Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Oct 2, 2011

THE GREAT AWA BALOZI WA STARTIMES...

Napenda kushukuru uongozi mzima wa STARTIMES kwa kunichagua kuwa balozi wao,nami naahidi kufanya kazi nanyi kwa umoja na ushirikiano. Mkurugenzi wa STARTIMES akifungua rasmi bahati na nasibu ya KULA TANO itayoendeshwa na STARTIMES kwa mwezi mmoja.


Kwa niaba ya waziri mkuu,mheshimiwa waziri E.Nchimbi alitoa hotuba


Bahati na nasibu ya KULA TANO ikizinduliwa rasmi


Mara baada ya kusaini mkataba The great nilishukuru kwa nafasi hii niliyopewa.


Nikipewa pongezi na mawaidha hapo kwa lugha ya Kichina lakini nikisaidiwa na huyo dada akitafsiri kwa kiingereza.


THT walikuepo kutoa burudani.


The great nikiwa na mzee wa masoko kutoka STARTIMES Mr.Davis


Aliyekuwa MC wa shughuli nzima na rafiki yangu wa siku nyingi Taji Liundi,The great na Davis.

8 comments:

Anonymous said...

hongera kaka kanumba kwakupata nafasi hiyo mungu azidi kukuwezesha usonge mbele zaidi roho yako nzuri ndio maana baraka zinamiminika kwako usiache kumshukuru mungu anayekuwezesha hayo yote hongera kwakuchaguliwa

mama 2 said...

Hongera bro! unazidi kuwa juu. Mungu aendelee kukuinunua hivyohivyo.

Anonymous said...

kila la kheri kaka kweli Mungu amtupi mja wake tangia upo kaole mpaka leo umepiga step sana,wewe ni mfano wa kuigwa ishi maisha km wewe utakavyo siyo watu wengine watakavyo,napenda sana muvie zako umepiga step lakini kuna baadhi ya wadada wanakuharibia kazi yako,ila hongera sana Mungu akuzidishie halafu usoni tafuta kitu cha kupaka ili chunusi ziishe i think unachopaka kinakuchubua
salma
dubai-uae

Anonymous said...

Duuuh Umekula pamba my role model..Bonge la suti...Mwambie Swaiba wako Ray aige suti hilo sio za mawingu za china.

Anonymous said...

Hongera Kanumba kwa kuchaguliwa kuwa Balozi wa STARTIMES inaonyesha jinsi gani unakubalika hivyo basi endelea kuwa kioo cha jamii,

mary

Anonymous said...

sasa umeanza kunifurahisha kimavazi,sio zile suti za kipaa,nice outfit kama Niger stars

Anonymous said...

hongera saana kanumba.Mungu nimwema saana na atazidi kukutendea makuu zaidi yahayo.nimefurahi saana .mimi mdau sweden

Anonymous said...

Du Kanumba leo umependeza sana, hiyo pamba uliyovaa imeenda shule