Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 22, 2012

THE GREAT NDANI YA MKASI WA SALAMA JABIR

Baada ya kuwa busy sana toka mwaka jana hatimae nikapata mda wa kurekodi kipindi cha mtangazaji wa EATV na rafiki yangu dada Salama Jabir.....picha hapo juu nikiingia ktk hiyo salon tayari kwa kuanza...
Picha kidogo za pamoja zinazoonesha upendo na umoja,kushoto ni Dida,Me na Salama.
The great nikiingia....
Huku nikisafishwa kucha huku mahojiano yakiendelea ambapo nilitoa ushirikiano wa dhati.
Le presedar Nyoshi El Sadaat sauti ya simba nae alikuepo kutoka FM ACADEMIA.
Hapo akiniambia kuwa nayeye anataka kucheza movie ya kihistoria nchini.
Swahiba na mzee wa njaa mwenzangu A.Y nae alikuepo
Kwa pamoja tukafanikisha kipindi cha MKASI ambacho kitarushwa soon kaeni mkao wa kutizama maana nina mda sana sijafanya interview kama hizi.

6 comments:

Anonymous said...

Iko poa, lakini picha ya kwanza pozi halieleweki kama demu.... ka vipi itoe

aminaclara kiparis said...

haya tunakisubir mwaya

Esther kanda ya ziwa said...

Big up broo.

Anonymous said...

Swali dogo Kanumba naomba unijibu tafadhali. Kwanini unavaa Rozari?

Anonymous said...

iko poa sana mazee,big up sana.

Anonymous said...

upuuzi mtupu.wauza sura na un educated bunch of people together.