Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 29, 2011

TAFADHALI SIPENDI NA SIHUSIKI NA HABARI HIZI.


67 comments:

Anonymous said...

Innalillah wa inna illah irajiun! Ashindwe huyo anayetaka kukutia nuksi kaka yangu mpendwa, kama anataka umaarufu akapande kwenye nyaya za umeme.

Anonymous said...

Waandishi wa habari haawana dogo

Anonymous said...

Kanumba kaka yangu mimi ni shabiki wako mkubwa sana. Nashukuru upo karibu na muumba wako unajua shetani yupo kazini na moja ya sababu za kuandika hilo gazeti ni kukutia wewe mtegoni na kusifia kwamba mnaendana hizo ni hila za shetani. Yani niliposoma hizo habari nilijisikia vibaya sana nikasema huyu Kanumba jana amesema nini na leo anafanya nini. Sikia kaka yangu usikubali kurudi Misri endelea na safari yako ya kwenda Kanaani. Tulia utapata mke bora mcha Mungu na anyejua anataka nini kwenye maisha yake na atakayelea watoto kwa njia impendezayo Mungu.

Anonymous said...

kwa kweli kwa hadhi yako hufai kuwa na mambo ya kijinga kama hayo. Fanya kazi kwa bidii sisi mafans wako tunapenda kuona ukijiheshimu na kutunza thamani ya ustaa wako hao wanaojiita masupastaa wa kike achana nao kabisaaaaa watakupotezea diraaaa hao. Cha msingi kama vipi bora uoe tu

big up kwa kazi zako nzuri

Rachel

Anonymous said...

Pole kaka....du lakini ushazoea wapotezee tu yatapita.

Anonymous said...

kweli kaka kama vip peleka watu mahakamani bwana wanakuchafulia jina, afu bro mbona watu wa moro mmewasahau sana kuhusu star times mzee manake wao wanaangalia tv moja tu ya abood so kule nadhan mkifungua kuna soko nako coz watu kibaao wanaipenda star time ila hawaipati jembe langu, am waitin ya new film ya BIG DADY WOOOOOOOOOW!!!

Anonymous said...

fanya mahamuz kwani ni watu kidogo sana wanaotembelea blogger yako bro

Anonymous said...

jaman kwanza mchangiaji wa Moro big dady ishatoka mbona..iko pouwa sn yan utaenjoy vituko vya dady na wanawe hasa SOFIA ha ha hahah ....anyways nataka kukoment kuhusu gazet la leo la AMANI kuwa kanumba anataka rudiana na wema..honestly speaking nilihic kichefuchefu kabsaaaaaaaaaaaaa.....am happy kwa uamuz uliouchukua coz hata usingereact nilipanga kukuchek kwenye blog yako nikushushue...wema is not of your type,your class na kila kitu achana kabisa na ushawish wa magazetini, u know what u need in ur life...endelea kujiheshim coz mahusiano na hao wanaojiita masupastar yatakupotezea dira kabisa kanumba tulia na uombe Mungu THE RIGHT PERSON IS SOMEWHERE WAITING FOR YOU...I wish u could know that....stay blessed and endelea kuwa na hofu ya mungu..me love u sana

Anonymous said...

Kweli kaka, Mimi pia ni shabiki wako nambari za juu. Naomba mtuletee Star Times Morogoro kwani tunateseka mnooooooooooooooooooooooooooo

Anonymous said...

Kweli kaka, Mimi pia ni shabiki wako nambari za juu. Naomba mtuletee Star Times Morogoro kwani tunateseka mnooooooooooooooooooooooooooo

Anonymous said...

Usikubali kurudiana na wema, utajichafua kabisa. Hafaiiiiiiii kuwa na wewe mtu wa heshima.

Anonymous said...

Magazeti ya udaku yamegundua hayauziki bila kuweka habari za mastar kama wewe hata kama ni za uongo. So, cool down bro, wote tunajua ni kitu kisichowezekana wewe kurudiana na kicheche Wema.

Anonymous said...

