Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 20, 2012

NANI ZAIDI KATI YA JENNIFER NA SOPHIA?JE UNATAKA WAKUTANE KTK KAZI MOJA?

WAWEZA TOA MAONI KWA HAWA WATOTO WAWILI SOPHIA AMBAYE NDIYE ANATAMBA SANA KTK MOVIE YA BIG DADDY NA JENNIFER KTK THIS IS IT NA UNCLE JJ,NANI UNADHANI NI ZAIDI YA MWENZAKE???(hakikisha umetazama movie zao zote yaani big daddy na uncle jj au this is it ndio utoe maoni yako)JE UTATAKA WAKUTANE KTK KAZI MOJA AU KILA MTOTO AENDELEE NA MOVIE KIVYAKE????karibuni....
SOPHIA KATIKA POZI a.k.a why..why...why????
SOPHIA akiwa na BIG DADDY/UNCLE JJ.
JENNIFER ktk pozi......
MOJA YA KAZI ALIZOFANYA JENNIFER ILIYOMPANDISHA.

24 comments:

Emmakulatha said...

Jennifer is a great child actress in Tz, and you caanot comapre her with Sophia. Jennifer did a great job in uncle JJ, she was brilliant! However, I think they can both be in one film. Looking foward to that one!keep it up bro Kanumba you are the best!

Anonymous said...

jennifer kiboko yako tena hawamfiki hata ukucha lol mrudishe to jennifer

Anonymous said...

Hongera sana Kanumba kwa kuibua vipaji vya watoto hawa, ukweli wote wamecheza, ila Jenipher amenigusa zaidi itakuwa ni vyema kama ukiwaweka katika movie moja ila wacheze katika muonekano mwingine coz kwa sasa tumeona wanacheza kama watoto jeuri na wakorofi hebu wecheze katika nafasi nyingine tuone kama kweli wanamudu nafasi tofauti

Anonymous said...

wakutanishe wote kwenye movie moja.

Anonymous said...

jenifa yuko juuu

Milka Richard said...

Wote wazur Kanumba,Ila Jenifa kiboko.lakin big dady mmekamua mbaya.ckujua kama ben ni mwimbaji mzur wa zilipendwa.mpe hongera zake

Anonymous said...

wote wazuri Joy anajitahidi pamoja na umri wake mdogo ila Jennef kiboko wakicheza pamoja itakuwa kuwa poa sana

neema pauline said...

jenifa zaidi ya mwigizaji...tupe kitu na jenifa diz yr.

Anonymous said...

WOTE WAZURI, SOPHY ANAFANYA VIZURI ILA JENNIFER KIBOKO YAO

Anonymous said...

wOTE WAZURI SO WAWEKE PAMOJA TU JENIFA ANAWEZA KUMUDU COZ NI MKUBWA KWA SOPHIA ILA WOTE WANA VIPAJI SO WACHEZE FILAMU PAMOJA.

HALIMA.

Anonymous said...

SOPHER IS THE BEST, UJUE NN SOPHIA BADO NI MDOGO SANA KULIKO JENNIFER LKN SOPHIA KAONYESHA KIPAJI ZAID KI UKWELI SOPHIA YUKO JUU WW ASIKWAMBIE MTU

Anonymous said...

Jeniffer Mkali zaidi, itakuwa pouwa tukipata kitu cha pamoja lakini waigize tabia tofauti.

aminaclara kiparis said...

kiukwel jenny mkali,wacheze muvi ya pamoja katika mwonekano mwengine ili tufaidi zaid eti eeh

Mrs.Pipiro said...

I LOVE SOPHIA KWA KWELI...KALINIFURAHISHA NA ANAVYOONGEA MI MBAVU HUWA ZINANIUMA KILA NIKITIZAMA BIG DADDY!! HASA AKIITA SELENGOOOO!!! HAHAHA

M, Bitebo said...

kiukweli Jennifer mkali,anajua sana yule mtoto mm binafsi huwa namzimia sana.sophia hawezi kumpata jennifer.itapendeza wafanye kazi pamoja ili tupate raha ya mwaka.hongera kaka kwa kuinua vipanji vya ukweli.

Anonymous said...

jeniph hana mpinzani kaka!

Anonymous said...

jeniee juuuuuuuuuuuu!

Anonymous said...

Jennifer mkaliiiiiiiiii, but waunganishe wafanye kazi pamoja

Anonymous said...

Jeniffer yupo juu kuliko Sophia

Anonymous said...

naomba nikuulize swali kanumba watu wanabisha kabisa eti sophia ali drive mwenyewe au ilikuwa vipi?

Anonymous said...

I LYK SOPHIA KWAKWELI she is good n yuko juu .. ila big dady is the best yaani nafurahi sana nikiitazama. BEN MKALI PIA NAMKUBALI....

Esther kanda ya ziwa. said...

Jennifer ni zaidi mara 3 ya Sophia nadhani pia sophia bado mdogo na hata anavyoongea bado.

niwael said...

jennifer mkali ila wakikutana ndo tutajua zaidi nani kamfunika mwanzake ila sophia anajitahidi ukizingatia bado ni mdogo...

Anonymous said...

ebana sophia ametisha kwenye mpvie ya big daddy bu jennifer ni mkali