Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Jan 8, 2012

HAPPY BIRTHDAY THE GREAT


NAITWA STEVEN KANUMBA a.k.a THE GREAT.LEO TAREHE 8 JANUARY 2012 NIMETIMIZA MIAKA 28,Happy birthday kwangu jamaniiiii.....46 comments:

Anonymous said...

happy birthday

Anonymous said...

Happy Birthday Kanumba. Una share birthday na mama yangu. God bless you and may you continue to shine. Keep your head up high and let nothing stop you cause you are doing great work. Happy Birthday to our one and only star.

Anonymous said...

Happy Birthday The Great.
Mungu akuzidishie miaka mingi zaidi.
Janeth from Morogoro

Anonymous said...

happy b.day kanumba

Anonymous said...

HAPPY birthday bab boy mungu akulinde na maadui

Milka Richard said...

Happy birthday The Great!As God add life 2 ur yrs,may he add yrs 2 ur life,bless u and keep u always in hir tender loving care.
Milcah

Anonymous said...

Hello
Happy Birthday May you have more birthday to come, Mungu azidi kukupa kheri na baraka.
Lakini Hongera sana pia mkuu nilikuwa napitia taarifa mbalimbali za huko nyumbani TZ nikafurahi kusikia unakwenda BBA kama mwakilishi wa wasanii maarufu toka Tanzania, nimefurahi sana kwani waliofanya uchaguzi huo hawajakosea hata kidogo una kila sababu bwana Kanumba nimefurahi kwa kuwa ni nafasi nyingine itakayo onyesha kwamba haufanyi kazi kwa kubahatisha. Nakutakia Kila kheri.
Mike, Germany

Anonymous said...

Hello
Happy Birthday May you have more birthday to come, Mungu azidi kukupa kheri na baraka.
Lakini Hongera sana pia mkuu nilikuwa napitia taarifa mbalimbali za huko nyumbani TZ nikafurahi kusikia unakwenda BBA kama mwakilishi wa wasanii maarufu toka Tanzania, nimefurahi sana kwani waliofanya uchaguzi huo hawajakosea hata kidogo una kila sababu bwana Kanumba nimefurahi kwa kuwa ni nafasi nyingine itakayo onyesha kwamba haufanyi kazi kwa kubahatisha. Nakutakia Kila kheri.
Mike, Germany

Anonymous said...

Happy Birthday Steven.. May God bless u and always be with you. Always be a good man you are..

Vanessa-Dar

Anonymous said...

Happy birthday kaka angu, mungu azidi kukupa umri mrefu na akujalie kila la kheri katika shughuli zako na kazi zako nzuri hakika tunakupenda saaana, fans wako wa Norway, Oslo.

Anonymous said...

Happy birthday Mr. The Great!!!!Have a blast!!!!Maryam,Germany.

Anonymous said...

happy birthday to u mr Kanumba.Mungu akubariki akuongoze nakukulinda milele yoote.bwana yesu angalia kijana huyu anavyojibidiisha ktk maisha yake ,angalia livyomwema kwa wenzake na mtaratiibu,bwana yesu naomba umkumbatie ,umshike mkono bwana asipotee,asikate tamaa yakujibidisha,tazama wanadamu wanavyomshikia bango kila kikuchi wasioona mema yake kutwa kumlaumu wapemoyo wakuona anapotenda mema,wakemee wanamrudisha nyuma,uilinde na familia yake bwana yesu ,na pia umuonyeshe mke mwema asie na tamaa na asimpendee pesa zake ,nafunika mali zake kwa damu yako Yesu kristo naomba nakusema ameen.ur my rollemodel Kanumba.nimimi dadako sweden,always.pray 4 u mdgo wangu kanumba.

Anold Aligawesa from mbz bch said...

Agararai!, hnngera my best actr kwa nchi ktka sekta zote!

Anold Aligawesa from mbz bch said...

Agararai!, hnngera my best actr kwa nchi ktka sekta zote!

Anonymous said...

happy birthday kanumba,from twanga pepeta

Anonymous said...

Happy birthday Mr Kanumba...Mungu akupe maisha marefu yenye kila aina ya upendo,afya,maendeleo na amani! From Twaleb in Denmark..