Pole sana mana kusemaa ukweli mnaendana na wema endapo angetulia toka pindi mngeachana hata nami ningesema unaweza rudisha penzi kwake ila yeye alikuwa kiruka njia na kwasasa kaka yangu maradhi mengi hasa ya UKIMWI ni bora ukae utampata tu mke bora tena mcha Mungu!Tunza heshima uliyo nayo sasa!mwenyewe alishindwa ndo mana anatapatapa hasa wasichana masuper staa wanajidanganya hasa na huo umaaruf jamani nawaasa kuna UKIMWI JAMANI ANGALIENI SANA!MUNGU ATKUPATIA TU MKE MWEMA!PIA KUNA MASUPER STAA NAO WAANGALIE WANA NDOA ZAO ILA HAWATULII KABISA ILA WAJUE MWANAMKE MWENYE NDOA YAKE ANA HESHIMA YAKE!PIA USICHANA UNA MWISHO WAKE!MUNGU AKUSIMAMIE SANA NA PIA ENDELEA SANA KUMWOMBA MUNGU UNAWEZA MPATA HATA KTK HIZO KAMPUNI UNAZOINGIA NAO MKATABA AU HATA KANISANI UNAKOENDA!

Anonymous said...

hivi na huyu WEMA kila gazeti la GLOBAL yeye au wanamlipa coz too much KILA LEO WEMA WEMAA WEMAAA WEMAAAAAAAA, tumechoka, kanumba wapotezee hawa WEMA na GROBAL wanajuanafesto

Anonymous said...

Kwani mkirudiana kuna ubaya gani, we na Wema mliendana sana na magazeti ndio yanamchafua Wema aonekane mbaya..mimi ninamfahamu Wema sivyo kama wanavyosema nimegundua magazeti ya udaku hawawezi kupata pesa bila kutafuta habari yoyote iwe nnzuri au mbaya kuhusu Wema so akiwekwa na mtu mwingine naye aonekane mbaya...tatizo ni magazeti ya Bongo, mkiwapa nafasi hata kidogo wanaitumia kuharibu...nakupa big up sana.

Asumptha, USA

Milka Richard said...

Ahsante sna Kanumba kwa kukanusha habar hizo.Binafs nimefarijika sna,coz nilipozisoma niliumia sna.NA KAMWE UCGEUKE NYUMA ,SONGA MBELE BABA.HAKIKA MKE MWEMA HUTOKA KWA MUNGU,NA WAKAT UKIFIKA ANAOTAKA YY ATAKUPATIA ALIE MWEMA,ACEENDEKEZA STAREHE,WALA KUJAL USTAA ULIONAO WALA FEDHA ZAKO,MWENYE UPENDO WA KWEL,ALIELELEWA KTK MAADILI MEMA NA YA KUMCHA MUNGU,TUKO PAMOJA 2NAKUOMBEA.Na wala co huyo kicheche anaetaka kukualibia CV yako.KAMWE UCRUDIE MATAPISHI KANUMBA!

Milka Richard said...

Ahsante sna Kanumba kwa kukanusha habar hizo.Binafs nimefarijika sna,coz nilipozisoma niliumia sna.NA KAMWE UCGEUKE NYUMA ,SONGA MBELE BABA.HAKIKA MKE MWEMA HUTOKA KWA MUNGU,NA WAKAT UKIFIKA ANAOTAKA YY ATAKUPATIA ALIE MWEMA,ACEENDEKEZA STAREHE,WALA KUJAL USTAA ULIONAO WALA FEDHA ZAKO,MWENYE UPENDO WA KWEL,ALIELELEWA KTK MAADILI MEMA NA YA KUMCHA MUNGU,TUKO PAMOJA 2NAKUOMBEA.Na wala co huyo kicheche anaetaka kukualibia CV yako.KAMWE UCRUDIE MATAPISHI KANUMBA!

Anonymous said...

Big bro. nakuzimia sana natumai hata watanzania wenye nia njema. pull ur socks. please natamani kuwasiliana nawe.

Anonymous said...

Acheni uwongo wenu na unafiki hapa lipi la ajabu kwa Kanumba kurudiana na Wema? Mbona wanaume aliotembea nao Wema wanahesabika na tena ni mwanamke aliye muwazi lakini mkute wanawake wenu wana idadi kubwa ya wanaume waliotembea nao kwa sababu tu mambo yao ni ya kisirisiri. Na ukute nyie wenyewe mmetembea na idadi kubwa ya wanawake kuliko hiyo idadi ya wanaume aliotembea nao Wema. Tena mbaya zaidi kuna wanawake ambao wako kwenye mahusiano lakini nje wana mabwana wengine wawili au watatu na wote yuko nao kwa wakati mmoja. Uzuri wa Wema yeye akiwa na mtu mmoja basi ni huyo huyo na dunia nzima itajua kulikoni hao wanaojifanya watakatifu kumbe wana watu kibao pembeni.

