

MUNGU AKUBARIKI NA KUKUZIDISHIA MAISHA MAREFU YENYE BARAKA NA AMANI DADA YANGU KTK SIKU YAKO HII NZURI YA KUZALIWA...Salamu kwa Sharifa(Uncle)
Mara baada ya kutoka kanisani niliandaa chakula nyumbani kwangu,nikachoma nyama ya mbuzi na kuku,nikaandaa vinywaji,basi nikawaarika ndugu na jamaa wachache tu waje nyumbani tufurahi xmass hii.Kila mtu nilihakikisha anapata kinywaji anachopenda hata wanywaji wa pombe nao walipata wanachokipenda.Maandiko yanasema tazama ilivyo vyema kwa ndugu kukaa pamoja na kufurahi.
Sebuleni kwangu ndio kulikuwa counter...ahhahah
Walikuepo wazee wa konyagi,wazee wa nyama choma ahahahh
Story za hapa na pale zilikuepo.
Kubadilishana mawazo.
The great na bbm?kha?
Watu wakafurahi nami nikafurahi maana nimekuwa busy sana mara shooting,mara safari nje ya nchi,mara safari za Startimes,mara safari za Oxfam,mara busy ofisini nakosa mda wa kujumuika hivi nyumbani,hivyo x mass hii nikaimaliza hivi.Zaidi ya yote sifa na utukufu nikamrudishia GEHOVA EBENEZER,GEHOVA ELISHADAI,GEHOVA SHAMA.......EMMANUEL(Mungu pamoja nasi)
P.SQUARE WALIKUEPO.
MR&MRS CHINEDU IKEDIEZE
Naapa nitakupenda na kukulinda katika shida na raha......
Wazazi wa Chinedu(AKI)
Ilibidi Bi.harusi ake ili aweze kukumbatiwa vizuri
Osita Iheme(UKWA) na P.square walijumuika pamoja kupata picha
Mizikiiiiiiiiiii mizikiiiiiii....
Maswaiba.
Chinedu akiondoka na kifaa chake toka kanisani.
Wazazi wa Bi.harusi kanisani.
Naapa nitakupenda na kukuheshimu mume wangu Chinedu.........
Waohhh......
Gari waliloondoka nao..
NO BIFU NI UPENDO TU
WEMA NA UWOYA
UWOYA NA MAYA
UWOYA NA UWEZO
UWOYA NA SALAMA JABIR
UWOYA NA CHOPA
NO BIFU TENA NI UPENDO TU,WEMA,IRENE NA WOLPER
DOTNATA AKITOA MAWAIDHA KWA UWOYA
MAGE NA IVON
IRENE NA SWAIBA WANGU NA MSANII WANGU PATCHO MWAMBA a.k.a MWAMBA WA LUKUSA WA KASAI a.k,a DIABOLOS.,a.k.a VYOVYOTE VILE.