Star Times

Star Times

Mercy Beauty Parlour

Mercy Beauty Parlour

Mar 12, 2011

PICHA ZAIDI ZA KAOLE DAY.....

Cheni akitoa mawazo yake namna ya kukiboresha kikundi chetu cha Kaole...

Hivi ndivyo tulivyokuwa tukikaa wakati wa mazoezi

Bi Star akisimama kutoa yake....utamkumbuka huyu dada katika scene za kijijini akiwa na Muhogo Mchungu ilikuwa patashika...

Mwenyekiti wa Kaole wa sasa..MR.CHIKI.

The great nikisisitiza tuendelee kuwa na KAOLE DAY na Kurudisha heshima ya kundi hili kama zamani

Bi hindu

Dr.Manyaunyau...

Rahim Khatibu(Kiuno) alikuwa location manager kipindi hicho na sasa anaendeleza kazi hiyo katika filamu

Kwa juu ni NINA,ZAWADI na BUPE..

Joyce Kiria akichukua matukio

Kulia ni Maya..enzi zile alikuwa na mwili kama wa Aunty Ezeckiel na alicheza scene kama wanazocheza sasa akina Aunty lakini sasa LOH kauwacha mwili kama Queen Latifa

Kiuno,The great na Cheni

Chopa nae alitoa yake

Ikafika wakati wa kucheza ngoma sasa,,,wote uwanjani maana enzi zile za kaole ya zamani kucheza ngoma ilikuwa ni lazima kucheza kwa kila msanii

Wote uwanjani......cheza sindimba...

6 comments:

Anonymous said...

Mmefanya kitu kizuri sana nawapongeza kwa kukumbukana lakini sitegemei kama kaole ile itarudi, ile ilikuwa si mchezo.
Me huyo Maya ananichosha kutwa kupenda pombe matokeo yake ndiyo hayo hajui kujimantain anafikiri ni vizuri, Yuko kama tembo sasa hivi.
IGENI MIFANO YA WASANII WA NJE WANAFANYA MAZOEZI MIAKA NENDA RUDI MSANII YUKO VILE VILE.
Hapo hawezi hata kucheza kama mwanafunzi.
Badilika wewe maya siyo issue

sophia mkumbo said...

daaah nampenda sana kemmy i wish bado angekuwa anaigiza gud idea big up kwa aliye plan hicho ki2 imetukumbusha mbali na ahsante uncle jj kwa kutuwekea

Anonymous said...

niliipenda sana kaole, enzi zile. ila mbona wasanii wengi wamenenepa sana??? muwe mnafanya mazoezi msijiachie sana.

Anonymous said...

Hongereni sana kaole,mlipendeza. Wasanii acheni kuridhika bila sababu unene sio ishu hata kidogo mnaharibu "mashepu" punguzeni hiyo miili. Kwa miili hiyo mi hata siwaelewi mnaposema sanaa hailipi.
Ombi langu turudishieni kaole ya zamani, i wapi?

Anonymous said...

kwa kweli jamani ukisikia maigizo ndio yalikuwa enzi za kaole kwa kweli kama mtalirudisha hilo kundi tena na kuwa kitu kimoja mtakuwa mmefanya la maana sana kuliko kawaida na mtaikuza filamu zaidi nchini. Fanyeni hima tu kundi liwe hewani plz kanumbaa amasisha hili

meggie impostra

Anonymous said...

kwa kweli jamani ukisikia maigizo ndio yalikuwa enzi za kaole kwa kweli kama mtalirudisha hilo kundi tena na kuwa kitu kimoja mtakuwa mmefanya la maana sana kuliko kawaida na mtaikuza filamu zaidi nchini. Fanyeni hima tu kundi liwe hewani plz kanumbaa amasisha hili

meggie impostra