Na wewe Kanumba tusema tangu ulivyoachana na Wema hujatembea na wanawake wengine umekuwa mseja au mtawa? Acheni unafiki bwana, sema tu kuwa habari hizi sio za kweli lakini sio kumpaka mtoto wa watu as if nyie ni watakatifu. Na
si haki hata kidogo ulichokifanya wewe Kanumb,aasiye na dhambi ndiye amnyooshee kidole Wema. Wewe na fans wako mnamhukumu Wema as if nyie tangu muumbwe hamjafanya ngono nje ya ndoa au mmefanya kimakosa na mtu mmoja tu. He

Hebu jitazame ndani ya nafsi yako wewe Kanumba, deep down ni msafi kweli? Hivi ndivyo mungu anavyotaka uwahukumu wengine as if wewe ni msafi? Una haki ya wewe na fans wako kumhukumu hivyo binadamu mwingine? Je kwa mfano kama yeye Wema ametubu makosa yake kwa Mungu wake akamrudia mungu wake?

Sijayasema haya kwa ajili ya kutaka wewe na Wema mrudiane kwani mlikuwa kwenye ndoa? Si mlikuwa mkitenda tu dhambi kama wengine! Ila nimeyasema haya kukuonyesha kuwa hata wewe si mtakatifu kufikia kuweka haya kwenye blogu yako, sana sana ungeweka comments zile tu ambazo zinawaponda Global Publisher kwa kutoa hizi habari lakini sio comments za kumtukana au kumkashifu Wema kwani tabia yake haina tofauti na tabia za majority ya Watanzania tena bora yeye ana nafuu watu wake wanajulikana kulikoni hao fans wako wanaomkashifu na kumtukana mtoto wa watu kupitia kwako. Wema doesnt deserve a man like you. Iko siku atampata mwanaume atakayempenda kiukweli na ambaye atakuwa yuko tayari kumlinda kwa lolote.

Wema kama utapitia humu na kusoma hili Kanumba is not your type neither your class, kwanza ni classless because a man with class hawezi kufanya haya kwa EX wake kwani a man with class will always cherish the moment you were together na mara zote atakuwish happyness in your life, hatakaa afurahie your misery na atakuwa wakwanza kukucomfort ukiwa unhappy (sio kulala na wewe) na kukufariji na hata kukusupport unapoingia kwenye relationship nyingine, thats class lakini sio huyu anayetafuta kila sababu ya kukuumiza because he is not over you yet!!!

Anonymous said...

magazeti ndo wanawachafua but mnapendezeana sana, hakuna mkamilifu jamen...

Anonymous said...

Anony December 29, 2011 9:39 PM Ubarikiwe sana kwa kuchukua muda wako Mzuri na kumueleza Kanumba.Kanumba kumbuka hatujafa hatujaumbia na Mtu mwenyewe Busara hawezi kufanya kama ulivyofanya.Uwe unatenga Muda kidogo kufikiria kabla haujatenda.

Anonymous said...

Wewe anonymous wa mwisho hapo. Hakuna mtu amemponda wema hapo sisi tulichopinga ni wao kurudiana kwa sababu walishidwana zamani na Wema ndo alimuacha Kanumba, sasa hivi amrudie wa nini? Kanumba anatakiwa mtu ambaye siyo staa anayeishi maisha ya kawaidia ndo watawezana lakini maisha ya ustaa hawatawezana. Hakuna aliyemtakatifu na wala hatumtetei Kanumba lakini unapoweza kukwepa tatizo unakwepa tu. Halafu bado una mambo ya kizamani eti classless, mapenzi na elimu ni vitu viwili tofauti wasomi wangapi ndoa zimewashinda kutwa kwenye laptop na BBM na kukwangua kucha, hawajui hata kufua nguo zao za ndani, mwanamke hajui kupika wala kusafisha nyumba utasema umeoa.Hajamnyooshea kidole amekanusha tu angekaa kimya angewapa nafasi ya kuendelea kusema mambo ya uongo.

Anonymous said...

