Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 30, 2011

HAPPY BIRTHDAY DADA SANURA HUSSEIN.MUNGU AKUBARIKI NA KUKUZIDISHIA MAISHA MAREFU YENYE BARAKA NA AMANI DADA YANGU KTK SIKU YAKO HII NZURI YA KUZALIWA...Salamu kwa Sharifa(Uncle)

13 comments:

Anonymous said...

Hongera wifi yetu, kweli kaka yetu anajua wajibu wake...umependeza maashaallah, kweli kaka yetu anakutunza vema....lakini tungependa kuona picha ya wewe na mzee ndio ingenoga.....

Anonymous said...

Tusalimie mumeo Papaa Twaleb, Mola akuzidishie kila la kheri.

Anonymous said...

happy bday to sanura..mdada mzuri uyo

Anonymous said...

happy bday sanura..

Anonymous said...

happy birthday mdada sanura..umependeza sana..

Anonymous said...

hehehehehe wee mdau hapo juu picha ya mzee wake inahusu nn wakati umeambiwa..uyo dada ana bday..sasa mumewe awekwe hapo ili iwe nn...mpenzi sanura uko juuuu..jicho lako tuuu mm ndio napokupendea..achana na hao wanaotaka wamuone mumeo sijui wa nn hehehehehe.

Anonymous said...

Hello shem, Congratulation! say hi to ur husband...Mr Twaleb tunakukubali mzee wetu....salaam kwa wa-denish!

Anonymous said...

ana jicho zuri.happy bday

Anonymous said...

happy birthday da sanura

Anonymous said...

happy birthday sanura

Anonymous said...

ongera dada

Anonymous said...

heheee, ama kweli kusoma si kuelew, mdau uliejibu kuwa sikuwa na haja ya kumuomba wifi yangu angalau angeweka picha akiwa na Mzee, nina uhakika imeku-pain! pole sn kwa kuwa huyo mzee niliyemtaja ni kaka yangu, na huyo sanura ni wifi yangu mpendwa na ataendelea kuwa wifi yangu....ilikuwa ni maoni yangu tu,lakini nahisi kama umeenda mbaaaaali...sorry kama hukunielewa! lakini kwa kifupi ni kwamba sanura ni wifi na atabakia hivyo....anyway hukatazwi kujiingiza kwenye ishu.hehe heeeee...

Anonymous said...

kanumba uyu ashaolewa au bado nilete posa..jicho lake lanipa wazimu mie..tuongee kitu kweli uyu dada ni mzuri wa asili kwa kweli.dah mungu anajua kuumba ..jicho tu linaniacha hoi kwa kweli.na pose sasa mwake.na huo weupe lazima nizae kaarabu nikioa uyo demu.kanumba ongea dil basi