Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 19, 2011

BAADA YA KUMALIZA KUSHOOT SCENE ZAKE RAMSEY NOUAH ALIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA MOVIE HII(DEVIL KINGDOM)

Ramsey,Kanumba na Simbizo mbele ya wana habari

Wana habari wakiwa makini


Ramsey akijibu maswali ya waandishi na kusisitiza kuwa anataka kuifanya Africa kuwa na AFROWOOD,


Akielezea jinsi alivyoweza kuongea kiswahili katika movie hii.


Zamu yangu ilifika

Akielezea namna movie hii ilivyomvutia mpaka akaamua kuja kushoot maana takribani miezi 8 aligoma kushoot movie yoyote Nigeria na Africa kwa ujumla kutokana na hadithi zake kuwa zilezile tu hakuna jipya,hivyo akisifu upekee na ubunifu wa movie hii(Devil kingdom)


Tukimaliza


Tukishikana mikono kwa staili hiyo ishara ya muunganiko wa NOLLYWOOD na BONGO MOVIE,(NIGERIA na TANZANIA)


Tukiagana na wana habari kwa furaha..

3 comments:

Anonymous said...

its very nice i like it

meggie impostra

Anonymous said...

Mikono mfukoni vp mkuu? Maana naona wote mmeshirikiana kuweka mikono mifukoni. Au ndo wale waleeee.... Massons....? Just asking mkuu...

Anonymous said...

huyo nae haondoki??