Mdau uliyeandika comment refu nimekupenda sana ingawa nilitaka kuacha kuisoma, lakini nilivyoendelea umeongea cha maana sana kanumba ulikuwa na nargis, yule miss ilala sijui anaitwa nani hadi ukamuachia gari baadaye ukamnyang'anya, na wengine wengi tu mbona hilo wachangiaji hamlisemi mnamuona wema ndiye mkosaji kanumba msafi sina maana mrudiane kwani alikuwa mkeo nyie wote wazinzi tu, ila si vyema kummnyoshea wenzio kidole wakati vidole vingine vyakuangalia wewe. Kanumba tatizo lako mbinafsi usipo badilika kila mwanamke utakae kuwa na utamwona hafai nakumbuka ulishawahi kushauriwa na baadhi ya watu ubadilike na uache kujiona wewe bora kuliko wengine, mungu hapendi hizo tabia

Anonymous said...

Nimependa hiyo, wabongo kwa unafki wamezidi

Anonymous said...

uuuuuuuh" mdau hapo juu Kanumba kasema hapendi na hahusiki na habari kwenye hilo gazeti la udaku mana asijeonekana ye ndo source wa story" naona umekurupuka kuandika barua ndeeeeeeeeeeefu kumponda Kanumba, ukweli utabaki palepale kuwa jamii haipendi na inamdharau Wema kwa kuwa kiruka njia>take it or leave but that's the fact

Anonymous said...

i hate that whore"

Anonymous said...

i hate that whore"

Anonymous said...

mbona ulieandika coment yako hapo juu una jazba hivyoo!kwani Kanumba anmesena kitu gani kibaya kwa wema kwenye post yake zaidi ya kukanusha kilichoandikwa gazetini? we naona umeoverlook kanumba's post.ongea yote but Kanumba is the greeeeeeeeet ever!

Anonymous said...

Kwa mtazamo wangu kwa wema kama angekuwa ndugu yangu ningemwambia achana na mawazo ya kumfikiria kanumba hakufai mnafiki nacheka cheka kama juha ili aonekane mtu safi lakini rohoni kwake kuna kitu kimejificha si mkweli hata kidogo labda kwa wasio mjua ndiyo wanamuona mtu safi sisi tuliefanya nae kazi tunamjua vizuri

Anonymous said...

we hapo juu mbona umeongea kwa jazba hivyoo! mi naona umeoverlook kanumba's post! coz hakuna alipoandika kitu kibaya bot wema, ye amekanusha tuu whts has written in in the news paper. All in all hata ukimpaka tope KANUMBA is like the sky which has no limit.

Anonymous said...

we hapo juu mbona umeongea kwa jazba hivyoo! mi naona umeoverlook kanumba's post! coz hakuna alipoandika kitu kibaya bot wema, ye amekanusha tuu whts has written in in the news paper. All in all hata ukimpaka tope KANUMBA is like the sky which has no limit.

Anonymous said...

we hapo juu mbona umeongea kwa jazba hivyoo! mi naona umeoverlook kanumba's post! coz hakuna alipoandika kitu kibaya bot wema, ye amekanusha tuu whts has written in in the news paper. All in all hata ukimpaka tope KANUMBA is like the sky which has no limit.

Anonymous said...

we hapo juu mbona umeongea kwa jazba hivyoo! mi naona umeoverlook kanumba's post! coz hakuna alipoandika kitu kibaya bot wema, ye amekanusha tuu whts has written in in the news paper. All in all hata ukimpaka tope KANUMBA is like the sky which has no limit.

Anonymous said...

we hapo juu mbona umeongea kwa jazba hivyoo! mi naona umeoverlook kanumba's post! coz hakuna alipoandika kitu kibaya bot wema, ye amekanusha tuu whts has written in in the news paper. All in all hata ukimpaka tope KANUMBA is like the sky which has no limit.

Anonymous said...

Kinacho mponza wema ni kuwa muwazi jambo ambalo watu wengi hawana, humu ndani kuna watu hadi wanafikia hatua ya kuoa au kuolewa wameshatembea na wanawake zaidi ya kumi au wanaume zaidi ya 20 lakini hawaonekani kama malaya wema mwenye wanaume wanaohesabika ndiyo malaya wakati wanawake wengine wanawanaume ukiwapanga mstali wanafika chalinze mwacheni mtoto wa watu,

Anonymous said...

Kaka Kanumba, Wema hakufai tafuta binti aliyetulia than her.

Anonymous said...

kanumba wema sio muhuni kama wanavyo msemea kwenye magazeti but mwazi, waangarie sana hao wanaojifanya watakatifu na vichwa chini anyway wewe ndo muamuzi wa mwisho
kindly mnaendana sana huyo dada ni mrembo jamani atapendezea sana kua mkeo just look at ur self kwenye hiyo pc watoto watakuwa wazuri sanaaaaaaaaaaaaaa!

