Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 21, 2011

SURPRISE YA MARIAM HARTMAN AKITOKEA UK..

Leo asubuhi shemeji yetu,mke wa Hartman Mbilinyi tuliamua kumsurprise,wakati akitokea UK,basi mimi,swahiba,Steve nyerere na Chopa na baadhi ya watu wetu wa karibu tulifika nyumbani kwa Hartman na kuanza kuandaa wakati Hartman kaelekea airport kumpokea mkewe,surprise hii ilitawaliwa na vituko na vichekesho ni balaa lakini ilivutia sana...Karibu sana shemeji yetu Mariam Hartman(mama na London) Steve nyerere na Chopa wakiandaa champagne kikomedy wakati Mariam yuko getini akiingia,The great nikishugulika na keki


kwa jinsi ilivyofunguliwa champagne hata wewe ungecheka lakini kikubwa bi Mariam yeye nusu kuzimia


Keki aliyoandaliwa MRS HARTMAN


Keki kwaajili ya watoto wake wawili Clinton na Hartman jr.


Hartman akicheza kwa furaha kuiona familia yake lakini pia wakati yuko airport hakujua maandalizi yaliyopo nyumbani kwake tuliyomuandalia rafiki zake


Nimekumiss sana mme wangu..ebu kuuula keki baaasii.....


Clinton Hartman akimlisha baba yake


Hartman jr akimlisha mama yake


Baba kwa mtoto sasa


hayahaya Steve nyerere


Haya swahiba huyooooo keki


Nikajisahau nikatafuna na kijiti jamani....


Guda boy nae alikuepo


Chozi la furaha likamtoka Hartman


Pole sana wife kwa safari ndefu,asante pia kuniletea wanangu niwaone


Clinton akionesha tuzo aliyopata UK kutokana na ufungaji bora wa mpira wa miguu katika timu yao under 18


Clinton Hartman Mbilinyi akitoa maelezo kwa English juu ya tuzo aliyopata


The great na MRS Hartman


Swahiba na Mariam


Ukikaa karibu na steve nyerere usipocheka basi utakuwa na matatizo


Vinywaji vikaanza....


Cheeers........

7 comments:

Anonymous said...

SAFI SANAAAAAAAAAAAAAAAA
LOVE U MA BABY SISTER. LOVE U ALL.
ENJOY YOUR HOLIDAY DEARS

Anonymous said...

ANAKUJA KUTAFUTA UKIMWI, HAKUNA LA MAANA ATAKALOPATA HAPO

Anonymous said...

kanumba tumeshakukataza kuvaa mashati ya kungaa, it is too much sasa. Lakini unapendeza mwaya ndo maana wema alisema bado anakumbuka mhogo wako. MHOGO WAKO MTAMU, NIKICHANGANYA NA KACHUMBARI

Anonymous said...

CENA
Safi sana maisha yanatakiwa yawe hivyo..Hartman umependeza umeonekana mume wa mariam original
usirudie tena ile dhambi ya makahaba ya mjini
Hongera mariam kwa watoto wazuri
Mungu awajalie muishi maisha ya furaha na amani.........Shetani awapite mbali
Zidisha maombi

Anonymous said...

nimependa hiyo .nice family

Anonymous said...

kwani ni nani huyo jamaa mbona mi sielewi??

Anonymous said...

Kwani UKIMWI ndo kufa au umemuambukiza wewe hebu acheni ushamba na mawzo mabovu. We mwenywe mzima. Hebu ishia huko