Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 25, 2011

HAKIKISHA UNATIZAMA HII...NEW MOVIE...IKO SOKONI..

5 comments:

Anonymous said...

kanumba nakupenda japo hatujawahi kuonana lakini roho yangu imetokea kukupenda na sio kimapenzi wala ninikutokana na juhudi zako za kazi napenda kazi zako sana na mungu akutangulie kwakila ufanyalo na usikae mbali na wazazi wako kwani ndio baraka kwako uwajali kwa shida na raha ubarikiwe na kazi zako

Anonymous said...

mm hapo umeonekana bonge la handsome

Anonymous said...

Nimeangalia hii movie, a very good job. nimeamini sababu ya kuitwa The Great.

Anonymous said...

kanumba mimi napenda sana kazi zako napenda jinsi ulivyo inaonekaNA UNAHOFU YA muNGU PIA.HONGERA SANA .SAMAHANI KUNAGAZETI LIMEANDIKWA WEMA ALIKUOMBA MSAMAHA UKAKATAA KATA KATA NAKUSHAURI KAMA KWELI UMSAMEHE KWANI ATAKUWA AMEGUNDUA KOSA LAKE NDO MAANA ANATAPATAPA NA WANAUME MBALIMBALI HATULII KWA SABABU ANAONEKANA ALIKUKWAZA SANA WEWE MSAMEHE ILA KUHUSU MAPENZI NAYE NISINGEKUSHAURI AENDELEE NA HUYO DIAMOND JAPO NAYE HUYO DOGO NAMUONEA HURUMA ATAKUJA JUTIA ANYWAYS MUNGU AWATANGULIE

Anonymous said...

komaa kaka na sanaa ndo maisha yako na pia usisahau mafanikio upatayo pia utoe sadaka mana ndo utaziaishiwa kaka.be bleased