Frida wa Mbezi Beach said...

Mdogo wangu Kanumba, Wewe kwa sasa hivi sio mtu wa kawaida kama watu wanavyofikiria. Ni kaka unayejiheshimu na kuheshimika na endelea hivyo hivyo heshima yako izidi kwenda juu. Hao wakina wema wanapewa pesa na watu wa magezeti ili wauze achana nao wanakula pesa za kishetani. Mdogo wangu wewe siku hizi unakula pesa yako ya hahali iliyobarikiwa na mungu kwasababu ni ya jasho la. Mungu akulinde na akupe hekima usijibizane na hao wenye upungufu wa hekima. NASEMA ACHANA NAO KABISA X 100.

Anonymous said...

Naamin Wema ame2lia ila hajampata anampenda.

Ila Oprah alisema ucje hata cku moja kumrudia m2 alokuumiza. Mana ata2mia udhaifu wako kukuumiza zaidi.

Kama Mungu amepanga awe Wema au mwingine Wakat ukifika itakua. Kaz njema

Holiness Bangereza

Anonymous said...

ahahahha unajua anani alieandika hiyo coment ndeeefu hapo chini kama gazeti la udaku ni wema mwenyewe anajifagilia hakuna kitu wema unalaana mrudie mungu wako .iweje wewe kil siku unakuwa na wanaume nakukuacha jirekebishe na umrudie mungu haraka saana sifa na umaarufu utakuponza,wewe WEMA angalia umepata mtoto wako mzuri maskini yamungu hana baba mtu kakuzalisha kakuacha bado unaruka na wanaume mara huy mara yule siutulie tuu jamani ,ebu mrudie mungu uwemtu wakusali na kuacha kujirusha kuutwa nakujishow kila mahali uone maajabu na mijuza ya Mungu wetu alie mbinguni utapata mtu wa maana na heshima zake nakukuoa sio hao wanaokuvalisha pete kiunafki tuu kujionesha ila moyoni hawako real.usifate ushauri wakukumiza kama hao mashoga zako wanakushauri ujinga tuu.nampenda saana hata mama yako mzazi alidiriki kusema urudi nyumbani utulie uache kuishi na mwanaume kihuni tuu ,unamuacha mwanao analelewa na mama yako wewe unajipeleka kuishi ha huyo mwanaume hajatulia bado mdgo anamambo mengi huyo.rudi nyumbani kwenu jiendeleze kimasomo na ufanye kazi yako au kitu cha maana kitakachokuingizia pesa mwenyewe sio kupitia wanaume kuchuna sijui,mungu anakupenda na anakusudi jema na wewe ndomana kakuonyesha hayo yakumfumania jamaa yako huyo ili ujitoe hapo utulie sasa.unazeeka kwa kwa hayo mapombe unakunywa pombe kali konyagi na mabia hayooo.jamani muogopeni Mungu .ukiamua sasa kufunya maamuzi yaharaka na mema utaona a lot off blesing.najua unasoma humu pia maana hata kuandika unajiandikia kutoa koment kujitetea,Kanumba kaka yangu nakushauri usithubutu kumrudia Wema tulia tafuta mke mwema na Mungu atakupa kaka yangu nakupenda nakuombea saana always.nabaraka tele.

Anonymous said...

Wewe mimi nilieiandika hiyo comment hapo sio Wema, sio rafiki, simjui hanijui zaidi ya kumuona annandikwa kwenye magazeti. Uzuri nimemuona tangu mdogo mpaka sasa hivi munamuita amekuwa. Na huyu Kanumba na huyo Shigongo wote ni wale wale tu, wasukuma wanapasiana mpira, hawana mpya. Na nyie mnaomtetea kwani humu hizi comments mnazipublish wenyewe si nyie mnapost yeye anapublish so anatofauti gani na Shigongo? Kifupi ujumbe wangu nimefurahi umefika, cha msingi acheni unafiki na uzandiki kidole kimoja mnamnyooshea Wema vilivyobaki vinawaelekea wenyewe. Huyu Kanumba hamfai wala hampendi Wema ni mnafiki mkubwa! Kwani kuachana si jambo la ajabu wanaachana watu waliokwishazaa na walioana ndoa na wakikutana wanasalimiana seuze wao wazinifu tu? Wema narudia tena na tena, Kanumba hakufai si mwanamume wa kuolewa nae bora hata uolewe na msukuma mkokoteni mtaani ambaye mwenye mapenzi ya kweli na atakayekulinda kuliko huyu Kanumba. Na narudia tena Kanumba is not over you yet na ukirogwa kurudiana naye atalipiza kisasi akuache mchana kweupe kama ulivyomuacha, bado ana kinyongo na wewe, na mwanaume mwenye kuweka kinyongo na visirani hafai kwenye mahusiano, itakuwa mwaka jana sijui mwaka juzi ulinitukana, sijui this and that. Wema you deserve much better than that. Achana na hao waliozoea wanawake wenye viserengeti boys, vidumu na vibustani. Utampata mwanaume anayejua nini maana ya kupenda sio hao wanaojipenda wenyewe kisha wanataka kupendwa!!

