Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Dec 21, 2011

CHAKULA CHA X-MASS HICHOOOOOO PATA NAKALA YAKO ORIGINAL IJUMAA HII.

KAMA KAWAIDA YANGU KUCHEZA NA WATOTO KILA MWAKA,MWAKA JANA NILIMLETA KWENU JENIFER MWAKA HUU NAFUNGA NA BIG DADDY NDANI NIMEMLETA KWENU SOPHIA.NI MOVIE YA FAMILIA,NI MOVIE YA WATOTO,USIOGOPE KUTIZAMA UKIWA NA MAMA,BABA,MTOTO AU YOYOTE YULE,NI FULL KUCHEKA TU,TIZAMA VIPAJI VIPYA KABISA HAVIJAONEKANA POPOTE NDIO NIMEWAPIKA NA NAWAIBUA IJUMAA HII.

4 comments:

Milka Richard said...

Poa,ngoja kesho niisake mtaan il 2one kilichojil dis time.hope itakuwa nzuri.Nataka kusahau, kiukwel because of u Mmefunika mbaya,ile filam ni nzur sna.Na wahuska wote wameitendea haki,binafs nimeipenda sna.Alieiponda ana lake jambo,au ndo wale wale wacopenda kuangalia kaz za wasanii we2 na kukimbilia za nje.WADAU ITAFUTEN MUONE NACHOMAANISHA KWA WALE AMBAO BADO HAMJAIONA.

sophy said...

cant wait kumuona huyo wajina acha nianze kuisaka.

Anonymous said...

How can i get your move from state ? did you have online services?