Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Aug 1, 2011

BONGO MOVIE CLUB NDANI YA MOSHI KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU.

Timu nzima ya BONGO MOVIE CLUB tupo mjini MOSHI katika maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru wetu yaliyodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro,na kupewa jina la JIVUNIE UTANZANIA. Bongo movie tukiwa katika basi letu kuelekea yaliko maandamano ua JIVUNIE UTANZANIA

Maandamanoni


Pikipiki zilitangulia namna hii
Umati wa watu ukiongozana na sisiSteve Nyerere na Maya
Baga na Masanja toka Bongo movie club nao walikuepo

3 comments:

Anonymous said...

Bro Kanumba mi ni mdau wa Moshi nilifurahi sana kuwaona tafadhali ninaomba picha zaidi.

Anonymous said...

i like your movies very much.i just want to say this to you and your friend.please your guys are going fat and fat why? i just advice you to please try and loose some weight.just like in your movie red valentine u had a good size.keep it up

Anonymous said...

hivi huko mnapokuwa na hutman kila cku mara maandano mara sijui nini, anti ezekiel huwa anajionaje? maana mnajua kabisa hutman alishamtema anti lakini kila cku na kila mahali mnae tena mpaka birthday yake sijui kaandaliwa namkewe kwani inahusu? kumbukeni wewe na ray mlikuwa mnapata hela na bia kupitia mgongo wa anti lakini sasa hivi mnajifanya full kumsifia mke wa hutman mara sijui shemeji wa ukweli kwani anti alikuwa wa uongo? au ndiyo biashara yenu ya kumchuna hutman imehamia kwa mkewe? acheni hizo mtaolewa.