Anonymous said...

Kanumba wiki hii umefurahi sana maana toka uanzishe hii blog sijawahi ona post ambayo imepata comment nyingi kama hii, Wema oyeeeeeee!!! kumbe watu tunampenda sana wema kila anapoandikwa maahali popote wachangiaji wanakuwa wengi,

mainaa said...

aaaaaaaaahhhhhhhh wema wema wema kila cku mwacheni kimwana huyo.hta jide ashasema hakuna alie msafi.....

Anonymous said...

kuna binadam wa ajabu sana,we unasema unamjua wema hayuko hivyo.utamjuaje na wewe hauko bongo?acha kuongea vitu usivyovijua.wema alikua wa zamani sio sasa.unafikiri kupalamia visharobalo anapena?nni maisha tu,alishafikia hatua ya kujiuza kwa dolla 100 akiwa na rafiki zake.wanaume wa mjini wote wameshamchoka.kanumba we kaa mbali na huyu mtu.

Anonymous said...

Huna lolote wewe uliyetoa comment(December 30, 2011 11:05 PM) zako kama barua umetumwa fanyakaz yako upate chako huna jipya all people want is ur best friend wema to settle na mwambie stress haziondelew kwa kuwa open in everythng u do okay? no one is perfect i agree even i bt not like the way she does advice her to go to rehab center

Mr Bigfacerollie said...

U need to get over....u chose to live a public live....u make ur living the same way.....get over it and learn to act...theater school zipo kajifunze kuigiza

Anonymous said...

Not only she is a whore but she is a lesbian na mji mzima unajua group la marafiki zake wanochukuana wao kwa wao,truth is si wema pekee yake almost wote walovamia fani ya uigizaji tofauti na wale wazamani heshima bado wanailindanbut kwasasa bongo movie imekua kichaka cha machangu!!!

Anonymous said...

you are a gentleman my Brother very proud of you.

Anonymous said...

Mi nashangaa baadhi ya watu, ni kwamba wema hamfahamu wema sio muhuni sema ni aina ya wanaume anaokuwa nao ndio hawaeleweki na hawana msimamo na hawajui wanachohitaji, wema akiwa na mwanaume mmoja anatulia naye hadi atakapoachana nae ndio anakuwa na mwingine uwa achanganyi wanaume, na kinachomponza ni muwazi sana ndio maana, hakuna aliyekamilika hata wewe unayecoment na hakika kwa umri huo na hapo hamvumi mmeshatembea na wanaume/wanawake kuanzia sita hadi ishirini na hamjaandikwa kwa kuwa si watu maarufu alafu wema ni maarufu na ndio maana magazeti wanataka kuuza kupitia yeye, jamani mumuache wema kanumba si kama katulia ila ni silence killer kitu ambacho si kizuri na wala hafai kuwa na wema, hana msimamo wala haeleweki

Anonymous said...

Mi nashangaa baadhi ya watu, ni kwamba wema hamfahamu wema sio muhuni sema ni aina ya wanaume anaokuwa nao ndio hawaeleweki na hawana msimamo na hawajui wanachohitaji, wema akiwa na mwanaume mmoja anatulia naye hadi atakapoachana nae ndio anakuwa na mwingine uwa achanganyi wanaume, na kinachomponza ni muwazi sana ndio maana, hakuna aliyekamilika hata wewe unayecoment na hakika kwa umri huo na hapo hamvumi mmeshatembea na wanaume/wanawake kuanzia sita hadi ishirini na hamjaandikwa kwa kuwa si watu maarufu alafu wema ni maarufu na ndio maana magazeti wanataka kuuza kupitia yeye, jamani mumuache wema kanumba si kama katulia ila ni silence killer kitu ambacho si kizuri na wala hafai kuwa na wema, hana msimamo wala haeleweki

Anonymous said...

