Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 6, 2011

BAADA YA DINNER NIKARUDI HOTELINI KUPUMZIKA SIKU IMEISHA.

Katika hotel niliyofikia hiki ndio chumba nilichokichagua....

Kati ya vitabu ambavyo ktk safari zangu zote ndani na nje ya Tz lazima nibebe ni hivo hapo sana sana BIBLIA,Hicho kingine kinakufunza kuwa OPTIMIST ni kizuri sana ila mpaka uwe msomaji wa vitabu...kwa mashabiki wangu tu mnaweza pia kunifatilia ktk twitter,@KanumbaThegreat kila wakati kujua nafanya nini,nawaza nini,niko wapi.


The great pioneer,songya mbeli babetakalikofi teh(ncha ya kisu haipigwi konzi),Afula atala teh.


Hicho kitanda kina redio hapo nasikiliza CD ya marehemu Ndala Kasheba,wimbo Yellow Card.

11 comments:

Anonymous said...

tujuze hapo n mwanza hoteli gani?

Evelyn said...

hongera sana kanumba, its a great step in life kuwa balozi wa star times. kip it up and behave ya'self good, hata upate deals zaidi na zaidi na ukumbuke kumtolea Mungu kwa kuwasaidia wahitaji kama huyo mama au hata waliko mahospitali, nina imani watafurahi sana ukifanya kitu kama kula nao hata chakula cha mchana kwa wagonjwa wasioweza hata kununua mlo mmoja kwa siku na wako hospitali, ninaamini Mungu atakujazia zaidi na kukufungulia njia zaidi

all the best and be good always...xoxo

Anonymous said...

hahahah Kanumba afula atala teh,songya mbeli.
what a great name i like that.

Anonymous said...

hotel gani pazuri hapo

Esther kanda ya ziwa. said...

Safi kaka upo juu,Mungu azidi kukuongoza katika kila jambo,uzidi kung'ara zaidi na zaidi.

Anonymous said...

HAPO WAPI BRO NA KWA NIGHT SH NGAPI USINIPOTEZEE JIBU TAFADHALI OTHERWISE UKO JUU MWANANGU MPENDWA.

Anonymous said...

Jamani Kanumba nisaidie ili mwenzio niweze kuwa mwigizaji kwani kila siku nakuomba hilo, Please naomba msaada huo au jibu kabisa ili nijue itawezekana au haitawezekana?, Nakutakia majukumu mema

Anonymous said...

Kanumba inabidi mkae chini na Ray muongee na kumaliza tofauti zenu,watu wanataka kuporomosha soko la filamu bongo,hakuna haja ya mashindano wote mnaweza kazi.umekwenda hollywood hakuna beef za actors wao ni kazi tuu.fanyia kazi ushahuri wangu

cute said...

safi sana ni mwendo wa kazi tu majungu nyuma namna hiyo bro kila kheri.

Anonymous said...

nasikia wewe ni FREEMASONS kweli au ni tetesi za watu tu?

Anonymous said...

PLZ NAOMBA KUJUA BEI NA JINA LA HII HOTELI

nimeipenda