Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 9, 2011

HARUSI YA KEVIN NA ELIZABETH ILIVYOFANA.....

Aliyekuwa mshindi wa Big brother revolution Kevin Chuwang na dada yetu Elizabeth Gupta kwa sasa ni mke na mume baada ya kumaliza kufunga ndoa yao iliyofana sana huko Abuja-Nigeria... Mr&Mrs Kevin Chuwang Pam

Wakila kiapo cha milele

Eliza na mpambe wake wakiingia kanisani

mmmh?

Hongereni sana Kevin na Elizabeth..baraka za Mungu ziwe nanyi..

2 comments:

Anonymous said...

haya KANUMBA, wenzako tiari wameamua. wewe je? utajivinjali mpaka lini? by daniel from USA.

CENA said...

Alphoncene Gerald
Nimependa sana Eliza alivyovaa simple sana.Wamependeza sana na hiyo purple ya wasimamizi nzuri sana naipenda sana hiyo rangi.
Eliza msichana mwenye msimamo safi sana kwa kutupa sifa watanzania.