Mi nashangaa baadhi ya watu, ni kwamba wema hamfahamu wema sio muhuni sema ni aina ya wanaume anaokuwa nao ndio hawaeleweki na hawana msimamo na hawajui wanachohitaji, wema akiwa na mwanaume mmoja anatulia naye hadi atakapoachana nae ndio anakuwa na mwingine uwa achanganyi wanaume, na kinachomponza ni muwazi sana ndio maana, hakuna aliyekamilika hata wewe unayecoment na hakika kwa umri huo na hapo hamvumi mmeshatembea na wanaume/wanawake kuanzia sita hadi ishirini na hamjaandikwa kwa kuwa si watu maarufu alafu wema ni maarufu na ndio maana magazeti wanataka kuuza kupitia yeye, jamani mumuache wema kanumba si kama katulia ila ni silence killer kitu ambacho si kizuri na wala hafai kuwa na wema, hana msimamo wala haeleweki

Anonymous said...

Lakini ukitafakari kwa undani mchangia aliyepita hapo juu ni kweli nakuunga mkono, sasa hvi wasichana wengi hasa hawa waliotoka kwenye umis wameguza movie kichaka cha kujiuza wanabadilisha wanaume kama nguo na hawaogopi maradhi, kila aliyechanganyikiwa na maisha anajiunga bongo movie, labda wale wa zamani lakini wa sasa hivi hapana hawafai kabisa heshima yao imeshuka

Anonymous said...

USIJALI KABISA BRO. WE NI MAARUFU WANATAKA WAUZE MAGAZETI KUPITIA JINA LAKO, LAKINI KILA JAMBO LINA MWISHO WAKE.
WENYE AKILI ZAO WATAJUA HUU NI UDAKU TU, HAUNA UKWELI WOWOTE, WE ENDELEA NA MAMBO YAKO. TUANDALIA MOVIE ZA UKWELI TUWEZE KUENYOY ZAIDI NA ZAIDI.
HAPPY NEW YEAR BRO.

Anonymous said...

ila ndio mwanaume anayeendana nae....ungeweza kumdhibiti ingefaa kweli...

Anonymous said...

Waone mnavyomsifia kanumba utafikiri kawatuma na hizo sifa naziiita sifa za kijinga, mnamuona wema mchafu kuliko kanumba kitu ambacho si kweli kanumba ni silent killer anakula kimya kimya kama paka akinywa maziwa akimaliza anafuta mdogo, kumbukeni hakuna aliyemkamilifu chini ya jua kanumba nae mchafu tu ingawa anadhani watu hawajui mambo yake kumbe mnafiki tu, msukuma huyo mjinga mjinga tu

Anonymous said...

Kanumba Ngosha, kwanza umefanya vizuri sana kuposti maneno 7 tu kuwa "Tafadhali sipendi na sihusiki na habari hizi." mie nilisoma hiyo habari, kwa jinsi nilivyoisoma na kuielewa hiyo habari nina uhakika kabisa huyo aliyepost licoment lake kama makala ya gazeti la mzalendo, ni mmojawapo kati ya wale wapambe wa Wema wanaofanya jitihada za kuhakikisha wewe na Wema mnarudiana. Sasa cha msingi hapa kakaangu ni kuwa na msimamo huohuo wa kukaa mbali na Wema kwani atakuua Kisanii. We si umeona sasa hivi magazeti yanavyoanza kumponda Diamond. Mwanangosha, achana nao kabisa hao viduku wa Wema. kaza buti kwenye kazi bwana. Wema ni mzoga ambao hata kunguru huukwepa. Atakuumiza.

Anonymous said...

kuna mdau aliandika kuwa Wema amezalishwa mtoto analelewa na mama yake. Are u sure you are talking about Wema au somebody else?

Anonymous said...

Jamani muacheni wema wangu apumzike kwani yeye ndie aliyeandika hizo habari na isitoshe ni za siku nyingi. wanataka tu kumchafua na kumchokoza Diamond. Pole kaka Kanumba but ndo ustaa huo

Anonymous said...

kanumba kamakweli huusiki na kitu kama hicho wewe wajua! sina imani kama wema naye anataka kurudiana na wewe, ila magazeti huwa hayaandiki habari za wake zao kufumaniwa!

