pale kaole, tukuone ulivyokuwa

Luck Boy said...

You look good but unaonekana unaanza kuzeeka sasa kaka mkubwa !!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Kwakweli steve nakupenda bure coz unajua unachokifanya yaani unajitambua,pia umependza endelea na mazoezi ucjiachie sana utachukiza.Always nakupa big up i wish nikuone one day ase karibu Ngorongoro umasaini.

ON FIRE link. said...

unaoneka poa kaka, big up ur self n keep on maintaining ur body ,

Anonymous said...

mh

Anonymous said...

mmh jamani uyo mdau mwingine vip mbona simuelewi au wenzangu mmemuelewa..mana katukana kabisaaa hadharan kwa kweli kaka kanumba naomba uitoe iyo comment ya chupi sijui nn haifai...ni ombi tu sio lazima lakin haileti picha nzri kwa kweli..

Anonymous said...

Whats the difference?

Anonymous said...

hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa umenchekesha we mdada ulonyegezwa,basi mie mke mwenzio na mie kama wewe wa kinguo nguo hahahhaa tutayaweza sie lol.

Anonymous said...

hamna kipya

Mamaa Ebenezer said...

Pendeza Brother, Ur so Handsome.

Unajipenda, Una Mvuto.

Your a Gentleman.

Hongera pia kwa kazi nzuri japo mapungufu kidogo, Kaza Buti.

Anonymous said...

You look great. Ila jitahidi ku-update blog yako

BQ said...

U look nyc Kanumba me always love u much tena sasa hv ndo una mvuto ile mbayaaaaaaaa, u rock, look sexy and cute, kila la heri, ila best kwenye movie yako ya Devil Kingdom nahisi kama ulivaaa suti bila soski au?pale ile scene ya kanisani unapotubu karibia na mwisho ha ha aha

mama 2 said...

Anonymous wa 1:34pm katiiishaaa! Lakini si mbaya kajaribu kuonyesha hisia zake. Kwenye mapenzi ya kweli ndugu yangu hakuna cha matawi. We jaribu bahati yako waweza ukaingiwa moyoni. Kama ni matawi atakupaisha mwenyewe kama kaku-mind. Usijishushe ndugu yangu. Jaribu Bahati yako.

Anonymous said...

You are so smart, but nowdays u are blog haipo updated ina tuboa sana hiyo harusi mpaka ndoa ita expare lakini wewe bado una matukio yake ya siku ya harusi. noma chapa kazi my brother. vitu vipya kila siku or after 2 days you change.

Anonymous said...

blog yako inachosha haina jipya ila upo poa umependeza

Anonymous said...

muonekano wako safiiii ila fanya mazoezi unatisha na tumbo hilo kwanini mnapenda kujiachia sana muone ramsey ni mkubwa lakini anaonekana km ana miaka 26 big up kaka

Anonymous said...

kanumba kanumba tulia kaka unaharibu zile sifa ulizokuwa nazo wacha kubadili wanawake kila kukicha kwani wazuri mdogo wangu hawaishi picha nimezikubali sana umependeza

Anonymous said...

very handsome but fanya mazoezi sana usiharibike

Anonymous said...

hizo nywele umekuwa muhindi... mh???

Anonymous said...

hongera kaka, umependeza, endelea na mavazi ya aina hiyo, achana na yale ya kung'aang'aa na yenye maua. that's simple and elegant!

Anonymous said...

Kanumba naomba ucheze movie na Mghana mmoja anaitwa John Dumelo. Aisee nimeangalia movie zake through You tube. The guy is killing. Anawaendesha sana West Afrika kwa sasa.He is chocolate boy like you mtapendeza sana.

Anonymous said...

Piga picha bila make up ndio tukuone vizuri.. tena bila kufanya mambo ya photo editor.....!!!!!

Anonymous said...

Hiyo picha nyingine mbona hicho kidole kinatutisha? Au ndo masonic in actioooooo......!

Anonymous said...

Kanumba kaka yangu nawashauri muwe mnarusha movie zenu online. Inasaidia sana kukuza majina yenu. Najua mnaweza kuhisi kuwa mtakosa mapato lakini kumbuka kuwa wabongo wachache sana wana powerful internet connection hivyo hata mkirusha bado watanunua.

Nimekuwa naangalia movie za Ghana na Nigeria throuhg You tube; niko nje ya nchi. Unakuta mpaka watu wa mataifa mengine wanawafahamu actors wa Ghana na Nigeria. Hence ni good marketing strategy kwa kukuza jina. Na inasaidia kupata feedback ya uigizaji wenu.

Ushauri tu

Anonymous said...

OMG! U Luk so sex! mwaaaaaa!wow! sishangai tena wanawake wanahonga wanaume magari nk! ningekuwa nazo nami ningekununulia japo jaguar ya 2010! ili nikuhodhi japo ucku mmoja tu! ukija pande za obama sema tuambulie japo picha na wewe