Angalia na toa maoni yako yenye lengo la kuboresha na kujenga katika website yangu mpya ya www.kanumba.comStar Times
Mercy Beauty Parlour
Jun 25, 2011
TEMBELEA WEBSITE YANGU MPYA ILIYOBORESHWA KIMATAIFA ZAIDI KUJUA MENGI KUHUSU MIMI WAPI NILIPOTOKA,NILIPO NA NINAPOTAKA KUFIKA,,,,,www.kanumba.com
Angalia na toa maoni yako yenye lengo la kuboresha na kujenga katika website yangu mpya ya www.kanumba.comRAMSEY NOUAH NA THE GREAT WALIPOVAMIA I-VIEW MEDIA KATIKA UPIGAJI PICHA WA COVER YA MOVIE
Jun 21, 2011
SURPRISE YA MARIAM HARTMAN AKITOKEA UK..
Leo asubuhi shemeji yetu,mke wa Hartman Mbilinyi tuliamua kumsurprise,wakati akitokea UK,basi mimi,swahiba,Steve nyerere na Chopa na baadhi ya watu wetu wa karibu tulifika nyumbani kwa Hartman na kuanza kuandaa wakati Hartman kaelekea airport kumpokea mkewe,surprise hii ilitawaliwa na vituko na vichekesho ni balaa lakini ilivutia sana...Karibu sana shemeji yetu Mariam Hartman(mama na London)
Steve nyerere na Chopa wakiandaa champagne kikomedy wakati Mariam yuko getini akiingia,The great nikishugulika na keki
kwa jinsi ilivyofunguliwa champagne hata wewe ungecheka lakini kikubwa bi Mariam yeye nusu kuzimia
Keki aliyoandaliwa MRS HARTMAN
Keki kwaajili ya watoto wake wawili Clinton na Hartman jr.
Hartman akicheza kwa furaha kuiona familia yake lakini pia wakati yuko airport hakujua maandalizi yaliyopo nyumbani kwake tuliyomuandalia rafiki zake
Nimekumiss sana mme wangu..ebu kuuula keki baaasii.....
Clinton Hartman akimlisha baba yake
Hartman jr akimlisha mama yake
Baba kwa mtoto sasa
hayahaya Steve nyerere
Haya swahiba huyooooo keki
Cheeers........

Haya swahiba huyooooo kekiJun 19, 2011
BAADA YA KUMALIZA KUSHOOT SCENE ZAKE RAMSEY NOUAH ALIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MOVIE HII(DEVIL KINGDOM)
Ramsey,Kanumba na Simbizo mbele ya wana habari
Wana habari wakiwa makini
Ramsey akijibu maswali ya waandishi na kusisitiza kuwa anataka kuifanya Africa kuwa na AFROWOOD,
Akielezea jinsi alivyoweza kuongea kiswahili katika movie hii.
Subscribe to:
Posts (Atom)