Happy Ngambi said...

Tatizo lenu ma super star mnadhani ukiwa na super star mwenziwe ndo umetoka au ndo ufahari wapo wasichana wazuri wame2lia na wanafa3anza kazi nzuri na wanajiheshmu so ms4angalie watu waarufu ndo hao wanawaharibia na kuchafuliwa.

kighumi said...

Kanumba, Mwangaluka! kaka ukijilegeza tena kwa wema jamii itakudharau. yani wewe ndo utakua kama spare tyre vile. kwa maana hiyo yeye asingegombana na huyo almas wake asingerudi kwako. anataka kurudi kwako ni tu kwavile hana pa kukimbilia. fanya kazi kaka achana na mambo ya mapenzi hayo, kama ni mpenzi tafuta atakayekufaa kuwa mke na sio wa kupoteza nae muda. utajiharibia kazi. maana kwa wema hata awe mwema vipi bado hakufai, yan hamuendani kabisa. bora hata urudi shinyanga ukatafute mtoto mmoja wa kisukuma umlete mjini kuliko hayo magubegube ya jijini.

maryk said...

I hate magazeti ya udaku. kanumba your not deserve cheap woman like wema. Please and dont remember the past ever. Kanumba oyeeeeeeeeeeeeeeeeee....

dk said...

Yaani sijui kwanini nampenda sana Wema, na sijaona filamu alizocheza mi sio mpenzi wa filamu... zaidi namuona kwenye magazeti but nahisi kitu cha tofauti kwenye moyo wake ni dada ana mapenzi ya dhati lkn hajampata wa kumpenda kweli wanaume wengine hawaleweki labda ndo maana anatafuta mahali anapodhani atatulia. We fikiria mpaka akakubali kuvishwa pete hadharani? tena na Diamond? wengine waongo na wanafki but wema anafaa kuwa mke wa mtu akimpata mume sahihi sio vicheche.

Nyanjige, Mwanza

Anonymous said...

kama unampenda rudiana nae tu mana their so much advantage 2 be with her yan mauzo ya movie yatapanda vibaya mno think during ulipokuwa na wema na sasa uliuza copy nying lin?mwangalie diamond alivyopata show nying kuwa na wema so kuwa nae then unampa anachokitaka then sales zinaongezeka ni hayo tu

jackline_geophrey said...

palipo na jambo,hapakosi kuwa na neno. palipo mwanadamu,Mungu pia uwepo na shetani hukaa pembeni akimuwinda mwanadamu,na kila jambo huwa na mwisho wake. mkabidhi Mungu njia zako naye atakulinda. mwanadamu c chochote ata akuaribie ukaribu wako na Mungu. endelea kuitumia taranta yako uliyopewa na Mungu,naye atakubariki na kuzidikukufungulia milango ya baraka,hatokuacha kamwe kaka yangu.by jackline_geophrey@yahoo.com

Anonymous said...

Hivi we mdau kuandika humu post yako kuwa warudiane ndo watarudiana ni maamuzi yao binafsi hayawahusu, Huyo Wema ameandikwa humo gazetini ukute hata habari hana, nae angekua na blog nahisi angeandika kama Kanumba hivyo coz sidhani km nae anataka hata kuwa nae saizi ukute kalala pembeni na Almasi anamuimbia mashairi kama sio kuhesabu mamilioni ya pesa wanayoyapata kutokana na kuuza album na wema movie baada ya kusaidiana kukuza majina yao kupitiamagazetini huku wamagazeti nao wakiangalia jinsi wanavyovunja rekodi kwa kuuza nakala daily, wadau mtabaki tu a e i o u huku wenyewe wanazidi kunufaika kupitia ushabiki maandazi wenu. Hebu mzidi kuwanufaisha nao wafanye maendeleo. Wema mtamuita majina yote lakini ndo vile huyo anazidi kupanda, she is greatest kwa kumake money kupitia sie mashabiki na Kanumba ni great kwa kufyatua movie daily ukishasoma hapo fasta unaenda kununua movie ndo hivyo wadau mtachonga hapa kaka yangu Kanumba usifanye hivi kumbe looh wenyewe wanapigiana simu umeona comemnts hizo wanawachekaaa...

Anonymous said...

BE CARE FULLY