Anonymous said...

happy birthday!

Anonymous said...

happy bday!

Happy Ole Ngambi said...

Kuwa na maisha Marefu.Mungu azidi kukuinua toka chini kwenda juu be blessed.

Albert said...

Happy birthday Bro...
Mungu akuongezee maisha, na kipaji chako kizidi kupanda juu zaidi.
Tuko nyuma yako, hatutakuangusha!
From Albert

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY KANUMBA,MAY GOD ADD U MORE YEARS, MAY YOU CONTINUE GROWING HEALTHIER AND SUCCESSFULL IN UR LIFE..ME LOVE U SANA

Anonymous said...

Happy Birthday the great, nyie watu mliozaliwa January ni vichwa mbaya

Anonymous said...

happy b.day bro have long lyf itz yo fun florence mkinga

Anonymous said...

happy b.day with long lyf we ol wish u ol de best by florence mkinga

mbawalla said...

HAPPY BDAY COMRED
MUNGU AKUPE MAISHA MEMA NA HERI DUNIANI
MUNGU AFUNGUE KILA NJIA YA MAFANIKIO KATIKA MAISHA YAKO
MUNGU AKUPE UTULIVU WA MWILI HATA WA ROHO
MUNGU AKUPE HOFUYAKE UTENDE KILA JAMBO KWA KULITUKUZA NA KULISIFU JINALAKE
MUNGU ASIKUPUNGUKIE KATIKA MAAMUZI YAKO
UWE NA MIAKA MINGI ZAIDI YA AMANI FURAHA UPENDO NA MAFANIKIO

daizy said...

happy birthday my brother!!!

Anonymous said...

Happy Birthday SK

Anonymous said...

MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU KANUMBA

MUCHURUZA FAMILY said...

happy birthday kaka kila wakati unatuwekea picha za birthday za wengine naomba uweke na zako
says Musa Mdogo Mikocheni B

MUCHURUZA FAMILY said...

happy birthday kaka kila mara unaweka picha za wengine naomba uweke za bday yako plz
Musa mdogo Mikocheni B

william nyangi said...

happy birthday le president

Anonymous said...

Kanumba hongera kwa kutimiza miaka hiyooooo......... Mtangulize Mungu kwa kila jambo unalofikiria kufanya ndani ya dunia hii, pia nakupongeza kwa kazi nzuri ulifanya ndani ya mwaka 2011, bila shaka tunasubiria mengi na mazuri ndani ya mwaka 2012

Anonymous said...

HAPPY BIRTHDAY

Anonymous said...

kobyala mayo kubyla shawiza Mulungu akwambeleje!

tifa said...

Happy birthday KANUMBA mdogo wangu.Mungu akubariki zaidi,....

Anonymous said...

hongera kwa kuifikisha miaka hiyo uliyoisema. Lakini ukifikisha miaka 40 utagundua kuwa ulitakiwa kuoa ukiwa na miaka 20 sasa basi oa kipindi hiki ili watoto wako wamalize chuo kikuu ukiwa na nguvu. Vinginevyo watamaliza wewe ukiwa umechoka Tafakari.....Kizito!!!

Anonymous said...

Happy Birthday The Greatest,nakuombea maisha malefu yenye neema na rehema tele toka kwa Mungu.

jane bomba

Anonymous said...

Happy birthday Kanumba, kumbe unashare birthday na dada yangu Farida na Ben Kinyaiya pia.. hongereni wote kwa kuzaliwa!!

Anonymous said...

happy birthday kanumba mi jacque wa shy town

latifa said...

Hongera sana na mungu akujaalie afya njema

Anonymous said...

ila umezeeka,umri tofauti na wewe kabisa

Anonymous said...

acha kutuongopea mtu wa miaka 28 SIO WWE KAKA jitahidi.UMESHAPUNGUZA MINGAPI,,?

MAWAZOPEVU said...

all the best

MAWAZOPEVU said...

all the best kanumba

alice said...

all the best Kanumba

Anonymous said...

love you saana jamani ww kaka du!!!kila nikija tanzania kutembea natamani twende dinner lakini naogopa kukwambia..its just a dinner..ok all the best in your successfully.
Bye mdau USA.