Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jun 17, 2011

ILIVYOKUWA KATIKA BIRTHDAY YA DADA YANGU LADY JAYDEE......HONGERAAA

Kata keki tulee


Anko Michuzi akila


Zamu ya Shaa


Husband wakeeeeeee


Keki ilikuwa hivi


Swahiba zanguuuuu

Steve Nyerere,Swahiba,The great na Hartman


Dada Asia Idarus nae alikuepo....


Msaidizi wangu(PA) Sethy akiwa bob Junior.

4 comments:

Anonymous said...

kaka naona umetuchoka sasa unatuwekea wabana pua kina bob junior weka watu wa ukweli,asante

Anonymous said...

haaha jmn nao si watu ila najua wewe na ray kweli mnapenda yani ulipo wewe yeye akosi na sijuiwanaowaalika wanajua nyie maswahibaa na lzm mtapiga picha ya pamoja thats gud mpendane bwana mfanye kz kwa bidii mlete mafanikio nchini.Nampa hongera sn Jay D

meggie impostra

Anonymous said...

WE MACHANGIAJI WA KWANZA TUNAKUSHANGAA KWANI WABANA PUA SI WATU HAPO WAMEALIKWA WATU BWANA ACHA MABIFU YASIO NA MANA AU DONGE HILO

Anonymous said...

mtaishia hivyo hivyo kuwachukia wezenu ndio mana ya hao wabana pua mambo yao safi nyinyi mtabaki na viroho vya korosho, mtakondo sana na mtaumia sana.