Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 23, 2012

ZIFF AWARDS NA RED CARPET YAKE ILIVYOFANA MAISHA CLUB.....

The great mara tu baada ya kuingia club Maisha na kupita red carpet interview mbalimbali zilianza kama unavyoona hapo.Hongera sana waandaaji wa tuzo hizi ZIFF.Hongera Mr,Danny.Kauli mbiu ya tuzo hizi na red carpet ilikuwa kuhimiza jamii kununua kazi ORIGINAL za movie hapa nyumbani na si FEKI,lakini pia kuhimiza uzalendo wa dhati kabisa katika sanaa ya nyumbani hususani filamu,
Odama na Maya nao walikuepo hapa maisha club.
Movie stars mbalimbali waliitumia siku hii kama siku yetu maalumu.
JB akihojiwa hapo ktk red carpet.,Pia akilia sana na bodi ya filamu juu ya mambo wanayotaka yafanyike ktk tasnia.
Irene Uwoya,msanii na Mzee Magali walikuepo
Richie Richie,Monalisa na Mama Natasha walikuepo.....
Hapo nikitoa maoni yangu juu ya sheria mpya zilizotolewa na Bodi ya filamu nchini ambapo karibia wasanii wote nchini wamezipinga na kuzikataa maana zinaua tasnia hii ambayo tumepata shida sana kuifikisha hapa ilipo,Leo watu wachache tu bila kufanya uchunguzi wa kina wanaweka vitu ambavyo ni ndoto kwa wasanii sie tunaoibiwa kazi zetu na tusio na soko maalumu kuzitimiza
Interview ikiendelea hapo.......
Tino,Dinno,Mzee Chilo,Baby Madaha walikuepo...
Irene Uwoya katika interview lakini pia nae hapo akishangaa hizi sheria za bodi ya filamu,,,,
Pilipili Entertainment nao walikuepo...
Big boss Mr.Dilesh wa Steps entertainment akiteta jambo na Richie Richie...
Edwin Kileo mzee wa Subtitle alitaka kuhakikisha kiatu changu kama kweli ni CL toka Paris-Ufaransa nami nikamhakikishia...ahhahah Wazee wa pamba mnajua hii manenoooo,,,,?????
Furahia Swahili movie na nunua kazi original na si feki na kuwa mzalendo wa kazi za nyumbani kumbuka mcheza kwao hutunzwa na mkataa kwao mtumwa.

7 comments:

Anonymous said...

keep it up mr kanumba

Anonymous said...

kaka cl nimeikubali badili muonekano na vitisheti vya kubaba naona km UNAPENDEZA ZAIDI NA MASHATI YANAKUTOA SN KULIKO VITISHETI/ FLANA

Anonymous said...

kaka cl nimeikubali badili muonekano na vitisheti vya kubaba naona km UNAPENDEZA ZAIDI NA MASHATI YANAKUTOA SN KULIKO VITISHETI/ FLANA

Dorry said...

hongera sana Kanumba, me huwa napenda saaaaaaaaaaaaaana kazi zako aisee, una kamsemo kako kwamba "nyie wanawake wazuri mna shida nyie" hahahahah

Milka Richard said...

Cl noma kaka,Kimbiza haooooooooooo!watanunaje wacopenda maendeleo yako?We piga kaz na kamwe ucsahau kumshukuru Mungu kwa kila jambo jema analokutendea.
Milcah

Harriet. Sammy said...

asikwambie mtu unapendeza sana na vitishert vya kubana maana mwanaume mkono bana afu kaza buti kwenye mazoezi una pendeza ile mbaya

Harriet. Sammy said...

unapendeza sana ukivaa vitishert vya kubana best maana mwanaume mkono bwana komaa ivyo iyvo na mazoezi